Nani kakuambia makonda ni mpigaji kama wapigaji wengineMakonda ni Sokoine wa Karne hii π
Sokoine hakupendwa na wavivu hata kidogo, alikua hafurahishi mtu...
alisema na kutenda.
kwa sababu ya utendaji wake wa wazi hakupendwa mpaka alipo kufa π
Makonda na Sokoine ni twins π
hakuna haja ya kuambiwa kitu na mtu πNani kakuambia makonda ni mpigaji kama wapigaji wengine
Anacheza na skili zenu nyie wanyonge
Ova
Kuna mzee mmoja alifanikiwa kumwoza binti yake.Hatakiwi kupewa MIC
Kiongozi apatikane kwa utaratibu wa kugombea zaidi kuliko kuteuliwa.Mfumo mzima wa uongozi wa Tanzania ni wa kunyenyekea na kujipendekeza kwa bosi ili uonwe na upandishwe.
Mfumo huu uliasisiwa na Mwalimu, angalau Mkapa alijitahidi kuangalia umahiri wa kitaaluma na utendaji kazi.
CCM imepandikiza mfumo huu kwenye maisha ya Watanzania kiasi kwamba sasa imekuwa ni "part & parcel" ya maisha ya wengi wetu.
Kwani tunaishi kwa hisani ya CCM ama ya Mwenyezi Mungu!!??
Kuna mzee mmoja alifanikiwa kumwoza binti yake.
Siku ya sendoff alipewa mic akasema; binti yangu sasa umeolewa naomba uachane na Emanuel atakuharibia ndoa yako.
Mtatajwa wote.Ukienda China kuna mfumo wa mikoa kama kwetu. Wao wanaita Provinces, na tofauti yao na sie ni kuwa wao mikoa yao ni mikoa ya kiuchumi ( Economic provinces) wakati sie mikoa yetu ni mikoa ya kisiasa (political provinces)
Wanapotushinda China ni watu wanaoteuliwa kuongoza hizo provinces. Kwao wanateua watu wenye uwezo na mawazo makubwa ya kiuchumi unaweza sema watu creative na innovative ambao wamesoma, wana exposure na wana uelewa mkubwa wa masuala ya kiuchumi na kidunia.
Provinces za China zinashindana kiuchumi, hawa wanaanzisha viwanda wa mafriji hawa wanaanzisha viwanda vya washing machines. Ili mradi siku ya mwisho provinces moja iwe zaidi ya nyingine kiuchumi na kimaendeleo.
Leo Mkuu wa Mkoa wa Arusha kapewa mic aongee kwenye tukio la Kumbukumbu cha kifo cha Sokoine. Pamoja na kumuelezea Sokoine , kwa watu wenye akili walitegemea ni kitu gani ambacho atakiongea katika kuelezea namna ambavyo ataweka mipango kabambe ili Jiji lile liwe namba moja kiuchumi Tanzania.
Tofauti na hayo Makonda ameelezea kuweka baiskeli za polisi, camera za usalama barabarani mambo ambayo unaweza sema kuwa ni just petty issues!
Mbaya zaidi kama kawaida yake, ametoa vitisho kwa watu eti wanaomsema Rais Samia.
Napenda kuwaambia wana JF huyu ndo makonda sasa na alilofanya leo ndo mambo anayoweza. Ufitini, uchonganishi, kujipendekeza na kujifanya yeye ndo anayempenda zaidi kiongozi wake kuliko mtu yeyote yule ili angalau aendelee kupata vyeo na kuishi kupitia hivyo vyeo.
Alivyo Makonda ndo walivyo watu na vijana wengi kuanzia Chama cha Mapinduzi hadi sehemu nyingine. Hawana muda wa kuonesha uwezo wao kwenye mambo ya msingi bali kujipendekeza kwa watu wenye nafasi ili waendelee kula.
Naionea huruma Tanzania. Kesho yetu inasikitisha hakika.
Kauli ya Makonda kuwataja wanaomchafua Rais Samia, soma Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri
Una amini mambo ya kishirikina ?Kinachoumiza ni ujio wake Arusha na majanga mawili mfululizo.....mafuriko na watoto saba kufa...aisee
Katiba imefanya nini ?Katiba
Tunarudi palepale "KATIBA"
Yawe chachu ya maendeleoIla tumewazidi ukubwa wa macho
Wewe hizo merit unazo ? Zaidi ya uchawa kwa SamiaNa hii ni kansa ambayo sasaivi ina mature kila siku.
Watu hawapewi nafasi kwa sababu ya merit ila kujipendekeza, kujuana na kufitiana.
We are dead!
Hapana mkuuUna amini mambo ya kishirikina ?
Hofu yako nini kuhusu Bashite fasi ya chuga ?Hapana mkuu
Namwonea huruma tu kaanza kazi na matukio mkuuHofu yako nini kuhusu Bashite fasi ya chuga ?
Bashite hapaswi kuonewa huruma.Namwonea huruma tu kaanza kazi na matukio mkuu
Mkuu upo sahihi sana.Nashauri,hawa wanaompiga vita Makonda,wajutathimini,maana wananchi wengi wanamkubali sana huyu mtu kwa utendaji wake [namna anavyotatua changamoto zao].Waelekeze nguvu zao kwenye mambo mengine ya msingi,ila kwa Makonda hawatafanikiwa.Mbona huyu Makonda katujazia sana server zetu za Jf?
Nadhani mimi sasa nifungue jicho langu la tatu kuangazia u special wa huyu binadamu!
Nasema hivi kwa sababu, kila anayeandika kumuongelea makonda, anaibuka na sababu 'finye' inayoshindwa kumbana Makonda sawasawa, ili tuweze kuyaona makosa yake yanayopelekea kusemwa vibaya namna hii!
Kwenye logic ya thread hii, ni kiongozi gani kwa cheo cha Rc aliyeteuliwa kutokana na exposure na ubunifu wake wa maendeleo, si ni wale wale tu wenye majina ya koo za marehemu viongozi waasisi, kwa nini leo iwe kwa Makonda?
Tunapozidi kujaza ma page humu kuongelea mtu mmoja bila shutuma za maana tunamjenga badala ya kumbomoa na kuonekana wenye chuki naye kawashika pabaya sana mwaka huu na hawana pa kupumulia.
Acha kupayuka na kumsingizia Sokoine wakati humjui na hujawahi kufanya naye kazi.Makonda ni Sokoine wa Karne hii [emoji205]
Sokoine hakupendwa na wavivu hata kidogo, alikua hafurahishi mtu...
alisema na kutenda.
kwa sababu ya utendaji wake wa wazi hakupendwa mpaka alipo kufa [emoji205]
Makonda na Sokoine ni twins [emoji205]
π€£π€£π€£ππΏBashite hapaswi kuonewa huruma.
Au unataka akupe kifuta jasho ?