meinrad mutashobya
Member
- Feb 23, 2021
- 15
- 3
Alitumika kama liabilityHakuna jambo kama hilo. Lafudhi inatisha watu iweje? Mbona hapo ameongea lafudhi yake ni ya kawaida tu? So Zanzibar walikuwa wana sauti nyororo na walikuwa woga hata wa sauti tu?
Hii spin inakusaidia nini wewe? Mpeni Field Marshall John Okello maua yake. Bila yeye hakuna mmatumbi wa Unguja angethubutu kumkabili Mwarabu.Alitumika kama liability
bila huyu kafiri, zenji ingekuwa chini ya mwarabu hadi kesho. though sasaivi wanatamani warudi kulekule. by the way, sioni picha ya karume hapo, alikuwa wapi wakati wenzake wanapindua mwarabu?Hii spin inakusaidia nini wewe? Mpeni Field Marshall John Okello maua yake. Bila yeye hakuna mmatumbi wa Unguja angethubutu kumkabili Mwarabu.
View attachment 2671776
Huyu ndiye Field Marshall John Okello, Baba wa taifa la Zanzibar, Jemadari wa Mapinduzi na Mwenyekiti aliyeongoza kikao cha kwanza cha Baraza la Mapinduzi! Mengine yote ni spin tu za watu wasio na ujasiri wa kuukabili ukweli huo!
Karume? Alikuwa kajificha Tanganyika!bila huyu kafiri, zenji ingekuwa chini ya mwarabu hadi kesho. though sasaivi wanatamani warudi kulekule. by the way, sioni picha ya karume hapo, alikuwa wapi wakati wenzake wanapindua mwarabu?
na hilo jina la karume, ni jila na ukoo huko malawi. hadi leo kuna karume kibao malawi.Karume? Alikuwa kajificha Tanganyika!
KUtokutambulika kwa watu hawa hakufanyi wale wanaotambulika wazimwe ule utambulikaji wao.Mohamed Omari Mkwawa alishiriki katika mapinduzi lakini hatambuliki hali kadhalika Victor Mkello, Ali Mwinyi Tambwe, Aboud Mmasai wengi tu.
Samahani mzee wangu,mimi najifunza sana kupitia kuuliza huku nikitanguliza hoja,siulizi tu huwa nauliza kwa hoja.Hawa Wamakonde ndiyo walioua Waarabu wengi wakulima wa kawaida tu waliokuwa mashambani Zanzibar.
Huyu Mzee Msomi mbovu amejikita katika kuwatetea Waarabu na Waislamu tu basi.Samahani mzee wangu,mimi najifunza sana kupitia kuuliza huku nikitanguliza hoja,siulizi tu huwa nauliza kwa hoja.
Swali na hoja yangu.
kauli yako hii ni kana kwamba WAMAKONDE waliua waarabu wasio na hatia huko mashambani kwa jina la mapinduzi(kama sivyo utakanusha).
Je kama wamakonde waliua waarabu wa mashambani wa kawaida wakulima,je ina maana wazanzibari halisi walikuwa hawakai shamba ?
Walikuwa wanakaa mijini hao wazenji halisi ?
JE MBALI NA waarabu wa kawaida waliouwawa huko mashambani,je waarabu ambao sio wa KAWAIDA walikuwa ni wepi na walikuwa wanapatikana wapi zenji kwa wakati huo ?
zaidi sana usisahau allegation kwamba, pamoja na kwamba alikuwa zenji, na alipigania zenji, karume alikuwa na asili ya Malawi. hadi kesho malawi kuna kina karume wengi sana. hivyo hata huyo Mganda kama angeamua kubaki zenji, angekuwa mzanzibar kama tu alivyo fatuma karume.Karume? Alikuwa kajificha Tanganyika!
Mara nyingi naona mapinduzi anayataja kwa "mauaji" tena mauwsji ambayo waliyafanya wamakonde dhidi ya waarabu wa kawaida wakulima mashambani.Huyu Mzee Msomi mbovu amejikita katika kuwatetea Waarabu na Waislamu tu basi.
Ili waonekane kuwa ni watu wema siku zote. Hakuna Mwislamu muovu wala Muarabu Mbaya kwa maoni yake yeye.
Yeye binafsi nadhani hakuyapenda mapinduzi ya Zanzibar, kwakuwa tu yaliuondosha utawala wa Sultani na waliouleta Uislamu.
Nadhani moyoni mwake ana uchungu mwingi kuhusu kinyume na hizo fikra.
Nafsi yake ni Mwarabu na Mwislamu safi.
Nampa pole kwa magumu anayopitia.
Umeniita?Mzee anaishi kwa maumivu mengi sana.
Na angekuwa Kiongozi wa nchi sisi tusio Waislamu na Waarabu tungepata taabu nyingi sana.
