Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

Ni aibu sana na inaonyesha jinsi gani tunaongozwa na watu wenye upeo mfupi, mwanao anapokelewa shule Kwa vile ameenda na bank slip tu au wakishajiridhisha kwamba kweli pesa imeingia kwenye akaunti ya shule?

Kuwa na deposit slip ni jambo Moja, pesa kuingia kwenye akaunti ni jambo lingine na vyote vinahusiana.

Ndio maana nchi haiendelei Kwa fikra za viongozi wa namna hii.
 
Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu..

Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee???

Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana.

Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda kujistress kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.

Ishi na kanuni hii👇

If your money is not bigger enough to buy you a house, then you have to eat that money.

English Medium ambayo at least unatakiwa kumpeleka mtoto wako ni ile inayo toza ada ya kuanzia at least sh.milioni kumi kwa mwaka na iwe chini ya taasisi. Lakini hizi za kulipa milioni moja na nusu mpaka 3 kwa mwaka au laki tatu kila baada ya miezi mitatu ma zenye kumilikiwa na kina Mr. And Mrs. MUGETTA , ni Kayumba zilizo changamka.. Yani nilipe hela mtoto wangu asomeshwe kiingereza na mtu ambae anaongea kiswahili kama lugha yake ya mawasiliano + kiingereza sio lugha yake ya kwanza? 🤣🤣🤣

Mwisho wa siku unaishia kumsumbua mtoto wako to atakapofika chuo kikuu. Atanyimwa mkopo na wewe hautokuwa na uwezo wa kulipa hayo mamilioni ya chuo..

To be honest, Hizi English Mediums ni kama brands tu na kumsomesha mtoto wako hasa mtoto wa kike kwenye shule hizo ni sawa na " ku mbrand tu" 🤣🤣🤣

Kwa wewe baba ambae bado hujasanuka let me remind you of one thing 👇

The most biggest challenge of being a father is that everyone want it NOW.

The children want to eat now. The children need to go to the hospital now. Their mother want to saloon Now. Their mother want you to have sex with her now. Etc.

Everything about a father is revolving around the word NOW.

And NOW

1. The schools are opened now.

2. Your children want to go to school now.

3. Your wife want to call her friends now boosting yo them ,that you have finished paid for the school fees.

4. And the teachers need the money now.

5. If you don't pay the money now.

6. Your children won't be allowed to go school now.

WHAT ARE YOU WAITING NOW GO AND PAY THE SCHOOL FEES NOW
Hiki ni kingereza cha Mtatiro?
 
Hao watoto wako unaowalipia million 20 am sure ,watakuja kukutana na waliosoma st kayumna pale Nkrumah hall UDSM ,na watamaliza chuo watakutana kwenye dashboard ya ajira portal kuomba ajira utumishi [emoji23],watasugua Sana miguu kwenda udom kufanya interview.....

Najua saizi unawaona kama next Samia suruhu ,au next JPM ,au next kasimu majaliwa

This life is meaningless [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa hivi kukuelewa kwa sababu sio wakati wake kukuelewa. Ila ukifika wakati we yeye kukuelewa nyakati zitamlazimisha kuelewa
 
Hao watoto wako unaowalipia million 20 am sure ,watakuja kukutana na waliosoma st kayumna pale Nkrumah hall UDSM ,na watamaliza chuo watakutana kwenye dashboard ya ajira portal kuomba ajira utumishi [emoji23],watasugua Sana miguu kwenda udom kufanya interview.....

Najua saizi unawaona kama next Samia suruhu ,au next JPM ,au next kasimu majaliwa

This life is meaningless [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani mwanangu ateseke leo kisa kuwaza kesho? Yaani ninachoweza kufanya sasa hi vi ndicho kinachofanywa ya kesho majibu yatapatikana kesho
 
Hizi shule za eng medea nikisanga kwa sasa! Eng medeum schools Zilikufa toka mwaka 2002, zamani mtoto wa darasa 4 aliepitia hizo shule atema yai kweli hivi sasa mashule haya yamekuwa biashara tu mimi ninaushahidi wa watoto wandugu yangu wanasoma shule kama mwaka huu wameingia std 7 lakini hawajui hata kiingereza cha kuombea hela!
 
