Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

Alicho kipost Julius Mtatiro kuhusu wazazi wenye watoto wanaosoma shule za English Mediums

Shule zetu za serikali msiziite Kayumba nyie mabwege, km hmna uzalendo ondokeni ktk ardhi yetu. Mbona UDSM, UDOM, SUA, MZUMBE IFM, IAA n.k hamziiti Kayumba? Mapumbavu sn nyie makenge
Tunaziita kayumba, kwa sababu ya huduma duni, usijiite mzalendo kwa vile huna pesa, Samia, na mawaziri wake nani anasomesha mtoto st kayumba? Usilinganishe shule ya secondary na chuo kikuu/college,
Shule ya skondsri mpo 60 darasani, chuo kikuu mnakuwa 20!, na, chuo kikuu kule kuna "lecturing sio teaching"
Umaskini sio kigezo cha uzalendo, hv kwa vijana kuna mzalendo kama Diamond, je watoto wake wanasoma st kayumba?uzuri wa shule za kisasa,mtoto anakuwa exposed kwa Mambo mengi, ambsyo wa st kayumba atakutana nayo chuo kikuu,
Shule za serikali maslahi ni duni, na waalimu wanaona Bora liende!
Kama, taasisi, za, serikali kama, ttcl,na airtz zipo hovyo, tena huko kuna mishahara minono, je huko primary na, secondary kupoje kwenye mishahara mbuzi!
 
Hili ni dongo la kiutu uzima mjue? Linasadifu uhalisia kwenye jamii yetu..

Halafu ndugu zangu wabongo mbona mnapenda kujistress sana aisee???

Wabongo tunakuwaga na ujinga mwingi sana.


Kuna wabongo huwaga wana amini mtu mzima lazima uwe na mawazo mawazo hivi na stress ndio maana wanapenda kujistress kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu.

Ishi na kanuni hii[emoji116]

If your money is not bigger enough to buy you a house, then you have to eat that money.

English Medium ambayo at least unatakiwa kumpeleka mtoto wako ni ile inayo toza ada ya kuanzia at least sh.milioni kumi kwa mwaka na iwe chini ya taasisi. Lakini hizi za kulipa milioni moja na nusu mpaka 3 kwa mwaka au laki tatu kila baada ya miezi mitatu ma zenye kumilikiwa na kina Mr. And Mrs. MUGETTA , ni Kayumba zilizo changamka.. Yani nilipe hela mtoto wangu asomeshwe kiingereza na mtu ambae anaongea kiswahili kama lugha yake ya mawasiliano + kiingereza sio lugha yake ya kwanza? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwisho wa siku unaishia kumsumbua mtoto wako to atakapofika chuo kikuu. Atanyimwa mkopo na wewe hautokuwa na uwezo wa kulipa hayo mamilioni ya chuo..

To be honest, Hizi English Mediums ni kama brands tu na kumsomesha mtoto wako hasa mtoto wa kike kwenye shule hizo ni sawa na " ku mbrand tu" [emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Kwa wewe baba ambae bado hujasanuka let me remind you of one thing [emoji116]

The most biggest challenge of being a father is that everyone want it NOW.

The children want to eat now. The children need to go to the hospital now. Their mother want to saloon Now. Their mother want you to have sex with her now. Etc.

Everything about a father is revolving around the word NOW.


And NOW

1. The schools are opened now.

2. Your children want to go to school now.

3. Your wife want to call her friends now boosting yo them ,that you have finished paid for the school fees.

4. And the teachers need the money now.

5. If you don't pay the money now.

6. Your children won't be allowed to go school now.

WHAT ARE YOU WAITING NOW GO AND PAY THE SCHOOL FEES NOW
Bora ungeandika kiswahili au kikwenu naona hata lugha ya watu nayo inakutekenya

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Utajiri ni kusoma kutumia lugha ya waingereza? We bado uko kwenye ukoloni wa mwingereza. Hata vichaa waingereza wanaongea kiingereza.
Mtoa hoja ameandika challenge kama kukosa MKOPO na mwisho kaandika Majukumu ya mzazi kuwa mengi kwa wakati mmoja.(soma tena thread).

Hizi alizotoa ni factor za KIUCHUMI. Logic yake ndani ni UMASIKINI na UOGA. Na wala sio Ubora wa Elimu. Ila anafikiri ni Gharama.

NCHI NZIMA bado tuko kwenye UKOLONI(hata wewe ukiwepo), ndio maana Elimu ya Sekondari hadi PhD inatolewa kwa Lugha ya Kiingereza.

Hivyo nashangaa wewe unaona mtoto kusoma Primary kwa lugha ya Kiingereza ni Ukoloni, ila huku level zingine kusoma Kiingereza sio Ukoloni?

