Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

Al-Barzakh: Haya ndio Maisha ya Kaburini baada ya kufa

Aisee nimeelewa hiki ulichoandika.

Huenda ni kweli kuna nguvu fulani tusiyoijua, ila kuamini kua hakuna nguvu hiyo pia kunaleta mkanganyiko zaidi.

Binafsi naamini hiyo nguvu ipo ila tu ni jinsi ya kuifikia, historia iliyopo na kukua kwa utandawazi kunafanya ukweli upotee.

Na mpaka sasa naamini ukweli kuhusu hiyo nguvu unaweza kua si zaidi ya 50%. Kwasababu hapo kuna siasa, biashara, umaarufu na mengine mengi ya kupotosha.
Swali zito sana tulitoka wapi? Sababu theory of evolution ukiisoma inajichanganya and it doesn't make any sense, hata theory ya cosmic inflation pia doesn't make any sense!!
 
Swali zito sana tulitoka wapi? Sababu theory of evolution ukiisoma inajichanganya and it doesn't make any sense, hata theory ya cosmic inflammation pia doesn't make any sense!!
Bro ni ngumu mno kujua tulitoka wapi coz hata hivi vitabu vya dini navyo vinaongeza maswali mengi sana.

Maybe ndio maana wakasema ukiuliza sana kuhusu hizo dini unapata laana na hapo ndio unakua mwisho wako wa kufikiri.
 
Ndio maana huwa siamini kabisa theory of evolution, tatizo binadamu anataka kuelewa Kila kitu kuhusu powers that governs the universe na ndio contradiction inapokuja pale anaposhindwa kuelezea,

Ni sawa sawa utengeneze gari au ujenge nyumba na vitake kukujua au kukuelezea wewe mtengenezaji, it's impossible, it might be an irrelevant example but it serves the purpose, chunguza mdudu yoyote tu uone details zilizomo.

I have always come to a conclusion there's power that is so powerful that we can never ever comprehend! And that is my opinion ukiachana na mambo ya dini. Dini zinaweza hata zisimuelezee "Mungu" but your mind can discover the truth!!
Elimu tuliyopewa sisi wanaadamu ni ya kiutambuzi tu, elimu ya kujua majina ya vitu na ndio science.Elimu aliyopewa Adam alivyoumbwa akawashinda malaika. Actually science haitaweza kuunda hata bawa la mbu likaweza kufanya kazi kama Mungu alivyoumba.

Mungu analinganisha elimu aliyotupa sisi sawa na uchukue sindano uizamishe katika bahari vile vitone vitakavyotoka na sindano ndio elimu hii tunayojigamba nayo wakati ile iliyobaki ndio ya Mungu.

Wanaadamu si lolote si chochote mbele ya Mungu, we are insignificant,nothing. Ishara za uwepo wa Mungu zipo ndani ya nafsi yetu ila kwa vile ni jeuri na viburi tunajisahaulisha tu na kumkataa Mungu waziwazi
 
Quran 6:158

Wanangoja jengine ila wawafikie Malaika, au awafikie Mola wako Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi? Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini hapo hakutomfaa mtu kitu, ikiwa hakuwa ameamini kabla yake, au amefanya kheri katika Imani yake. Sema: Ngojeni, nasi pia tunangoja. .

Wafiadini huaminishana nadharia tupu. Sasa parapanda la kwanza likipigwa na wakafa viumbe wote inakuwaje; hawazikwi? Na kama sivyo anayewazika ni nani?
 
Acha uongo wako wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Utakuja kukumbuka haya maneno hali ya kuwa ushachelewa.Na kukumbuka kwako muda huo hakutakufaa kitu isipokuwa majuto tu.

Quran 6:158

Wanangoja jengine ila wawafikie Malaika, au awafikie Mola wako Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi? Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini hapo hakutomfaa mtu kitu, ikiwa hakuwa ameamini kabla yake, au amefanya kheri katika Imani yake. Sema: Ngojeni, nasi pia tunangoja.

