Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

Mleta mada ulichotakiwa kushangaa na kuchambua KWANZA kabisa ni huyo anayemteua kwenye hizo nafasi. PILI nini umuhimu na matarajio ya hizo nafasi kwa taifa? How relevant are these positions plus how can they be?

Kumzungumzia Makonda ni wrong target; haina maana. Nchi ina wajinga na wagonjwa wa akili wengi tu. Yule anayeteua watu wa aina hiyo kwenye nafasi muhimu za uongozi ndiye wa kutafakariwa; ndiye habari ya kujadiliwa. Sio mbwa anayeuma mtu.
 
Badala ya kuongelea tunu za Sokoine yeye ni mama.., mama..., mama..., hivi Makonda kwanini anahangaika sana na mama za watu, hajui kuwa Samia si mama yake?
Mama yake kamkana leo na mama yake ni Samia.
 
Ila tuseme ukweli, Makonda anawatesa sana! Yaani saver zote humu JF zimejaa Makonda tu!!!
 
sio suala la kujuana hapa au kusubiri mpaka afe ndio tuanze unafiki kwamba ooh Fulani alikua nini nini n.k....

sokoine aliogopwa sana na wavivu, viongozi wasio wabunifu, wala rushwa, wavunja sheria na waliozoea kufanya kazi kimazoea the same way Makonda alivyo πŸ’

so,
ukimchukia Makonda na utendaji wake huna tofauti na anaemchukia hayati sokoine πŸ’

sokoine hakuwa anakusudia kumchekesha au kumuudhi mtu, ispokua alitamani watu wote kufanya kazi kwa bidii na hatimae wote wafurahie matunda ya bidii katika kazi zao.........

And that,
hayati Moringe Sokoine is now, Paul Christian Makonda,The RC, Arusha Region πŸ’
 
Nani kakuambia makonda ni mpigaji kama wapigaji wengine
Anacheza na skili zenu nyie wanyonge

Ova
hili si suala la kuambiwa πŸ’

ni Jambo bayana kabisaa, liko wazi mchana kweupe na linaonekana kwa maneno na matendo πŸ’

mchapakazi RC Paul Makonda anazidi kudhihitisha si tu ujasiri wake katika kufanya kazi lakin pia jinsi alivyojizatiti kwa umakini na umahiri wa viwango vya juu sana,

kwamba he determined, committed and very able to confront both setbacks and challenges ahead of transforming Arusha region into prosperous πŸ’
 
Nani ampige vita makonda? Ili iweje? Hivi nyie watu akili zenu ziko sawa kumtetea huyo mpuuzi wenu?
 
Ila tuseme ukweli, Makonda anawatesa sana! Yaani saver zote humu JF zimejaa Makonda tu!!!
Your name reflects your thinking capacity! Makonda anamtesa nani?

Hivi ana kipi cha kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi bora let's say in the next 50 years tu? Umeona hata kama ana vision yeyote?
 
Hamna kitu nyie endeleeni kusikia porojo na umbea wa wanasiasa

Ova
 
πŸ˜‚Daah Makonda anatakiwa apatiwe washauri maana anaongea tu bila kujali muktadha au mazingira
 
Hamna kitu nyie endeleeni kusikia porojo na umbea wa wanasiasa

Ova
actually,
Mwanasiasa makini hawezi kupuuza chochote. whether ni hicho unachoita porojo na umbea au vinginevyo πŸ’

kupuuza ni among political mistakes ambazo zinaweza kukupelekea ukafanya blunders ambayo itaweza kukufanya politically irrelevant in political sphere πŸ’

so,
in professional politics we don't underrate political issues, allegations or statements. we work on it in a very serious way πŸ’

and for your information, what RC is doing is going to swip some political giants as soon as possible πŸ’
 
Mmekalia kuwaza siasa na vyeo tu. Hamuwazi mambo ya msingi ya kuipeleka nchi yetu mbele. Ni ujinga na upuuzi tu.

Ni laana kwa nchi kuwa na watu wa namna yenu.
 
Mmekalia kuwaza siasa na vyeo tu. Hamuwazi mambo ya msingi ya kuipeleka nchi yetu mbele. Ni ujinga na upuuzi tu.

Ni laana kwa nchi kuwa na watu wa namna yenu.
Tupo pazuri, tupo vizuri na kwakweli tunaelekea pazuri zaidi, chini ya uongozi shupavu na madhubuti sana wa Dr.Samia Suluhu Hassan πŸ’

wanainchi wengine humu nchini wanafurahia sana, matunda ya mipango mizuri sana ya kimaendeleo yanayotokana na ilani bora kabisa ya chama cha Mapinduzi πŸ’

wavivu bado mtaendelea kulalamika mpaka muongeze bidii katika kufanya kazi, kwani mtaji ulionao ni nguvu zako mwenyewe πŸ’
 
Hongera sana! Endeleza kipaji giza chako
 
Your name reflects your thinking capacity! Makonda anamtesa nani?

Hivi ana kipi cha kuifanya Tanzania kuwa nchi yenye uchumi bora let's say in the next 50 years tu? Umeona hata kama ana vision yeyote?
Jukwaa la Siasa jana lote lilijaa nyuzi za Makonda. Hukuona hilo?
 
Eti mama angu Samia Suluhu, yaani unaweza kudhania Samia ni mama ake mzazi aliyemzaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…