Ali Kiba anadai kila mtu kazaliwa Muislamu na kwamba Wakristo wote ni watu waliobadili dini

Naona unachanganya vitu viwili hapa, uthibitisho(proof) na madai(claims).
Unaponipa aya za kuran, unanipa madai ya waarabu kwamba mungu kawaambia nini.
Hayo ni madai ya waarabu kwamba mungu anataka tufanye nini.
Akili yako inabidi itambue utofauti kati ya uthibitisho na madai.
 
Hivi wajua kuwa kabla ya uislam na ukristo Ibrahim by default alikuwa myahudi na hii pamoja na manabii wengine kama Mussa, Noah pia Yesu? Acha matusi na ukatae kuwa Biblia yenye vitabu vya torati na injili kuwa uislam hauvitambui na vilikuwepo kabla Ujio wa uislam.

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
 
mbona akili yako au elimu yako inaonekana ndogo kweli. Nani amekwambia uislam ni dini yb waarabu. Kuna muarabu amewahi kudai uarabu ni dini yao wao tu akakupa na evidence? Mbona kuna waarabu wakristo.uzuri wa uislam hayafuatwi maneno ya mtu, tunachotii sisi mungu ametwambia nini. Uislam unajieleza wenyewe kuwa ni wa wote. Nimetoa aya nyingi kuhusu mungu anatuambia sote sisi ni waislam tangu matumboni mwa mama zetu. Mfano yesu anasema yeye ni mnyenyekevu na inabidi vmfate yeye uwe mnyenyekevu lakini kumbuka neno islam maana yake unyenyekevu. Hebu nipo aya moja tu ukristo ni dini leo nijibu wewe. All ze best
 


leo sijazisoma hoja zako nikwambie ukweli naona za kitoto. Kwasbb tayar wewe mwenyewe umesema nadharia (theory)/dhana/mawazo tena yako kutoka kichwani mwako with no clear proof. Na jana nilikupa maswali huna hata moja ulojibu. Nachoka kusomesha. Nilichogundua unabishana kwa kitu usichokifahamu. Umebaki na inawezekana tu sasa huo si unursery. kuna theory moja inaitwa 'evolution of man' inasema binadam ameanza kwa kuwa sokwe ndio akawa mtu (mie sie lakini), wazungu wao hawataki kuitwa masokwe ila watu weusi mnaitwa masokwe (wewe na wenzako msojielewa) mnaosupport 'theorism' je wewe ni sokwe/kima?
 
wewe kaa pembeni huna hoja ila russia nae ni al-shabab, marekani ni al-shabab, m25 ni alshabab, hitler ndie alieuwa watu wengi zaidi ni al-shabab? bongo kila siku watu wanachinga ingia ktk vyombo vya habar. unanichosha kurejea dozi hizo hizo sitorejea tena
 

Siku ukiijua tamaduni yko ndo mwanzo wa hutafikiri kama mtumwa hivi
 
Siku ukiijua tamaduni yko ndo mwanzo wa hutafikiri kama mtumwa hivi
sie sote tayari ni watumwa bila ya hata tamaduni. Maisha yanakufanya uwe mtumwa automatically, ona unavyojituma either kusoma, kutafuta pesa, chakula, mke, watoto na mengine mengi. Wangapi wanatumwa na waafrika wenzao, makampuni, wazungu na wengine, huo ndio mfumo wa maisha. Mfano wewe ni mtumwa wa akili yako unajichanganya mwenyewe. Good day
 
Huo ni msimamo wa waislamu karibia wote

Ila ukweli ambao hausemwi ni kuwa watu wote tulizaliwa tukiwa atheist

Sio kweli labda wakristo maana huwenda kubatizwa kua wakristo kamili
 
Hivi wajua kuwa kabla ya uislam na ukristo Ibrahim by default alikuwa myahudi na hii pamoja na manabii wengine kama Mussa, Noah

pia Yesu? Acha matusi na ukatae kuwa Biblia yenye vitabu vya torati na injili kuwa uislam hauvitambui na vilikuwepo kabla Ujio wa uislam.

Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
toa ushahidi basi usitupe porojo za kichwani mwako, acha maandiko yanatueleze, quran (3:67) 'Ibrahim hakuwa myahudi wala mnaswara lakini alikuwa mwislam, mnyoofu na hakuwa katika washirikina'. Uyahudi ulitokea baada ya musa, na baina ya musa na ibrahim kulikuwa na miaka 1
000. Ukristo ulizuka baada ya issa (yesu) baina ya yesu na ibrahim kuna miaka 2000.itakuwaje aliyetangulia awe katika dini ya aliekuja nyuma? Biblia haina torati ila ina kumbukumbu la torati
tena tafsiri tu. Torati ya asili na injil ya asili hazipo. Waandishi wa biblia ni akina luka, mathayo, marko waandishi wa injil tatu za kwanza, paulo mwandishi wa barua 13 au 18 ktk biblia. Yohana, mwandishi wa waebrani na wengine. Lengo ni kukufahamisha kuwa torati na injil kweli zilikuwepo kabla ya quran na waislam hatupingi kwa asilimia 1000 ila izo mlizonazo nyie ndio zile za mussa na issa, tupeni basi ile torati ya asili ya musa sio kumbukumbu aloandika mtu, pia injil ya asili ya issa ya kiebrania ipo wapi ili tulinganishe na agano jipya. Mfano quran ya asili aloteremshiwa mtume kupitia malaika jibril ipo hadi leo na tafsiri za lugha ili kuweza kufahamika kwa urahisi. Swali ipo wapi torati na injil ya asil ili xaislam tuifate biblia?
 
Yaani wewe unipe msg ya uislam mm? Unachekesha sana.
ndio sio waislam tunatakiwa kufikisha ujumbe wa mungu (neno la mungu) hiyo ni amri sio ombi, hata mitume na manabii wanafikisha ujumbe kutoka kwa mungu. Je mie nimekosa nini hapo? au lugha imekushtua (message sent) basi samahani nabadilisha kauli yangu nasema hivi 'natumai neno la mungu limekufika' hii vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…