Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

Acha kimbelembele kwenye mambo ya Simba ,Anzisha timu yako uwaajiri hao unaowataka wewe,unataka mawazo yako tu ndio yawe sahihi wewe kama nani Simba???? Simba sc Tanzania sio kampuni ya ukoo wenu.
daa! mkuu huyu jamaa gendamycyne sijui..anajifanya anaijua simba kuliko mtu yoyote yule! hadi anaboa.
 
Viongozi wa Simba kwa kumuweka Mwijaku nimewadharau.... Huu sio muda wa kuwa na mhamasishaji.. Watu wengi wanaenda uwanjani kama timu inafanya vizuri....

Kama mtu alivujisha picha za uchi za mwanamke atashindwa kuvujisha habari za klabu hasa zile za ndani kabisa..!?
 
Mwijaku kawekwa pale kimkakati
Manara akiachiwa uhuru anatamba sana na mbaya zaidi anawatukana watu personal

So kwa kuwa ndio soka letu lilivo bora akae huyo huyo mwijaku ili waende sawa maana ata kipindi kile muro yupo yanga alikua anamzidia manara ichoicho

Akimtukana Mo au Barbara Jamaa aruke nae juu kwa juu maana sai Haji ni kama anatamba sana anavotaka kama vile nchi zima yeye ndo anamdomo kuliko wote

Kwa sababu hiyo basi uongozi umuache huyo huyo mwijaku apambane na watu kama haji wanaojisikia mud wowote kudhalilisha viongozi wa team


Sent from my VFD 300 using JamiiForums mobile app
 
Daah kwakweli tumekosewa heshima, naomba isiwe kweli kabsaa, wanawaza nini hawa viongozi wetu
 
Huyo number 4 yupo vizuri sana.
 
Nakuomba kuanzia Leo anza Kutonikubali sawa? Na Yeye aliyeanza Kunichokoza umemwambia na Kumshauri nini? Pumbavu na Mnafiki mkubwa Wewe.
Utakuwa una vurugu za maono kwa kutopewa wewe huo usemaji
 
Simba tulishatoka huko...tunataka kujiendesha ki proffesional na wengine waige. Hatupendi kusikia kashfa za maisha ya watu binafsi..Kila mtu ana privacy zake, kila mtu akitumia press kuongea itakuwa ushamba...Mimi ni simba ila cjapenda kabisa kuanza ku attack personal affairs za Manara.... whatever..

Acha MANARA awaongeleee mabosi wake wa zamani....wamenyamaza mwisho ataacha. Sidhani kwa fans wake wengi wataendelea kusikiliza maneno yaleyale.
Acha simba iongee uwanjani...tuache kuwapa pressure wachezaji kuwa wakishindwa utatembea uchi....tuache soka la mipasho....Simba ulishaonyesha njia kwa soka la Tz...vipi tena...!!!.
 
Hapo nimewakubali huyu kenge albino alikuwa anajikuta yeye ndo anajua kuongea
 
Hamia utopolo, au kaa kimya , unachohitaji ni burudani na furaha tu uwanjani hamna jingine lonalokuhusu ktk klabu ya Simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…