Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Wewe unachezaga draft lakini mahaba yamekupofusha akili umekuwa bure kabisa.

Kadri unavyocheza na Bingwa yeyote katika draft ndivyo unavyozidi kuwa bora zaidi na kumzidi Bingwa aliyekusumbua, halikadhalika katika soka.

Simba SC ni failures sababu pamoja na kukutana na Al Ahly miaka zaidi ya 6 ila hakuna ambapo amefanikiwa kwa kumzidi Al Ahly kiushindi zaidi ya kuwa sawa kirekodi.

Mamelodi Sundowns ni mfano sahihi kuthibitisha ninachoeleza, Simba mnakwama wapi?

Yanga SC tunamtaka Al Ahly aje ili tujue namna ya kupambana naye leo na kesho kwa matokeo chanya si kila siku kufanywa ngazi ya mafanikio kwa kuwa Msindikizaji bora kwa Al Ahly jinsi Simba SC ilivyo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sasa kucheza kwangu draft kunahusianaje na hili swala la watani zetu kutupa recognition?

Kwamba sisi tuliofungana sawa kwa rekodi bila ya kupatikana mbabe tunakuwa tumezidiwa na nyie ambao mmechapika two times?
 
Kama nchi kuna shida mahali ,,,, sio vijana sio wazee,,, ptia vijiwe vya kahawa, bodaboda n.k !

Watu ni kujadili mpira 24/7, kama dsm ndo shida kabisa,,,,,,,,

Too much is harmful
 
Mashabiki wa simba wanazipenda swqga hizi, utafikiri ndiyo zinacheza mpira
 
Kama nchi kuna shida mahali ,,,, sio vijana sio wazee,,, ptia vijiwe vya kahawa, bodaboda n.k !

Watu ni kujadili mpira 24/7, kama dsm ndo shida kabisa,,,,,,,,

Too much is harmful
We ndio yule unasema vijana mjiajiri wakati wewe hata genge limekushinda na kula mshahara wa serikali kwa kiburi...ishara hiyo uliyoiyona maana yake ni kwamba serakali haifanyi wajibu wake..serikali inawajibu wa kutengeneza ajira kwa vijana..hizi hoja za kisiasa za kusema vijana wajiajiri ni kukwepa majukumu..sawa wapo tayari kujiajiri mtaji wanapata wapi..mtu kamaliza chuo kikuu kasoma kwa shida ajira hamna alafu huo mtaji anatoa wap...viongozi ngozi nyeusi ni wakwapa majukumu
 
Simba SC mmepaa zaidi kiubora baada ya Mo kuwekeza Simba SC 2017, unadhani Yanga hawatafata nyayo zenu ambapo Wawekezaji GSM waliingia na Yanga SC 2021 na 2022-2023 tayari Yanga wamepanda kiubora kwa soka kwa kufika fainali za CAFCCL hadi kuingia orodha ya klabu 20 bora za Africa na 10 bora kwa klabu zilizofanya vizuri tangu November Mosi 2022 - November 2023.

Yanga ni underdogs kwa Simba SC kimataifa lakini "usijisifu sana unajua kukimbia bali msifu pia anayekukimbiza" maana huwezijua Yanga hii baada ya miaka mitano itakuwa wapi kwa ubora kimataifa ikiwa bado itaendelea kufanya vizuri chini ya Wawekezaji GSM, Wengine na uongozi makini.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Hizi ni mind games, sasa mlivyo mambumbumbu mmeruka nayo tu kwa kukosa akili.

Ulitegemea aisifu klabu anayoenda kukutana nayo ili morali iwe juu apate upinzani?

Haya maneno hata mabondia huongea, akili ndio mmekosa wenzetu.
Safi sana
 
Mnadhani kusema hivyo ndio itapunguza maumivu ya goli 5?
Kwanza mmepata wa ruhusu ya kuongea? Malizaneni kwanza na jwaneng galaxy
 
Hizi ni mind games, sasa mlivyo mambumbumbu mmeruka nayo tu kwa kukosa akili.

Ulitegemea aisifu klabu anayoenda kukutana nayo ili morali iwe juu apate upinzani?

Haya maneno hata mabondia huongea, akili ndio mmekosa wenzetu.
Haya majaaa ndio maana yakaitwa Makolo yaani hayana akili ,ukiwafuatilia humu Jf na kwengineko utagundua hilo..
 
Ni Kama useme kule Italia juventus ni namba 2 wakati inajulikana wao ndio mabingwa wa kihistoria wa scudetto.

Huyo Hamas yupo sahihi sababu kwa Miaka ya karibuni wamekutana Mara nyingi zaidi na simba kuliko yanga na wakashindwa na kushinda .
Lakini kwakuwa wameongea wao sio Si units ya Mpira wa miguu na takwimu za caf 2022-2023 zimeweka yanga Kwenye tano bora .
 
Ata ningekuwa mimi ningesema hivyo hivyo

Kisaikolojia hiyo kauli yq kuidiscourage Yanga

Aahaaaaa

Anaongea huku anaangalia nyuma kwa wasiwasi
 
ongeeni muwezavyo mume wenu nae akikaa sawa anapigwa hamsa...CAF ndo watu pekee watakaoweza kutuaminisha kwamba sisi timu ndogo coz kwenye timu bora 5 za CAF nyie makolomoxtra fc hampo sisi tupo MAANAZI YA JUZI NYIE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…