Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

Ishu sio kiingereza ishu ni kuelewa, unaweza ukaambiwa hata kiswahili na bado usielewe na tatizo hakiwezi kuwa lugha.

Kwani hujaona nimeweka screenshot hapo?
Ipo wapi ?

Na hiyo screenshot nipatie refence yake haya sasa twende kisomi tuache maneno.....

Kama Kingereza kime kuwa kama neno la kwenye vitabu vya dini labda kwa upande wako, huyu commentator anaongea Kingereza chepesi.

Halafu CAF kipindi kile mnahangaika kuingia nusu wakapost kwenye page yao ya twitter kwamba unatafuta nafasi ya kufika fainali kwa mara ya kwanza.
 
kwa mpira ule wamecheza morocco, yanga siwaamini tena kwa waarabu. naamini kesho wanaweza kupigwa mengi tu. ila nitaenda uwanjani kuwashangilia hivyohivyo.
Pale sio Morroco ni Algeria

Walifungwa hapa nyumbani na USM Algier ambao kwa sasa ni ya 13 kwenye msimamo wa ligi kuu

Hao Cr Belarouzidad ndio mabingwa mara 4 back to back

Maana yake ni kwamba Yanga kumfunga Cr Belarouzidad hapa Taifa yatakuwa ni maajabu ya mpira
 
😂😂😂
 
Hiyo miaka kipindi ambacho Yanga ina nguvu ya kiserikali

Kiasili Yanga ni timu ya chama na kwa kipindi hicho hakukua na mfumo wa vyama vingi kwa hiyo Yanga ilikuwa ina identity za CCM

Hata saizi bado hizo chembechembe

Hiyo miaka kipindi ambacho Yanga ina nguvu ya kiserikali

Kiasili Yanga ni timu ya chama na kwa kipindi hicho hakukua na mfumo wa vyama vingi kwa hiyo Yanga ilikuwa ina identity za CCM

Hata saizi bado hizo chembechembe zipo
Mbona visingizio Vingi mbumbumbu, Kwa taarifa Yako Toka 1992 baada ya vyama Vingi bado mbumbumbu wamekandwa mara nyingi zaidi na yanga kabeba ubingwa wa nchi mara 17 huku mbumbumbu wakiambulia mara 12
 
Kati ya kasoro tulizopata katika umoja wa makabila yetu ni pamoja na kuwa na watu wajingawajinga tu. Yaani yeye Msifie tu na kumuambia wewe ni zaidi ya fulani yaani atavimba kichwa na hatajali hata timu yake ikishuka daraja.
 
Kwamba al ahly hajawahi kukutana na yanga?
 
Jivunieni mpira mnaocheza uwanjani kwa sasa sio huu ujinga ulioandika hapa.
 
Mbona visingizio Vingi mbumbumbu, Kwa taarifa Yako Toka 1992 baada ya vyama Vingi bado mbumbumbu wamekandwa mara nyingi zaidi na yanga kabeba ubingwa wa nchi mara 17 huku mbumbumbu wakiambulia mara 12
Baada ya uhuru bado watu wengi walikuwa na mahaba na CCM

Na ndio maana hata chanzo cha vyama vingi hayakuwa maoni yaliyotokana na kura nyingi za watu.

Hakuna mtu aliye opt mfumo wa vyama vingi bali Nyerere mwenyewe ndio alipendekeza kuwe na vyama vingi.

Yanga ni CCM na ndio maana ime inherit kila kitu mpaka rangi.

Kama ambavyo CCM imekuwa ikishinda kwa magoli ya mkono ndio hivyo hivyo Yanga ilikuwa ikishinda miaka hiyo kwenye mechi za Derby.
 
Jivunieni mpira mnaocheza uwanjani kwa sasa sio huu ujinga ulioandika hapa.
Ukifanya vizuri wewe sio wakujipa pongezi bali watu wanaokuona ndio wanapaswa kukupa pongezi.

Al Ahly wameona juhudi zetu katika kuinua soka la Bongo na kuwa mtawala wa huu ukanda.

So you can't tell me a damn thing about minding my business
 
Km la Losers mmeshindwa kuleta, mtaleta lipi sasa? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zote ni mind games, akisema wewe ni bora ni kukujaza ujae akupige vizuri.

Kwani hamfuatilii mpira wa huko duniani jamani? Hiki ni kitu kidogo sana kupeana maelezo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mda mwingne kubali ukweli dyadyaa.
 
Unajua vigezo vilivyotumika kuchagua timu za kushiriki African football league? Acha propaganda mfu wewe unajivua nguo bure hapa, Kama kigezo kingekuwa ubora wa timu basi yanga angekuwa hapo bila wasi wasi usijitoe ufahamu
Sasa kwann hivyo Vigezo na bado Yanga hajakidhii.
Hujistukii?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Simba iz big
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…