Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

Sugu mbeya mjini pasahau kabisa labda ukajaribu bahati yako hako kajimbo kapya, mbeya mjini ni ya Tulia na kaituliza, zile fujo fujo za masela tushazisahau.
 
Kabisa,badala ka kupunguza majimbo,yeye anatoa wazo la kuongeza majimbo.Then anatucheka kwenye mitandao ya jamii.
 
Cariha banaaa [emoji1787][emoji1787]

Yaani kwa kuwa ni Spika basi asiSOCIALIZE na kujibu utani tena katika "political arena" ya alichosema mh.Sugu?!!!! [emoji1787]
 
Kabisa,badala ka kupunguza majimbo,yeye anatoa wazo la kuongeza majimbo.Then anatucheka kwenye mitandao ya jamii.
Ningekuwa Rais ningepunguza idadi kabisa ya Hawa watu nakuhakikisha miundo mbinu inajengwa maana huko wilayani Kuna wakurugenzi kama watendaji wakuu,maana hata ukiwa na wabunge 1000 bila serikali kupeleka budget ni kazi bure
 
Simshambulii,ila sikubaliani na yeye nutaka kutuongezea wananchi mzigo wa mbunge mwingine, on top of that anapost post ya kutucheka wana nzengo.
Sawa....

Amemcheka mshindani wake Sugu kwani naye ametambaa kisiasa na majibu ni lazima yafanane na yake [emoji1787]
 
Nkwimba una yako tu.....

Hiyo ni SOCIAL MEDIA...kwa hiyo mh.Spika si binadamu wa kufanya naye matani ?!!!!

Mmmh msukuma una tabu wewe[emoji1787][emoji1787]
Spika akiwa hivyo na wabunge je?. Kaomba Jimbo ligawanywe halafu anakuja kujichekesha mwenyewe twiter. Spika wa hovyo Sana. Sijui walimwokotea wapi. Bora zungu anajiheshimu sio huyo kilaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…