Hivi logic ipi unayo iongelea wewe ? Maana naona unalitumia vibaya sana hili tamko. Tukikuomba uelezee unacho maanisha kwa kuzingatia misingi ya logic najua hutaweza sasa sijui kwanini unakurupuka katika matumizi ya maneno ?
Naomba utumie logic unayoijua wewe kututhibitishia ya kuwa Dini ni ubunifu wa mtu na uonyeshe usahihi wako.
Very intelligent 👍🏿🙌🏿Habari za mola zinafundishika na kukaririka kama ilivyo kwa habari zingine kama panya mabaka aliyemvisha paka kengele, na habari ya pazi aliyebebwa kichwa chini miguu juu na jogoo
Nimezipata habari za Allah na ndio maana niko hapa nilipo, na hata hapa utaendelea kuziweka lakini haita saidia
Vipi, we hujazipata habari za Yesu kubatizwa na kwamba yeye ndio njia ya kweli na uzima?
Kwasababu umezipata, vipi umesha okoka?
Unasubiria nini?
Hazina ushawishi eti?
Basi hali ni hivyo hivyo hata kwenye habari za allah kwa wengine wasio husika na imani hiyo
Vipi kuhusu wachina, wajapan, wazungu na wahindi na wao walizaliwa waislam maana sionagi kama wana muda na huo msemo wenu.Shida ya Ali Kiba ni kusema kile kilichoandikwa kwa mujibu wa imani ya UISLAM??
UISLAM mafundisho yake yapo wazi kuwa kila mtu huzaliwa akiwa Muislam na NDIO maana hatuwapeleki watoto kwa masheikh misikitini wawape dini....kwa sababu kila tunazaliwa tukiwa waislam tayari inabaki kusoma muongozo wa kuja halali na Haramu .
Na wewe una haki ya kutaja unachoamini kuwa mtu huwa Mkristo pale tu anapobatizwa...over wala hakuna haja ya mijadala mirefu.
Kama imani yako inafundisha usipomuabudu Zahanary una matatizo ya akili. Hutakiwi kuwatangazia wengine kuwa wana matatizo ya akili sababu tu hawamuabudu Zahanary.Yupo sawa kulingana na Imani yake kwanini wewe ulitaka akusemee Imani yako?
Nimecheka sana, sasa unajuaje kama hilo limebuniwa ?Siwezi kumjua muanzilishi lakini haina maana kuwa halijabuniwa na watu/mtu
Zipo sababu nyingi za mimi kuto kumjua
Kuna wabubifu wengi wanaopenda kuwa anonymous
Hata wewe natumaini unakubali neno pombe lilibuniwa na watu/mtu lakini sidhani kama unamjua huyo mbunifu
Dunia ina watu bilioni 7 waislamu wapo bilioni 1 na nusu, hao waliobaki bilioni 5 na nusu sio waislamu na kuna wengine hata maana ya neno uislamu hawajui.uislamu maana yake ni,kumtii mungu na kufuata amri zake,yaani kujiweka chini ya mnyazi mungu,
automatically ukizaliwa peke yako ukaachwa kisiwani peke yako utajikuta tu unajiweja mikononi mwa sir God,,wala haihitaji kuhubiriwa
Kiba kakosea sana
Usikimbie hoja kijana maelezo yangu yako wazi sana, umezipata habari za Allah ukiwa tayari upo katika fikra mfu, na ukawa huwezi kuhoji kwa usahihi sababu umekaririshwa namna ya kufikiria kama walivyo fikiria waio kutangulia.Nimezipata habari za Allah na ndio maana niko hapa nilipo, na hata hapa utaendelea kuziweka lakini haita saidia
Hii si hoja, vingapi vya hovyo vinafundishika kijana ? Mangapi katika Sayansi umesoma na ni uongo mpaka kesho ?Habari za mola zinafundishika na kukaririka kama ilivyo kwa habari zingine kama panya mabaka aliyemvisha paka kengele, na habari ya pazi aliyebebwa kichwa chini miguu juu na jogoo
Tunarudi katika msingi, kuna kauli moja huwa tunaitumia sana inasema hivi "Kila mmoja hudai Laila ni wake, lakini tukimuuliza Laila anakana".Vipi, we hujazipata habari za Yesu kubatizwa na kwamba yeye ndio njia ya kweli na uzima?