Alitakiwa kuleta hoja za Msingi na sio kuleta hoja za KIMASIKINI. Nani alimwambia watu wanataka hio Mikopo?
 
Hao watoto wako unaowalipia million 20 am sure ,watakuja kukutana na waliosoma st kayumna pale Nkrumah hall UDSM ,na watamaliza chuo watakutana kwenye dashboard ya ajira portal kuomba ajira utumishi [emoji23],watasugua Sana miguu kwenda udom kufanya interview.....

Najua saizi unawaona kama next Samia suruhu ,au next JPM ,au next kasimu majaliwa

This life is meaningless [emoji23][emoji23][emoji23]
Maneno ya mkosaji haya kupanga ni kuchagua haijalishi matokeo au wapi tutaishia
 
huyo mtoa hoja mwenyewe wanaye wanasoma english medium na wakati wa vikao vya wazazi yeye ndo wakwanza kujifaragua na udiisii wake ili wamuone wa maana, kimsingi hakuna eneo ambalo tunahitaji kuweka nguvu kubwa kama kusomesha watoto, ukitaka kujua tanzania hatujui kitu angalia levels za elimu kwa wenzetu wa kenya na pia hata hustling zao huku duniani, huwezi kukuta nchi ambayo hakuna mkenya wala mnigeria ,hawa wote hawakuogopa shule wala kiingereza, angalia hata graduates kutoka nchi hizo ni mamilioni ukilinganisha na bongo, na kikubwa hawashangai na furasa wanakomaa kweli kweli.
 
Kwa maisha ya Sasa kumpeleka mtoto English medium kuna changamoto Sana kuna watoto wanaanzia ushoga huko na mifano tunaiona mitaani Cha pili unapoteza pesa nyingi mwisho wa siku mtoto anamaliza hamna ajira Cha tatu maisha hayana mwalimu juhudi zako ndio zitakuwa muamuzi wa maisha yako Cha nne unaingia karama kubwa huku ukijua unaenda kukopa kwenye mabenki na vikoba mtoto anarudi masomoni anaanza kugombania Mandazi asubui na wadogo zake hitimisho elimu sio ufunguo wa maisha elimu inakusaidia kuchambua Mambo lakini haiwezi kukupa utajiri
 
Hizi shule za eng medea nikisanga kwa sasa! Eng medeum schools Zilikufa toka mwaka 2002, zamani mtoto wa darasa 4 aliepitia hizo shule atema yai kweli hivi sasa mashule haya yamekuwa biashara tu mimi ninaushahidi wa watoto wandugu yangu wanasoma shule kama mwaka huu wameingia std 7 lakini hawajui hata kiingereza cha kuombea hela!
Uongo nenda uswahilini Sasa. Hivi Kuna zile shule za chekechekea English Medium za uswahilini vitoto vinaongea kingereza kimenyooka hasa
Sembuse primary ambako masomo yote anasoma kiingereza kuanzia darasa la kwanza Hadi la saba kasoro somo la kiswahili tu .muongo wewe
 
Mimi mwaka huu nimewatoa wanangu hizi shule wapo wawili darasa la tatu nimeamua kila mwaka nawanunulia kiwanja kwa ile ada niliyokuwa natakiwa kulipa mpaka wanamaliza la saba kila mmoja atakuwa na asset ya viwanja angalau vitatu anauza kimoja anapata mtaji wa kuanzia maisha mtaani ...lah kama watataka kuendelea kusoma mfumo ni ule ule tu kikubwa badae sitaki wanione mzee wao niliishi kinyonge....zaidi niliona napoteza pesa nyingi na wavyosoma kayumba ni vilevile tu tofauti inabaki lugha tu.
Mzee una maono ya mbali sana...wanunulie viwanja ,wajengee mijengo yao,wakimaliza wakute maisha yamenyooka sio ya kuanzia zero tena.
 
Unafiki wa kibongo Kama ww umesomesha shule za mil 10 usiwanange waosomemsha shule za mil 1. Mtanzania alipata kweli tatizo aisee imagine huyo ni kiongozi hata mbuyu ulianza Kama mchicha tutakuwa taratibu tutakuwa.

Hata Kama kiswaenglish huwezi kulinganisha na darasa linakaa wtt 180+ mtoto analimaza form four unamuuliza ataje mikoa iliopo magharibi mwa Tanzania hawezi
Huyo atakuwa kilaza tu. Tumesoma primary za govt darasa moja lilikuwa na wanafunzi zaidi ya 100. Tulifaulu wote kabla ya ujio wa hizi mnazoziita private schools, tulikuwa tukitema yai vizuri tu,gvt sec schools tumesoma kidato kilikuwa ma zaidi ya wanafunzi 500... tulitoboa mpk chuo kikuu miaka hiyo. Mtaala ndio ule ule wa NECTA tofauti ni lugha tu.
 
Back
Top Bottom