Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
We tuliza ball Hamasi ana missiles bado hajazitumia na Maelfu ya wanamgambo wake bado wanasubiri amri kuimaliza Tela Avivi.Aljazeera wanatoa data kutoka hospital za Gaza ambazo zipo chini ya utawala wa Hamas.Ambazo kwenye hizo hospitali magaidi wa Hamas wanajificha unategemea nini hapo?
Na UN jinsi walivyo mapoyoyo facilities zake zinatumiwa na Hamas kujificha,kupitisha mahandaki chini na kushambulia israeli, halafu wanailaumu Israeli kushambulia hayo maeneo.
Israeli wanaijua Gaza kuliko mtu yeyote kwa hiyo wakae wakitulia wakati Israeli ikifanya yake!
Kaa mkao wa kula
View: https://youtu.be/F27T-D6p2oU?si=9111HWajjlo01aZF