Nadhani angeanzisha nchi ya Waislamu na Waarabu tu basi.
Hiyo ilikuwa ndoto yake kuu.
Ndio maana pamoja na usomi wake Mwenyezi Mungu alimnyima madaraka.
Maana hata sisi tusio Waislamu na Waarabu ni viumbe wa huyo huyo Mwenyezi Mungu wake.
Huyo Mzee na FaizaFoxy, wanawaza Uislamu na Uarabu tu basi. Hao wengine ni Wakuchinjwa tu. Hawana maana na hawafai kabisa.
Mwenyezi Mungu awape maisha marefu wajifunze Upendo kwa wasio Waislamu. Waarabu.
Ndio nimerudi toka Dubai usiku huu na nimeshuhudia mapenzi makubwa kwa Dubai kwa TanzaniaUmeniita?
Sema utakacho, nipo huku sasa hivi:
MoU kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini
Sitaki kuamini hili lakini uvumi huu umeeneea sana kiasi cha kwamba umenifanya niwe na shauku kutaka kujua yaliyojiri kwenye kusign hiyo memorandum maana naona kwa taarifa nilizokuwa nazo malalamishi ni kuwa serikali imeipa CCT na TEC nguvu kubwa ajabu na matokeo yake leo watu watu wanaanza...www.jamiiforums.com
"tumchague tena"? kwani lini sisi tulimchagua, au unajiona na wewe ni Mungu?Ndio nimerudi toka Dubai usiku huu na nimeshuhudia mapenzi makubwa kwa Dubai kwa Tanzania
Wanasema tuwaambie tu tunacho taka kwa ustaarabu watatusikiza.
Dubai hawana haja ya kupora ardhi ya Tanzania. Walitoa tu mapendekezo yao. Na ilibidi tuwajibu kwa ustaarabu tu basi.
Yaani Mama Samia tumchague tena.
Hivi anayeamua fulani kuwa baba wa taifa la Zanzibar, si ni wazanzibari wenyewe, iweje wageni muwachagulie?? Wao washaamua huyo hawamtambui, mnawatafuta kitu gani,Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao.
Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari za Mwanamapinduzi aliyesaidia kuipatia Zanzibar Uhuru wake John Okello.
Kwa his disappointment alishtuka kuambiwa the Man alifukuzwa mara baada ya kumaliza jukumu lililomleta Zanzibar kuwaondoa Waarabu waliokuwa wakiitawala Zanzibar.Aliwaokoa Waafrika kutoka kutawaliwa walipopata tu uhuru wakamfukuza.
John Okello Baba wa Taifa la Zanzibar ataendelea kukumbukwa kila tutakapoadhimisha Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Baada ya hapo John Okello alirudi kwao kwenda kuendeleza mapambano dhidi ya udhalimu na hatimaye alikuwa kama mtu wa kawaida tu pasipo makuu. Hakulipwa yeye wala familia yake. Kabla ya Mwaka 1967 Che Guevara kufariki aliwahi mtumia mzee wangu barua akimtaka amtafute John Okello wajiunge naye kwenye harakati huko Msumbiji na Angola.
Mzee hakujua aanzie wapi.
Pia Soma Sasa ni wakati wa Zanzibar kumtambua baba wa taifa huru la Zanzibar John Okello
WAACHE UJINGA. HAWAMTAMBUI KIVIPI MTU KAWAOKOA UTUMWANI? WAACHE CHUKI NA UJINGA. HUYU NDO BABA YAO WA TAIFA.Hivi anayeamua fulani kuwa baba wa taifa la Zanzibar, si ni wazanzibari wenyewe, iweje wageni muwachagulie?? Wao washaamua huyo hawamtambui, mnawatafuta kitu gani,
Kati ya mambo ya kihuni yaliyofanywa wkt wa Nyerere ni hili la kumsafirisha okelo hadi Kenya na kumdampu huko bila hata Senti mfukoni.zaidi sana usisahau allegation kwamba, pamoja na kwamba alikuwa zenji, na alipigania zenji, karume alikuwa na asili ya Malawi. hadi kesho malawi kuna kina karume wengi sana. hivyo hata huyo Mganda kama angeamua kubaki zenji, angekuwa mzanzibar kama tu alivyo fatuma karume.
Bora Sultan mara zaidi ya elfu kuliko hawa vibaraka wa Dodoma, kazi yao ni kuifisidi nchi
Msikilize hapo akiongea akiwa na Karume.
Kijana mdogo sana miaka 29 akapindua nchi. Bila Okello Zanzibar ingekua bado chini ya Sultani.
Okello tutakukumbuka Daima, haijalishi umekufa ila kumbukumbu yako haitafutika.