Who wrote Qur'an?
 
Inafurahisha sana mtu kuwa haamini kama kuna Mungu halafu mtu huyo huyo anakiri na kutii mamlaka zilizowekwa na binadamu wenzake (serikali).

Kama huamini uwepo wa Mungu ,kwann usizae na Mama yako mzazi au dada zako wa kuzaliwa nao tumbo moja?

Kwasababu kwako wewe hakuna hukumu kwani ukishakufa unakuwa umekufa.

Nini kinakufanya usizae na ndugu zako mliozaliwa na baba na mama mmoja?
 
Who wrote Qur'an?
Quran 36:5-6

Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu.

*[It is a scripture] sent down gradually from the All-mighty, the All-merciful

Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa , basi wao wamekuwa wenye kughafilika.

*that you may warn a people whose fathers were not warned, so they are oblivious
 
Inafurahisha sana mtu kuwa haamini kama kuna Mungu halafu mtu huyo huyo anakiri na kutii mamlaka zilizowekwa na binadamu wenzake (serikali).

Kama huamini uwepo wa Mungu ,kwann usizae na Mama yako mzazi au dada zako wa kuzaliwa nao tumbo moja?

Kwasababu kwako wewe hakuna hukumu kwani ukishakufa unakuwa umekufa.

Nini kinakufanya usizae na ndugu zako mliozaliwa na baba na mama mmoja?
Kuzini na nduguyo wa damu ndio uthibitisho wa kutomuamini Mungu? Kama ndivyo unavyoamini, ni akili ndogo sana hii.

Hizi nyingine ni taratibu za kibinadamu tulizorithi kupitia maandiko ya enzi, ndio maana hata kwenye dini, imani yetu kuu (Mungu) ni moja ijapokuwa namna, kanuni na miongozo ya kuabudu hutofautiana kulingana na taasisi (dini) tulizochagua ama kuchaguliwa kuzifuata ili kumjua Mungu.

Mimi binafsi, daima ninaamini kuna watu wa namna mbili:

1. Spiritual person: huyu anaamini katika nafsi, roho na kweli yake inayomuunganisha na nguvu anayoamini ni kuu katika tawala zote za ulimwengu na mbinguni (Mungu/miungu)

2. Religious person: yeye hujikita katika kuzingatia misingi, kanuni na taratibu za njia yake ya imani (dini/dhehebu).

Ikae kichwani hiyo.
 
Wafiadini huaminishana nadharia tupu. Sasa parapanda la kwanza likipigwa na wakafa viumbe wote inakuwaje; hawazikwi? Na kama sivyo anayewazika ni nani?
Hata wewe unaamini dhana tu kuwa hakuna maisha baada ya Kifo, huna uhakika juu ya hilo. Your faith is fragile.

Huna certainity (Yaqeen/yakini) juu ya imani unayoiamini.

Ulishawahi kukaa ukajiuliza what if unakufa halafu baada ya kufa unakwenda kukutana na haya uliyoyakanusha? Je utakuwa katika hali gani ya majuto?
 
M
Kuzini na nduguyo wa damu ndio uthibitisho wa kutomuamini Mungu? Kama ndivyo unavyoamini, ni akili ndogo sana hii.

Hizi nyingine ni taratibu za kibinadamu tulizorithi kupitia maandiko ya enzi, ndio maana hata kwenye dini, imani yetu kuu (Mungu) ni moja ijapokuwa namna, kanuni na miongozo ya kuabudu hutofautiana kulingana na taasisi (dini) tulizochagua ama kuchaguliwa kuzifuata ili kumjua Mungu.

