Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana Magaidi kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel

Wewe ndio uko outdated, Israel alipost kuonesha bomu limetumwa na Islamic jihad kosa ni kuwa hawakuondoa tarehe ya mwaka 2022 baada ya Congress moja kutweet kuwa mbona bomu la tarehe za mwaka 2022 Israel wameondoa ile tweet. Hamas wana mabomu lakini sio makubwa kiasi cha kufanya maafa makubwa. Kila mtu anajuwa Israel karusha iwe kwa bahati mbaya au makusudi yanatokea haya kwenye vita. Kuhusu Aljazeera hawana tofauti na CNN na wengine wote wamekuwa kama TBC unatangaza based na egenda zenu hakuna chombo wala kimoja kikakupa habari balance kama zamani, siku hizi ni agenda zao na propaganda ndivyo walalipwa na sponsers wao.
Kuna video mbili tofauti,video ambayo Israel ilitoa ndio ambayo Aljazeera walionyesha walipokua live wakati makombora yanarushwa.
 
La

Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana magaidi kiasi cha kupindisha ukweli?​

Jana dunia nzima ilikuwa inaamini kwamba Israel kalipua hospitali lakini ajabu ni kwamba muda wote huo Al Jazeera alificha video za ushahidi kwamba bomu lililorushwa na Hamas lilijamu angani na kushuka kwa kishindo kwenye hospitali ya Gaza kupelekea mlipuko na vifo vya wapalestina kibao.

Hii ni live footage ya mji wa Gaza iliyokuwa inarushwa live kwenye channel ya Al Jazeera lakini walipoona Hospitali imelipuliwa kwa kombora la Hamas lililojamu angani wakakatisha live footage na hawajuripoti tena mpaka sasa, uzuri ni kwamba teknolojia imekua nakala zinatunzwa.

View attachment 2785279
Bda hamas ni magaidi kwa mtazamo wako
 
Hamna video iliyofutwa na kama hujui kuna baadhi ya mataifa kwa incident ya Jana waomba Satellite Footage.

Msemaji wa IDF baada ya hilo tukio alitweet na akaifuta mda mfupi baada ya kuipost.
 
Najua huna hata bando la kucheki video ndio maana unaongea kwa makadirio
Lile bomu limechunguzwa limetengenezwa marekani na limetupwa kutoka kwenye ndege, hamas ana ndege? Na mkutano aliyoitisha biden jordan waarabu wamegoma kushiriki badala la kugundua ukweli huu , acha utoto muwe mnajielimisha kwanza kabla ya kupayuka
 
Nifikirie kadiri upendavyo that will not change who I'm.

BTW, Who am I?
Of cause, I'm your enlightment.
Nakufunua akili yako uliyo lishwa uongo wa karne nyingi ili uwe mtumwa wa walio kuletea dini.
Uongo?tena? Dah kweli wewe ni Robot tena made in Telaviv
 
Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana magaidi kiasi cha kupindisha ukweli?​

Jana dunia nzima ilikuwa inaamini kwamba Israel kalipua hospitali lakini ajabu ni kwamba muda wote huo Al Jazeera alificha video za ushahidi kwamba bomu lililorushwa na Hamas lilijamu angani na kushuka kwa kishindo kwenye hospitali ya Gaza kupelekea mlipuko na vifo vya wapalestina kibao.

Hii ni live footage ya mji wa Gaza iliyokuwa inarushwa live kwenye channel ya Al Jazeera lakini walipoona Hospitali imelipuliwa kwa kombora la Hamas lililojamu angani wakakatisha live footage na hawajuripoti tena mpaka sasa, uzuri ni kwamba teknolojia imekua nakala zinatunzwa.

View attachment 2785279
Ndio tuseheme akili yako ni butu kiasi cha kushindwq kujua propaganda na ukweli, au ndio Mapenzi kwa Waisraeli yamekuzidi. Waisraeli sio watu wa kiwachekea hao wamelaaniwa, hao ndio waliopiga mijeledi Yesu we bado unawatetea.
 
Uongo?tena? Dah kweli wewe ni Robot tena made in Telaviv
Kama ukiniita robot inakupa faraja naomba urudie kuniita hivyo mara 1000.
Labda nitapata dhawabu kama mnvyo amini wafia dini.
 
Wewe unachuki binafsi ktk moyo na jamii ya kiislam. Sio bure
 
Hamdanganyi watu. Dunia nzima inajua Isreal. Wewe MKTT wa Mbagala unapiga porojo. Unafaidika na nini kuuliwa waislam?
Wameuana wao wenyewe!! Hivi mafundisho yenu mbona ni vurugu tu? Mtaishia motoni
 
Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana magaidi kiasi cha kupindisha ukweli?​

Jana dunia nzima ilikuwa inaamini kwamba Israel kalipua hospitali lakini ajabu ni kwamba muda wote huo Al Jazeera alificha video za ushahidi kwamba bomu lililorushwa na Hamas lilijamu angani na kushuka kwa kishindo kwenye hospitali ya Gaza kupelekea mlipuko na vifo vya wapalestina kibao.

Hii ni live footage ya mji wa Gaza iliyokuwa inarushwa live kwenye channel ya Al Jazeera lakini walipoona Hospitali imelipuliwa kwa kombora la Hamas lililojamu angani wakakatisha live footage na hawajuripoti tena mpaka sasa, uzuri ni kwamba teknolojia imekua nakala zinatunzwa.

View attachment 2785279
We jamaa unazidi kujishushia heshima humu, video ushaambiwa ya zamani kila uzi unaipost, hivi unajua kama hio video inaonesha hadi tarehe na muda? Hebu nisomee kwenye hio video inaonesha muda ni saa ngap na tukio lilitokea saa ngap
 
Kuna video mbili tofauti,video ambayo Israel ilitoa ndio ambayo Aljazeera walionyesha walipokua live wakati makombora yanarushwa.
Hio video ya Al jazeera ina Tarehe sio ya Jana na ile ya mwanzo ni ya 2022 video zote mbili ni fake
 
Mimi siyo muislam nimebatizwa kanisa katoliki takatifu la mitume. Ingawa sasa sijinasibishi nalo wala dini yeyote.
Naamini uwepo wa Mungu tu.
Siamini Sana juu ya pepo, mtu akifa amekufa, atarudi tena duniani katika namna nyingine baada ya viumbe vingine kumtumia huyo binadamu kama chakula kisha kuzalisha uhai mpya.
Mnyama anakufa anakuwa chakula cha mimea au wanyama wengine kisha navyo huzalisha viumbe vingine kupitia lishe hiyo.
Therefore, I'm sure after this life I will come back to earth alive in other forms, 100% guaranteed.
Buddhism Religion believes has really brainwashed your thinking capacity, though the life after living organisms death is upon yourself to choose which way you gonna take it deeply.
 
Hamdanganyi watu. Dunia nzima inajua Isreal. Wewe MKTT wa Mbagala unapiga porojo. Unafaidika na nini kuuliwa waislam?
Mbwa wewe unambiwa hilo bomu lahamas limejam likapiga hospital yakanisa nawakristo kibao wamekufa unakuja kusema waislam cjui nin unazan gaza wote waislam.... Narudia tena mbwa mmoja ww
 
Al Jazeera ni ya waarabu lazima wasapoti waarabu wenzao
 
Back
Top Bottom