inawezekana katika hayo mambo yenu mengine lakini katika hilo tamko yupo sawa tena sana tu ila ukweli unakeraMkuu msamehe tu maana ukifuatilia vitendo vingi vya kiba utajua kuwa ana level ndogo ya maturity and intellectual capacity
thanks bro ila usiengeze kitu ambacho sijasema, mie hunitegi ivyo. sijasema wala hakuna andiko nilotoa linalosema ibrahim ni myahudi au mnasara. nikisema hivyo it means mie sio muislam na nimepinga maandiko. (quran 3:67) 'Ibrahim hakuwa myahudi wala mnasara lakini alikuwa mwislam, mnyoofu na hakuwa katika washirikina' . Hebu naomba wewe nipe andiko ibrahim anasema yeye myahudi, au mungu anasema 'ibrahim ni myahudi' katika biblia mana ndo tunasoma hivi au unasemaje bro. Ile aya ina maana kwa kwamba amempa utume ibrahim kuwa hoja/uthibitisho wa kuwepo mungu wa haki kwa washirikina, ikaendelea kusema kuwa mungu pia aliwapatia utume wengine aliowateua yeye mwenyewe, ikasema mungu humpa utume amtakae (it means sio wale wanaojipa wenyewe, haya yangu tu usijali) kuna vipimo na vigezo upasi ili ukubalike utume wako hili darasa kubwa tupate mashehe na wasomi wakubwa wa diniWell Said Bro. Kumbe Mola wa Ibrahim ambaye alikuwa myahudi ni tofauti na Mola 'wao' jinsi Quran 83-86 isemavyo?
Nimeamini ukweli upo wazi ila hawataki kuu kubali.
Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
Hapa naona tutakaa Sana. Nashauri kila Mwenye Imani yake abaki kuamini anachoamini na mwisho Wa yote atavuna alichopanda. .thanks bro ila usiengeze kitu ambacho sijasema, mie hunitegi ivyo. sijasema wala hakuna andiko nilotoa linalosema ibrahim ni myahudi au mnasara. nikisema hivyo it means mie sio muislam na nimepinga maandiko. (quran 3:67) 'Ibrahim hakuwa myahudi wala mnasara lakini alikuwa mwislam, mnyoofu na hakuwa katika washirikina' . Hebu naomba wewe nipe andiko ibrahim anasema yeye myahudi, au mungu anasema 'ibrahim ni myahudi' katika biblia mana ndo tunasoma hivi au unasemaje bro
ok nashukuru sana na mie nna imani tumesomeshana sana na tumefaidika na kupata muelekeo. Ila tujitahidi kufanya tafiti za maandiko regardless uwe muislam, mkristo au nyengine ili tuepukane na adhabu ya bwana tukawa magugu yatakayokuja chomwa moto. Ubarikiwe bro mungu akuzidishie elimu na ayasafishe maisha yako yawe bora na mazuri inshallahHapa naona tutakaa Sana. Nashauri kila Mwenye Imani yake abaki kuamini anachoamini na mwisho Wa yote atavuna alichopanda. .
Sent from my WAS-LX1 using JamiiForums mobile app
[emoji120][emoji120]ok nashukuru sana na mie nna imani tumesomeshana sana na tumefaidika na kupata muelekeo. Ila tujitahidi kufanya tafiti za maandiko regardless uwe muislam, mkristo au nyengine ili tuepukane na adhabu ya bwana tukawa magugu yatakayokuja chomwa moto. Ubarikiwe bro mungu akuzidishie elimu na ayasafishe maisha yako yawe bora na mazuri inshallah
Unachoshindwa kuelewa ni hiki,mbona akili yako au elimu yako inaonekana ndogo kweli. Nani amekwambia uislam ni dini yb waarabu. Kuna muarabu amewahi kudai uarabu ni dini yao wao tu akakupa na evidence? Mbona kuna waarabu wakristo.uzuri wa uislam hayafuatwi maneno ya mtu, tunachotii sisi mungu ametwambia nini. Uislam unajieleza wenyewe kuwa ni wa wote. Nimetoa aya nyingi kuhusu mungu anatuambia sote sisi ni waislam tangu matumboni mwa mama zetu. Mfano yesu anasema yeye ni mnyenyekevu na inabidi vmfate yeye uwe mnyenyekevu lakini kumbuka neno islam maana yake unyenyekevu. Hebu nipo aya moja tu ukristo ni dini leo nijibu wewe. All ze best
personal issues hazituhusu huo umbea na mwanamme si uzuri kuwa mbea utaishia kuolewa jitafakari bro
Allah wako ni nadharia pia kwasababu huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Allah.leo sijazisoma hoja zako nikwambie ukweli naona za kitoto. Kwasbb tayar wewe mwenyewe umesema nadharia (theory)/dhana/mawazo tena yako kutoka kichwani mwako with no clear proof. Na jana nilikupa maswali huna hata moja ulojibu. Nachoka kusomesha. Nilichogundua unabishana kwa kitu usichokifahamu. Umebaki na inawezekana tu sasa huo si unursery. kuna theory moja inaitwa 'evolution of man' inasema binadam ameanza kwa kuwa sokwe ndio akawa mtu (mie sie lakini), wazungu wao hawataki kuitwa masokwe ila watu weusi mnaitwa masokwe (wewe na wenzako msojielewa) mnaosupport 'theorism' je wewe ni sokwe/kima?
