Al-Jazeera ni TV ya ovyo, kwenye vita ya Israel vs Hamas hawasemi athari zinazotokea upande wa Hamas

We tuliza ball Hamasi ana missiles bado hajazitumia na Maelfu ya wanamgambo wake bado wanasubiri amri kuimaliza Tela Avivi.

Kaa mkao wa kula


View: https://youtu.be/F27T-D6p2oU?si=9111HWajjlo01aZF
 
Waarabu wanauza sana bangi na unga pale Malmo!!!!
Wamepagawa
 
Nilitazama siku moja tu nikaachana nao!

Tunaoneshwa tutoto tunatoatoa kamasi muda wote hospitalini as if Israel inalenga Day care centers pekee huko Gaza!
 
WAARABU NA WAISLAMU UPANDE WA HAMAS KATIKA MEDIA.
WAYAHUDI NA WAKRSTO UPANDE WA IDF KATIKA MEDIA
NGOMA NANGWA πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nilitazama siku moja tu nikaachana nao!

Tunaoneshwa tutoto tunatoatoa kamasi muda wote hospitalini as if Israel inalenga Day care centers pekee huko Gaza!
UKIANGALIA AL JAZEERA NA BBC UTAONA UTOFAUTI WA KURIPOTI HII VITA..
ANGALAU BBC WANABALANCE PANDE ZOTE ILA SIO AL JAZEERA
 
mkuu unawalaumu bure hao AJ hata hao IDF wenyewe sijui kama washawahi kutana na hao wazee wa kazi Hamas ndo maana wenyewe wanajipigia tu yeyote likimkuta ewala,Israel wamevurugwa matokeo yake wanakamata wasio na hatia na kusingizia ndio Hamas,wacha AJ waripoti wanachokiona kama IDF jeshi bora kabisa duniani kwa mujibu wenu hawawaoni Hamas AJ watawezaje kuwaona..
 
Sheikh vita mbinu ikiwa ni pamoja na ku calculate hasara ya vita( loss of trained individuals) huwezi ukasokomeza kwenye mashimo askari uliofundisha kwa garama kwenda kwenye operation ya kumfata Hamas mashimoni. Hakuna jeshi chini ya jua linaweza kuingia humo mashimoni zaidi ya kutumia mbinu mbadala ndo maana Israel ilizuia supply ya necessities ( mafuta,chakula na maji) zisiwafikie Hamas mapangoni hiyo ni mbinu ya kivita. Hata Hamas wanao surrender sasa hivi wanakimbia mafuliko ya maji yasije wapata huko mapangoni kumbuka Israel imeanza kuyajaza maji mapango.
 
Mkuu IDF wamepigana na waarabu miaka 60 na hakuna jpya waarabu wamefanya zaidi ya kulia lia tu
Umesahau vita ya PLO NA IDF 1982 mjini beirut.
Tatizo la waarabu na waislamu ngonjera nyingiiiiii.
 
Kwani BBC, CNN Sky News nk nk wanatangazaga kichapo wanachokitoa Hamas? Kama Aljezeela hawatanagazi waambie BBC watangaze
 
Ivi wewe unajua kuangalia Televishen? Aljazeera ndio TV pekee inayoleta kila kinachojiri hayo majengo ya raia waliyoangusha Israel pia ni habari za upande ule lakini bado zipo live muda wote, injured, waliokufa nk wako wazi sana kuliko BBC na CNN
 
Kwahio baada ya muda gani hamas haitasikika tena
Sio mujaze maji tu yaani jazeni hata na mafuta
Suala la kuifuta hamas mulisahau kabisaaa
 
Umejitia ufahamu.Umeingea kishabiki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…