Alichofanya Tundu Lissu, ndicho alichofanya Zitto Kabwe, kwa Rais Samia

Lissu AMEOMBA kukutana na Mama Samia. Zitto didn’t. Sio Lissu huyu huyu aliyesema hamtokutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe bila masharti? Mnapokuwa waongo basi muwe na kumbukumbu [emoji1787]

Cc Jasusi
Hatutaki "msaliti"Zitto apate credit kupitia kwa M/kiti wa chama chetu.
 
Zito mchumia Tumbo siku zote

Hongera EU LISSU na The Prezidaa SAMIA na jirani UHURU KENYATTA utaifa kwanza
 
Bavicha hawakupenda aseme Zitto hakuna tofauti ya Zitto na lLissu wote wamemshauri Rais amuachie Mbowe.
 
Si mshabiki wa siasa au wanasiasa lakin kwangu sioni kosa kuomba kuonana na kiongozi wa nchi. Unless ww una maana nyingine lakin hamna ishu ya maana hapo
Zitto je?
 
Naunga mkono hoja.
P
Kwa hiyo nawe unataka kusema Mbowe ametenda kosa kwa maana kuwa ni gaidi, hivyo basi gaidi anapaswa kuomba msamaha.

Very very technical ati ehee. Mimi ni CCM damu damu, narudia tena na tena, fitina kwangu ni mwiko, ukweli ni huu: CHADEMA mkikiri kosa automatically chama chenu ni chama cha magaidi.

Ikiwa mko hivyo, hima kaombeni msamaha
 
Lissu kawapiga changa la macho. Kwenye spesi anawaambia hakuna kukutana na Mama Samia mpaka Mbowe aachiwe, kumbe faraghani anaomba poo.mmeingizwa choo cha kike daaah
 
Hapo kijani ndio nyumbani kwa fitina.
 
Mama anaelewa faida za kukutana na Lissu na Lissu anaelewa faida za kukutana na Mama. Faida hiyo ni kwa ajili yao na kwa taifa. Na sasa wamekutana na umuhimu tutauona.
Hilo la Zitto ni tofauti kabisa kwa akli za kawaida unalinganishaje na hili la sasa?
 
Wakati wenzenu wanaenda shule nyie mlikua mnaendesha magari ya maboksi mitaani... Kuna mahali umeona wameandika Lissu amemuombea msamaha Mh Mbowe?
 
Bavicha hawakupenda aseme Zitto hakuna tofauti ya Zitto na lLissu wote wamemshauri Rais amuachie Mbowe.
Kama huoni tofauti ya hizo hoja za hao watu wawili utakua na matatizo yakufikiri.Maana hakuitaji kua na degree kujua tofauti kati ya kuomba au kuombewa msamaha na kesi kufutwa bila masharti.hizi siasa uchwara zisitutoe akili.
 
Wakati wenzenu wanaenda shule nyie mlikua mnaendesha magari ya maboksi mitaani... Kuna mahali umeona wameandika Lissu amemuombea msamaha Mh Mbowe?
Usiwe punguani wewe unashikiwa akili na Bavicha weka ushahidi wa video vlip Zitto akimuombea msamaha Mbowe ukiweka najitoa JF.
 
Ndugu,
Yaonekana kama vile wewe na wa kijani wenzio, hamkupata hata lepe la usingizi ndo maana unajichanganya.
Msimamo wa Lissu na CHADEMA kuhusu kumtafutia (Mbowe) msamaha wakati hana kosa, ni uleule haujabadilika vyovyote vile.
Kwa sasa Chief Hangaya ndie mwenye kazi ya kumsaka huko huko kwenu na kumshughulikia huyo aliye mwingiza chaka.
 
 
Wakati wenzenu wanaenda shule nyie mlikua mnaendesha magari ya maboksi mitaani... Kuna mahali umeona wameandika Lissu amemuombea msamaha Mh Mbowe?
Magari ya maboksi inahitaji akili kuyatengeneza na kunakuza akili, walioendesha maringi ambayo tayari yalisha andaliwa ndio shida zaidi😃
 
Usiwe punguani wewe unashikiwa akili na Bavicha weka ushahidi wa video vlip Zitto akimuombea msamaha Mbowe ukiweka najitoa JF.
"Usipoongoza utaongozwa" @zittokabwe 👏
 
Kwanza una uhakika kuwa Lissu aliomba kukutana na Maza au kwa vile Zuhura kasema hivyo ...!!

Pili kuzungumzia kesi ya Mbowe haina maana kuwa wanaomba asamehewe. Tofauti iliyopo kati ya CDM na Zitto kwamba Zitto aliomba Mbowe asamehewe wakati CDM wanataka Mbowe aachiwe. Hii ndiyo tofauti ....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…