Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

ur the true son of ur father. Baba ako wala hajasingiziwa. Big up sana mkuu
 
Andikankiswahili tu English siyo lugha yako! To go to the hospital? Yaani Kiingereza chako kimajaa ma "the"
 
Tuwekee post

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Akili hz, tuliosoma st kayumba, zenye watoto 100 darasani, tunajua tofsuti na hizi unazoziita, st kayumba zilizochangamka, yaani kwenda kwa miguu shuleni,na Kidumu na fagio, ni sawa na kupanda basi? We jamaa utakuwa na msongo sana, tofauti ipo kubwa tu, sie huko kwenye st kayumba zilizochangamka, tunafata miundombinu iliyo Bora zaidi ya hizo st kayumba,
Kuhusu mikopo ya elimu ya juu, bodi haina uwezo wa kutoa asilimia 100 kwa wote walioomba, usijipe moyo kwamba mtoto wako akisoma jalalani ni kigezo cha kupata mkopo,watu walikosa mkopo 2002! Wat apata kesho, na idsdi ya watoto inazidi kuongezeka!
Kusema tusomeshe shule za milioni 10 kwa mwaka,bro we utakuwa unaishi kwenye tamthilia za ki Filipino, unajua vipato vya m Tanzania, kima cha Chini 300K! Pato kwa siku Chini ya 2500,utapata wapi hizo, milionj?
"When the best is not available, what is available is the best" Usiishi kwa kukalili,
 
Ni ajabu mtoto niwe na uwezo wa kumlipia 20mil. kama ada then mwishoni akafanye interview!

Mkopo ni nini kama 20mil. anaimudu?

Si bora aje kufanya nnachofanya naipata hiyo 20mil kuliko akaajiriwe labda kama mzazi ni politician ila bado kuajiriwa sio my option kwake

Linalo wezekana sasa hivi lifanyike kesho itajisumbukia yenyewe, bora msingi uimarike kuliko msingi uwe lege lege afu ukuta uwe imara!

Lakini pia wao mbona watoto wao hawapo huko Kayumba? Mambo yafanyike kulingana na uwezo

Lakini pia hawa wanachuo wa miaka hii sijui ni kwa nini sio tishio kama zamani uwezo wao wa kupambanua mambo kama wasomi unatia shaka sana sijui elimu kwa sasa imekuweje?

Wasomi wa sasa sijui ni siasa ya Tanzania hawaonekani kabisa po pote pale utakapo muweka kujitofautisha kama msomi hakuna!

Hata hiyo serikali shule zake za kayumba hazitoshelezi mahitaji ya st. Kayumba sasa wanachi wote wahamishie watoto huko itawezekana kweli kisa mkopo mbeleni?

Kama umeandikiwa shida zitakuandama tu

Linalowezekana leo lisingoje kesho
 
When the best is not available what is available is the best. Very powerful.

Hayo mengine kuhusu kulipa mamilioni sikubaliani na wewe mkuu
 
Shule zetu za serikali msiziite Kayumba nyie mabwege, km hmna uzalendo ondokeni ktk ardhi yetu. Mbona UDSM, UDOM, SUA, MZUMBE IFM, IAA n.k hamziiti Kayumba? Mapumbavu sn nyie makenge
Nimekosa Mimi nimekosa Mimi nimekosa sana
 
Napigilia nyundo comment yako
 
watoto wangu wote 4 wamesoma shule za serikali na wamefaulu vzr. 2 vyuo vikuu. 1 yupo form 5. wa mwisho binti yangu kipenzi January hii anaanza form 1. sina stress.. huko private mtaugua ugonjwa wa moyo
Ur the true son of your father. Watoto wako ni wa miaka ya elfu 2?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…