Nyingi zipo hivyo. Wanaongea English ya kawaida tu halafu vitu vingi tu hawavijui
 
Miaka ya 2000 eng mediums ndio zina anza anza zilikuwa 🔥 walimu wengi walikuwa wakitoka kenya lugha kidg iko vizuri ukisikika unatema kiswahili ni kesi shuleni 😄
Sasa hv waanzilishaji wameshapata pesa wamewekeza sehemu nyingine hawatilii tena mkazo wameachiwa watt mfano st mary's
 
Yaani mwanangu ateseke leo kisa kuwaza kesho? Yaani ninachoweza kufanya sasa hi vi ndicho kinachofanywa ya kesho majibu yatapatikana kesho
Huna uwezo WA kuwaajiri ,hata kiwanda huna [emoji23],tulia wamalize chuo wakapambane na ajira portal
 
Hapana anazungumzia uhalisia
Uhalisia wa nani sasa. Uhalisia wako upo hivyo? Anajua uhalisia wa majority ya wa TZ hupeleka kwenye shule za ada ya kati ya 1.5 hadi 3 m ndio maana kaamua kuwatukana kwa kujikweza. He is an azzhole
 
Functional Illiteracy inamsumbua aliyetoa hoja za namna hii. Ni hoja ambazo ndani yake kuna fikra za KIMASIKINI na KEJELI.

Kama ametoa kwa KEJELI hakuna tatizo sana, ila kama ni hoja serious basi mtoa hoja ni Zero Brain.
Hivi kwann hakuna shule ya Kiswahili ambayo inafundisha lugha za kigeni vizuri sana ...

Inafundisha kuanzia saa 7:30 Asubuhi mpaka Saa 8:40 mchana. Watoto wanarejea nyumbani.

Ina walimu bora, vitabu na maktaba nzuri, madarasa yasioyozidi Wanafunzi 30.

Ina mazingira mazuri ya kujisomea na mtaala mzuri wa kujifunza uongozi na sayansi ya kujikimu.

Itoze sio juu ya Milioni kwa mwaka.

Na nyingine iwe kama hiyo ila iwe na ciwango vya kimataifa. Ikifunza stadi muhimu nyingi zaidi kama uendelezaji wa vipaji na iwe na miundombinu yote wezeshi na inaweza kuwa ya bweni au la. Itoze Hadi million.5 kwa day scholars na 10m for boarding.

Kwani kiwa international ni kiingereza?! Hilo nadhani ndio la muhimu kutaka kufahamu. Na kama sio kwann haifanyiki??

Itawapa walimu wengi nafasi ya kufunza vyema wakiwa huru na lugha..kuliko kuwabana na kiingereza Cha kumezea mate..kiduuuchu
 
Miaka ya 2000 eng mediums ndio zina anza anza zilikuwa 🔥 walimu wengi walikuwa wakitoka kenya lugha kidg iko vizuri ukisikika unatema kiswahili ni kesi shuleni 😄
Sasa hv waanzilishaji wameshapata pesa wamewekeza sehemu nyingine hawatilii tena mkazo wameachiwa watt mfano st mary's
St.Marys wamefanyaje Mkuu?
 
Nyingi zipo hivyo. Wanaongea English ya kawaida tu halafu vitu vingi tu hawavijui
kabisa mkuu,mimi nilifail darasa la 7 nilikuwa
nikisoma shule ya serikali miaka ya 2000 hapo, so option pekee ya kujiunga form one mwaka unaofata ilikuwa ni private school, so nilipata nafasi yakusoma form one shule fulani ya private mwanza pamoja na baadhi ya hao wanafunzi kutoka hizo eng medeum schools, chakushangaza wengi walikuwa vilaza nawengi walifeli kuvuka kidato nakuhama shule licha yamasomo yalikuwa yakifundishwa kwa lugha ya eng waliozea kufundishiwa walipokuwa kwenye hizo shule zakuitwa eng medea na kutuacha tuliosoma government schools kusonga mbele kidato cha pili!
 
Back
Top Bottom