Akiwa hajamaliza saa 24 tangu apewe uhamasishaji Simba SC, tayari Mwijaku ameanza 'kumchefua' Murtaza Mangungu

Mhamasishaji ambye ana fit nafasi ya Manara Simba Sc. ni yule wa Ruvu shooting pekee, wenhine wote hawana level za Manara! Tukubali Simba Sc. tumepoteza bonge la mhamasishaji
 
Mhamasishaji ambye ana fit nafasi ya Manara Simba Sc. ni yule wa Ruvu shooting pekee, wenhine wote hawana level za Manara! Tukubali Simba Sc. tumepoteza bonge la mhamasishaji
acha ujinga wewe, Bwire ni afisa habari, tumepoteza bonge la limbukeni linalopenda kusutana kama mwanamke juzi limepigwa dongo la ndoa na mwijaku hadi leo kimya amjibu sasa wakimaliza hapo waanze kutuhadithia vijiko ndani ya nyumba zao viko vingapi, na dr kumbuka yuko benchi anapasha hii ligi ya wambeya inamfaa sana lopolopo, afisa habari atakuja Gift macha
 
mwijaku anakazi maalumu simba..... sio uhamasishaji tu
 
Tabia ya kufuata mkumbo na mikumbo ni hovyo sana Kwani hiyo nafasi ya Mhamsishaji Mkuu ndio kitu gani na wa nini? Simba wanataka kutuaminisha kuwa mafanikio yao CAF yanategenea Mhamasishaji? Mbona awali hawakuwa na hiyo nafasi? Watafute msemaji sio mropokaji au mhamasishaji.

Vv
 
Mi nashangaa mtu ambae anarekodi movie za X leo anaruhusiwa kuwa mhamasishaji wa Simba!!
 
Tickets 15,000 zilifanikiwa zote kuuzwa?
 
Dua Said , Pawassa Na Mgosi wote mashabiki wa Yanga Lia Lia.

Dua Said tupo nae group ofmoja la WhatsApp la tawi la Yanga yeye ndo admin
 
Wewe jamaa kumbe kichwa boga hivi? Hiyo tabia ya kuzilazimisha fikra zako hafifu zikubaliwe na kila mtu umeitoa wapi? Mwanamme mzima unakomalia petty issue kama hiyo. Hebu eleza mchango wa Mwijaku katika kipigo cha leo ndio tukuelewe. Vinginevyo ni uendelezo wa ubwatukaji wako usio na mantiki. Sasa hivi umeacha ID yako ya Mightier na kurudia ya Gentamycine ili uendelee kutukana watu wasiokubaliana na vihoja vyako dhaifu. Acha!!!
 
Dua Said , Pawassa Na Mgosi wote mashabiki wa Yanga Lia Lia.

Dua Said tupo nae group ofmoja la WhatsApp la tawi la Yanga yeye ndo admin
Huwa nashindwa kuwaelewa kama huna hata upeo wa kujuwa kwamba Simba na Yanga mmiliki wake ni mmoja.
 
Julio anafaa kuwa kocha wa Simba na siyo mhamasishaji.

Julio ni kama Maximo makocha wahamasishaji au kama alivyokuwa marehemu Diego Maradona.
Kwenda huko huna Akili kwani akiwa Mhamasishaji Mkuu wa Timu kuna tatizo gani? Mbona Charles Boniface Mkwasa ni Kocha Mkubwa tu Tanzania ila ameshawahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga SC na hakukuwa na tatizo lolote?
 
Huwa nashindwa kuwaelewa kama huna hata upeo wa kujuwa kwamba Simba na Yanga mmiliki wake ni mmoja.
Angalia unavyozidi tu Kujianika Kwetu jinsi ulivyo 'Damn Fool' na kumbe huwa ninavyokudharau 24/7 hapa JamiiiForums huwa sikosei.

Eti Simba na Yanga Mmiliki ni Mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…