Hazina ukweli kwa ushahidi wa kiakili, kihistoria na ushahidi wa kimazingira. Hili wewe nakupa miaka mia, huwezi kuthibitisha ya kuwa Dini, mathalani ya Uislamu ilibuniwa na mtu, kwa njia yoyote ile.Kwasababu umezipata, vipi umesha okoka?
Unasubiria nini?
Zina ushawishi ila hazina asili inayofika mpaka kwa Yesu.Hazina ushawishi eti?
Kwahiyo hapa tayari umehitimisha, bila kuonyesha mchakato wa kielimu zaidi ya makisio, kwa mtindo huu lazima useme tu Mola hayupo, yaani unafikia hitimisho juu juu sana.Basi hali ni hivyo hivyo hata kwenye habari za allah kwa wengine wasio husika na imani hiyo
Jibu swali nililo kuuliza, au hujui ya kuwa katika logic kuna mchakato hufatwa mpaka kufikia hitimisho ?Ni kama zilivyo logic ya vitu vingine ambavyo unakubaliana nazo kuwa ni ubunifu wa watu
Kama ilivyo kwa mziki na vitu vingine ambavyo vimebuniwa
Muslimwew ni muislam au mkristo tuamzie hapo
Nimekupa hoja hapo ya kuonesha mazingira gani yanaweza kusababisha ushindwe kumjua mbunifuNimecheka sana, sasa unajuaje kama hilo limebuniwa ?
Kutokumjua kwako muanzilishi ni ishara ya kuwa hukijui unacho kiongelea, hili katika elimu tunasema ni uzushi. Kadhalika suala la kutomjua muanzilishi katika elimu ya uhakiki wa habari, habari hiyo inaingia katika habari ya kutokufanyiwa kazi mpaka pale kutakapo patikana maelezo sahihi na yenye ithibati ya kuyapa nguvu mapokezi hayo ya muanzolishi asiye julikana.
Sababu zako hata zikiwa elfu hazina nguvu sababu hazija kidhi vigezo vya uzani katika marejeo, zaidi ya wasi wasi na kutokujua kwako unacho kijadili.
Si katika hili, sababu jaribu kuanishia jambo na usilinganishe jambo hili la dini na habari za watunzi wa visasili. Suala la dini haliingii katika huu mfano, sababu ni mfumo wa maisha na ni elimu na maarifa ya kurithishana kizazi mpaka kizazi kingine.
Unaposema neno Pombe limebuniwa mfano wako hauingii katika suala la dini la dini, yaani unaleta ulinganyo usio linganywa. Jaribu kuweka mifano hai.
Ni kweli kabisa.UISLAM HUU AMBAO ULIANZISHWA NA MA JESUITS WA VATICAN KWA KUMPA MOHAMAD KAZI MAALUMU???
Low minded mostly hivi alikiba unamuona anaupeo wowote?!Mkristo akisema vice versa kuwa kila mtu anazaliwa mkristo utasikia wanaandamana
Ili dunia iwe mahali salama pa kuishi ninyi watu mnatakiwa kupuuzwa, tena mpuunzwe kweli kweli. Sorry not sorry; kupuuzwa sio tusi, simply ni watu kuacha kushughulika na ninyi na kuwaacha mfanye mseme mnayoyakusudia.1. Hakuna atakaye andamana eti mkristo kasema alizaliwa akiwa mkristo... Bali tutamuuliza. Je ubatizo ni kwa ajili GANI??
2. Kwa mafundisho ya Uislamu kila mtu anayezaliwa huzaliwa akiwa ni Muislamu ndio maana Waislamu hawawapeleki watoto wao Misikitini kuwabatiza, maana ukishambatiza tu tayari umeshamuondolea uhuru wake aliozaliwa nao ambo ni Uislamu....