Nawewe ni nani kulingana na jina lako?Mjinga utakuwa wewe mleta mada.
Dini yako ni ipi?
Ali kiba yupo sahihi kwa [emoji817]
Kama wewe ni mwarabu uko sahihi ila kama ni Mwafrika basi ni JINGA KUUAcha chuki za kijinga huo ndio ukweli wenyewe kila Mtu huzaliwa akiwa Muislam ila wazazi ndio humfanya awe mnaswala au majusi.
Hizo habari za eti dini walituletea wageni Ni za kijinga Sana na hazina mantiki.
Babu yetu Nabii Ibrahimu ..alikuja kwa meli au nn.
Hapo kasimamia Mungu au islam?Hawezi kucha kusimamia dini kisa eti brand yeye anamwamini mungu wake.
Hapo kasimamia Mungu au islam?Hawezi kucha kusimamia dini kisa eti brand yeye anamwamini mungu wake.
ALLAH si nadharia, kwasababu nimekupa hoja nyingi katika maandiko, maumbile na mazingira na nimekupa maswali hakuna hata moja ulojibu. Hoja nyengine nakupa ingekuwa ALLAH ni nadharia ingekuwa sie waislam sawa na wewe au wewe sawa na sie kwsbb wewe ndo mtu wa nadharia ndo wazungu wanakwita kima. Uwepo wa ALLAH kwanza uwepo wako wewe ni ushahidi tosha, hebu jiulize kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi, hayo maini, figo, moyo kaviweka nani katika mwili wako, hewa unayovuta kwanini ipite puani isipite masikioni na kwanini ikifika muda unakufa, mbona huli mawe unakula chakula tena maalum kama ingekuwa nature tungekula sawa sote, hayo inaonesha yupo mwenyewe na kaweka utaratibu wa kila kitu. Mbingu na ardhi ni ushahidi wa uwepo wa ALLAH, ingekuwa nature mbingu ingekuwa chini na ardhi ingekuwa juu lkn inaonekana imewekewa utaratibu maalum na mwenyewe, uwepo wa bahari, mito na maziwa ni ushahidi wa kuwepo muumba ingekuwa nature bahari na mito isingekaa katika position yake, miti na wanyama ni uwepo wa muumba, ingekuwa nature kungekuwa jangwa au pori tupu kama sayari. Ushahidi ni mwingi sana siwezi kumaliza kwsbb elimu yangu ndogo lakini jua, nyota, mwezi, uwepo wa sayari na vyengine vyote inaonesha yupo alievitengeza na akaweka mpangio maalum wa kuishi, watu waishi vipi, wanyama waishi vipi na miti iishi vipi. Kutokana na wewe unaamini nature, sasa wewe wazazi wako walipokuwa kima wewe kabla ya kuzaliwa ulikuwa nani (NAOMBA JIBU PLEEEAASE)Allah wako ni nadharia pia kwasababu huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Allah.
Naona unajua nadharia moja tu ya evolution uliyofundishwa O'level.
Sasa ujifunze nadharia sio evolution peke yake😂
Jitafari wewe uliyeolewa ,Bwaba Mkubwa.
