joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Ipo wapi ?Ishu sio kiingereza ishu ni kuelewa, unaweza ukaambiwa hata kiswahili na bado usielewe na tatizo hakiwezi kuwa lugha.
Kwani hujaona nimeweka screenshot hapo?
Na hiyo screenshot nipatie refence yake haya sasa twende kisomi tuache maneno.....
Kama Kingereza kime kuwa kama neno la kwenye vitabu vya dini labda kwa upande wako, huyu commentator anaongea Kingereza chepesi.
Halafu CAF kipindi kile mnahangaika kuingia nusu wakapost kwenye page yao ya twitter kwamba unatafuta nafasi ya kufika fainali kwa mara ya kwanza.