Qur'an 30: 30. Basi elekeza uso wako kwenye Dini yenye kujiengua na upotofu inayoelemea haki. Umbile la asili la kumpwekesha Allaah Aliyowaumbia watu. Hakuna mabadiliko katika uumbaji wa Allaah. Hivyo ndio Dini iliyonyooka sawasawa, lakini watu wengi hawajui..
Umbile la VIUMBE WOTE NI UISLAM....HUO UYESU UMEUPATA WAPI??
Kuna namna gani nzuri na iliyo bora ya kuhoji zaidi ya kudai uthibitisho?8Usikimbie hoja kijana maelezo yangu yako wazi sana, umezipata habari za Allah ukiwa tayari upo katika fikra mfu, na ukawa huwezi kuhoji kwa usahihi sababu umekaririshwa namna ya kufikiria kama walivyo fikiria waio kutangulia.
Weka huo ukweli wote tuuoneLengo siyo kusaidia bali lengo nikuweka ukweli wa mambo jinsi ulivyo, kwahiyo ni juu yako kufanyia kazi au kuyaacha hapa hapa. Kwahiyo hili lisikuumize kichwa.
Uongo wa sayansi au kitu kingine chochote hau justify uongo wa habari za quran uonekane ni ukweliHii si hoja, vingapi vya hovyo vinafundishika kijana ? Mangapi katika Sayansi umesoma na ni uongo mpaka kesho ?
Its funnySwali langu la msingi ni wewe uonyeshe ukweli wa unachokiandika.
Tunarudi katika msingi, kuna kauli moja huwa tunaitumia sana inasema hivi "Kila mmoja hudai Laila ni wake, lakini tukimuuliza Laila anakana".
Baada ya kupata habari huwa tunarudi kuzihakiki habari hizo kama alivyo tuelekeza Allah aliye juu ya kuwa "Mnapoijiwa na habari kutoka kwa fasiki, basi zichunguzeni". Hili najua ya kuwa hujawahi kutumia muda wako kuchunguza habari za dini zinazo kufikia zaidi ya kuhoji kitoto. Kwahiyo mimi nilipozipata habari za Ukristo na Yesu nikazichunguza na nikapata hitimisho lililo sahihi.
Kumbe pamoja na habari kuandikwa kwenye vitabu na kudaiwa vimeandikwa na Mungu lakini bado umevipinga na kuona uzushiHazina ukweli kwa ushahidi wa kiakili, kihistoria na ushahidi wa kimazingira.
Wewe nikupe miaka mingapi ya kuthibitisha mbunifu wa maneno haya "demu, wakishua, muziki, disco vumbi, kudanga, kanga moko, "nk.Hili wewe nakupa miaka mia, huwezi kuthibitisha ya kuwa Dini, mathalani ya Uislamu ilibuniwa na mtu, kwa njia yoyote ile.
Kwa kuzingatia source gani?Zina ushawishi ila hazina asili inayofika mpaka kwa Yesu.
Kwa hiyo chenye makisio tafsiri yake ni kitu cha uongo?Kwahiyo hapa tayari umehitimisha, bila kuonyesha mchakato wa kielimu zaidi ya makisio, kwa mtindo huu lazima useme tu Mola hayupo, yaani unafikia hitimisho juu juu sana.
Unakubaliana navyo kwa namna gani?Jibu swali nililo kuuliza, au hujui ya kuwa katika logic kuna mchakato hufatwa mpaka kufikia hitimisho ?
Sasa pita humo ufikie hitimisho ulilo liweka hapa. Mambo si mepesi kama unavyo yaona.
Mimi nakubaliana navyo si kwa kutumia misingi ya logic sababu najua logic haina uwezo huo. Sasa usinilinganishe mimi na wewe katika kufikiri na kufikia hitimisho mimi ni njia zangu.
aha ha hahaTulizaliwa kutoka wapi?