Mimi binafsi, daima ninaamini kuna watu wa namna mbili:

1. Spiritual person: huyu anaamini katika nafsi, roho na kweli yake inayomuunganisha na nguvu anayoamini ni kuu katika tawala zote za ulimwengu na mbinguni (Mungu/miungu)

2. Religious person: yeye hujikita katika kuzingatia misingi, kanuni na taratibu za njia yake ya imani (dini/dhehebu).

Ikae kichwani hiyo.
Maandiko yapi ya enzi uliyorithi wewe! Unaweza kuyathibitisha hapa? Na ni nani aliyeyaandika hayo maandiko na kipi kinakufanya uyaamini kuwa yanapaswa kufuatwa?
 
Hata wewe unaamini dhana tu kuwa hakuna maisha baada ya Kifo, huna uhakika juu ya hilo. Your faith is fragile.

Huna certainity (Yaqeen/yakini) juu ya imani unayoiamini.

Ulishawahi kukaa ukajiuliza what if unakufa halafu baada ya kufa unakwenda kukutana na haya uliyoyakanusha? Je utakuwa katika hali gani ya majuto?
Je na wewe usipoyakuta, utaujutia kiasi gani muda wako uliopoteza?
 
Elimu tuliyopewa sisi wanaadamu ni ya kiutambuzi tu, elimu ya kujua majina ya vitu na ndio science.Elimu aliyopewa Adam alivyoumbwa akawashinda malaika. Actually science haitaweza kuunda hata bawa la mbu likaweza kufanya kazi kama Mungu alivyoumba.

Mungu analinganisha elimu aliyotupa sisi sawa na uchukue sindano uizamishe katika bahari vile vitone vitakavyotoka na sindano ndio elimu hii tunayojigamba nayo wakati ile iliyobaki ndio ya Mungu.

Wanaadamu si lolote si chochote mbele ya Mungu, we are insignificant,nothing. Ishara za uwepo wa Mungu zipo ndani ya nafsi yetu ila kwa vile ni jeuri na viburi tunajisahaulisha tu na kumkataa Mungu waziwazi
Inawezekana watu hawamkatai Mungu, but vitu tuvionavyo vinatisha in terms of knowledge, chukulia tu sayari zinavyozunguka jua observing the laws of gravity, floating in space, if you want to understand how mysterious the forces of gravity is,

chukuwa knowledge ya mwanadamu, so far ndege tulizotengeneza can only float in space kwa engines za ndege ku escape the force of gravity, lakini dunia nzima with its solar system is floating in space and It can't escape the gravitational pull of the sun zimekaa kwenye orbit kwa utii!! Ukifikiri mambo kama haya sio tu kwamba yanatisha na kusisimua ila ukiwaza the power behind that then we are truly nothing and insignificant. Huwa napenda sana maneno ya Carl Sagan!!
 
Mi nilifkr kuna mtu ametoka kuzimu ili kutupa mchongo of what is going on huko down , kumbe story tuuu....!!

Muwe mnaenda straight to the poit
Du afadhali! Kumbe ni story ya mchongo
 
Kumbe kwenye suala hadithi za imani yenu umechagua zipi za kuziamini?!vipi na wale bikra 72 wenye macho ya mviringo?
Hapo ndo utagundua kabisa kweli kitabu chao wavaa madera ni ujinga mtupu! Bikra 72 wenye macho ya mviringo wanabadilika rangi mara elfu kwa siku! Peponi kuna kufanya ngono! Mtafuteni Mungu wa kweli Jamani! Yaani Mungu aje akupe tena mwili wa kufanya ngono? Lengo la ngono ni kuzaliana sio kingine! Sasa tuwaulize pepo yenu ya kwenda kufanya ngono ipi hiyo?
 
[emoji23]mtu mzima wewe acha janja janja typing error wajifanya hujui?umesema huamini adhabu ya kaburi kwa sababu kuna kiama,je adhabu za sharia zikishatolewa kiama hakuna tena kwa muadhibiwa?
Allah ni AL-‘ADL ٱلْعَدْلُ (The Utterly Just
Ukihukumiwa duniani huhukumiwi tena kwa kosa hilo hilo siku za Kiama.
 
Back
Top Bottom