huweleweki bro au almradi uchangie, sawa umeshachangiaNawewe ni nani kulingana na jina lako?
islam ni uko wa kiarabu na imani/mila yao ni islamic.
Sasa nyie mbwea mnahusianaje na ukoo huo au miila hizo???
Muwe na ibu basi wajinga nyie basi kama ni ukoo wa islam ubini wenu pia uwe islam i.e alikiba islam,
Kwani hao Marekani na Hitler waliua kwa kutumwa na Ukristo ?
Au sababu ya kusimika Dola ya Kikristo ?
Hitler alivyoua Waisraeli alitaka kueneza Dini gani ?
Urusi naye anataka kusimika Dini ipi huko Ukraine ?
Hao tamaa tu za madaraka na Mali.
Wapigania Dini wanafahamika.
Huu ndio ukweli watu tunazaliwa hatujui kitu zaidi ya kujua kunyonyaHuo ni msimamo wa waislamu karibia wote
Ila ukweli ambao hausemwi ni kuwa watu wote tulizaliwa tukiwa atheist
Mtu anaziliwa akijua kunyonya tuu ,Acha chuki za kijinga huo ndio ukweli wenyewe kila Mtu huzaliwa akiwa Muislam ila wazazi ndio humfanya awe mnaswala au majusi.
Hizo habari za eti dini walituletea wageni Ni za kijinga Sana na hazina mantiki.
Babu yetu Nabii Ibrahimu ..alikuja kwa meli au nn.
Mfano kuongea kila mtu anazaliwa akiwa na uwezo wa kuongea ukiacha mabubu ila lugha tunajifunza kutokana na jamii tunayoishiLogicaly ni kwamba dini ni ubunifu wa mtu
Alianza mtu ndio zikaja dini
Mtu ndio aliyeanzisha dini
Dini haijaanzisha mtu
Mpaka hapo utaona atheist ni default position ambayo kila mtu kaipitia
We jamaa, mbona umeng'ang'ania kusema tulikua Kima? Hivi nimbona gari imetoka nje ya nchi na unatumia, mbona simu inatoka nje ya nchi na unatumia, umevaa nguo? Kutoka wapi? Lakini hujanibu swali langu au hulitaki
hakuna hata kimoja ulichojibu kama shule divisheni 0 na evidence umebaki na labda/inawezekana no sure. Hata shule unaambiwa with vivid evidences.We jamaa, mbona umeng'ang'ania kusema tulikua Kima? Hivi ni
Nani amekwambia nadharia ya evolution ndiyo nadharia pekee kwenye sayansi. Jifunze, nadharia zipo nyingi.
Haya najibu maswali yako:
1. Maada na nishati zimewekwa na nani?
Jibu: hakuna ajuae. Ndiyo sababu watu wakaamua kuunda mifumo ya imani wakitegemea pengine aliyeviweka yupo na wanaweza kuwasiliana nae.
2. Tukifa hizo maada zinatupa nini?
Jibu: hapa cha zaidi ni kukupa elimu sababu huelewi hata umeuliza nini. Nikuelimishe kuwa hewa, mwili wako na vyakula unavyokula vyote ni maada.
Wewe hapo ulipo ni maada kuanzia vidole, ubongo hadi nywele.
3. Kwanini wengine wagonjwa wengine wazima, wanene,wembamba n.k?
Jibu: miili yetu na miili ya viumbe hai yote inafata DNA zetu.
Ugonjwa na afya ni hali tofauti za mwili.
Kuna muda ukifika utakufa kwasababu seli zako za mwili zinakufa.
4. Kwanini kusiwe na usiku tu bila mchana?
Jibu: Hii ni physics. Ulisoma physics ya advance. Tunaweza kuanza na mjadala wa astronomy, mimi sioni shida.
5. Mbona gari, simu na nguo vimetoka nje ya nchi na natumia?
Jibu: Sijakwambia kutumia vitu toka nje ya nchi si sahihi, la hasha.
Tamaduni, elimu na bidhaa toka kwa wengine si kitu kibaya.
Busara ni kutambua kipi ni mantiki na kipi si mantiki.
Sijasema usisome vitabu, kusoma vitabu ndiyo mwanzo wa maarifa.
Nnachokataa ni wewe kusoma kitabu kimoja tu cha dini na kuamua na kukifata bila kuchunguza upate mantiki na uthibitisho.
Sasa unataka evidence kwamba una maada kwenye mwili?Haku
hakuna hata kimoja ulichojibu kama shule divisheni 0 na evidence umebaki na labda/inawezekana no sure. Hata shule unaambiwa with vivid evidences.
hiyo mada imetoka wapiSasa unataka evidence kwamba una maada kwenye mwili?
Hivi unajua hata maada ni nini😂🤦🏾♂️
Hakuna mwenye uwezo wa kuthibitisha maada zimetokea wapi.hiyo mada imetoka wapi
umeona tatizo hilo kama kuna mada maana yake yupo aloiweka ni nani?Hakuna mwenye uwezo wa kuthibitisha maada zimetokea wapi.
Kusema yupo alieweka, hiyo ni imani.umeona tatizo hilo kama kuna mada maana yake yupo aloiweka ni nani?
Kusema yupo alieweka, hiyo ni imani.
Unamthibitisha vipi huyo unayesema ameweka kama yupo na kama ni kweli yeye ndo aliweka maada?
Maada ipo kwenye mwili wako na ubongo wako. Allah yupo kwenye vitabu.Naona unaniuliza mimi sasa wkt wewe unijibu labda hujanifahamu. Hiyo ilikuwepo vipi
hahaha mada ipo kwenye mwili wangu vipi uwepo wa jua mada inakuwa wapi. Mungu hayupo ktk vitabu tu yupo kila mahala, yupo karibu kuliko unavyojijua weweMaada ipo kwenye mwili wako na ubongo wako. Allah yupo kwenye vitabu.
Huu ndio utofauti, maada zipo kila mahali na Allah ni maandishi kwenye kitabu.
Kumbe huelewi hata maada ni nini.hahaha mada ipo kwenye mwili wangu vipi uwepo wa jua mada inakuwa wapi. Mungu hayupo ktk vitabu tu yupo kila mahala, yupo karibu kuliko unavyojijua wewe
Kumbe huelewi hata maada ni nini.
Hujui hata kama jua ni maada tupu.
Sasa hujui kama mwili wako una maada kila sehemu, tunaendelea vipi na hii discussion kama huelewi chochote kile kwenye elimu yako shuleni. 🤦🏾♂️
Ingawa hujui hata maada ni nini, ntakujibu swali lako hivyo hivyo ingawa hujui.Wewe ndo hutaki kunielewa, nimekuuliza hivi hiyo mada asili yake nini au wapi, kama jua ni mada wapi asili ya mada za jua