Wengine wanaua watu kwa ubinafsi wao tu na tamaa ya madaraka au mali.wewe kaa pembeni huna hoja ila russia nae ni al-shabab, marekani ni al-shabab, m25 ni alshabab, hitler ndie alieuwa watu wengi zaidi ni al-shabab? bongo kila siku watu wanachinga ingia ktk vyombo vya habar. unanichosha kurejea dozi hizo hizo sitorejea tena
Ushanita bwana tena mkubwa tena lipo la kuongeza apo mie
Nashukuru kwa kukiri uislam ni dini ya haki, Mungu akuongoze katika dini ya haki, pili russia sio waislam, marekani sio waislam, hitler si muislam, waesraili nao si waislam umeona!!! lakini ukristo unaruhusu kuuwa kwa ubinafsi na kutaka madaraka na mali au wote sawa tu kama hao al-shababu au unaoana raha mmarekani, urusi na wengine wafanye mauwaji ya watu lakini al-shabab na hao wengine ndo wabaya. tatu mie sishabiki mauwaji yoyote kwasababu uislam umekataza kuuwa bila sababu ila kama mmevamiwa mnaruhusiwa kujitetea kama ukraine vile. nne sio kafiri wala mnafiki kwasababu ya mauwaji ya al-shabab au ISIS kwasababu wale hawachagui ktk kuuwa wanaripua hadi miskiti, sikiliza mbona mataifa ya kiislam yapo hata kumwaga damu, juzi tu nchi za kiafrika zilipindua serikali. Kafiri sio matusi ni neno linalomaanisha mtu anaeukanusha uislam (amekufuru). 5:72-73 (quran) inasema 'hakika wamekufuru waliosema: M/Mungu ni masihi mwana wa maryam na hali masihi mwenyewe alisema : enyi wana wa israili muabuduni M/Mungu, mola wangu mlezi na mola wenu mlezi. Kwani anaemshirikisha M/Mungu, hakika M/Mungu atamuharamishia pepo, na mahala pake ni motoni'. Hii inafanana na marko 12:29-31 'yesu akamjibu, ya kwanza ndio hii, sikia israeli, bwana mungu wetu ni bwana mmoja, nawe mpende bwana mungu wako kwa moyo wako wote'. Nadhani umenielewa vizuriWengine wanaua watu kwa ubinafsi wao tu na tamaa ya madaraka au mali.
Bali, Al-Shababu, ISIS, Bokoharam, Al-Qaida, na vikundi vingine vya Kiislamu vinapigana kuupigania Uislamu tu basi.
Uislamu dhidi ya maadui zake.
Ili badae Uislamu utawale Dunia yaani kuwe na dola moja tu ya Kiislamu.
Wote tutawaliwe na Sharia za Kiislamu.
Hivi wewe huoni lengo lao ni zuri na linaungwa mkono na waislamu wote ?
Au wewe ni kafiri ?
Kama si Kafiri basi utakuwa kati ya wanafiki wakubwa walioko katika Dini hii ya Haki.
Tusiwatukane wazee hawana hatia na wamefanyakazi kutuzaa na kutunza hadi tumekuwa. Mungu amlinde mzazi wako na wangu. All ze bestBwabwa Mkubwa naona unatafuta Bwana ...nipe Mama yako basi kama vipi.
Kwani hao Marekani na Hitler waliua kwa kutumwa na Ukristo ?Nashukuru kwa kukiri uislam ni dini ya haki, Mungu akuongoze katika dini ya haki, pili russia sio waislam, marekani sio waislam, hitler si muislam, waesraili nao si waislam umeona!!! lakini ukristo unaruhusu kuuwa kwa ubinafsi na kutaka madaraka na mali au wote sawa tu kama hao al-shababu au unaoana raha mmarekani, urusi na wengine wafanye mauwaji ya watu lakini al-shabab na hao wengine ndo wabaya. tatu mie sishabiki mauwaji yoyote kwasababu uislam umekataza kuuwa bila sababu ila kama mmevamiwa mnaruhusiwa kujitetea kama ukraine vile. nne sio kafiri wala mnafiki kwasababu ya mauwaji ya al-shabab au ISIS kwasababu wale hawachagui ktk kuuwa wanaripua hadi miskiti, sikiliza mbona mataifa ya kiislam yapo hata kumwaga damu, juzi tu nchi za kiafrika zilipindua serikali. Kafiri sio matusi ni neno linalomaanisha mtu anaeukanusha uislam (amekufuru). 5:72-73 (quran) inasema 'hakika wamekufuru waliosema: M/Mungu ni masihi mwana wa maryam na hali masihi mwenyewe alisema : enyi wana wa israili muabuduni M/Mungu, mola wangu mlezi na mola wenu mlezi. Kwani anaemshirikisha M/Mungu, hakika M/Mungu atamuharamishia pepo, na mahala pake ni motoni'. Hii inafanana na marko 12:29-31 'yesu akamjibu, ya kwanza ndio hii, sikia israeli, bwana mungu wetu ni bwana mmoja, nawe mpende bwana mungu wako kwa moyo wako wote'. Nadhani umenielewa vizuri
mbona gari imetoka nje ya nchi na unatumia, mbona simu inatoka nje ya nchi na unatumia, umevaa nguo? Kutoka wapi? Lakini hujanibu swali langu au hulitakiUnachoshindwa kuelewa ni hiki,
Kitabu (kuran) tumeletewa na watu toka nje ya nchi yetu wakidai ni maagizo ya Mungu. Hakuna mwenye uwezo wa kuthibitisha kama ni kweli kuna Mungu alitoa maagizo ya kuran.
Mimi nnapo kwambia utoe uthibitisho naona akili yako haielewi kabisa maana ya uthibitisho. Unanipa maneno toka kwenye kitabu walicholeta watu wengine toka nje ya nchi bila kuwa na uwezo wa kuthibitisha kama hayo maneno ni maagizo ya Mungu mr. Genius 🤦🏾♂️