Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana magaidi kiasi cha kupindisha ukweli?
Jana dunia nzima ilikuwa inaamini kwamba Israel kalipua hospitali lakini ajabu ni kwamba muda wote huo Al Jazeera alificha video za ushahidi kwamba bomu lililorushwa na Hamas lilijamu angani na kushuka kwa kishindo kwenye hospitali ya Gaza kupelekea mlipuko na vifo vya wapalestina kibao.
Hii ni live footage ya mji wa Gaza iliyokuwa inarushwa live kwenye channel ya Al Jazeera lakini walipoona Hospitali imelipuliwa kwa kombora la Hamas lililojamu angani wakakatisha live footage na hawajuripoti tena mpaka sasa, uzuri ni kwamba teknolojia imekua nakala zinatunzwa.
View attachment 2785279