Alichopost Spika Tulia Ackson baada ya hoja yake kuhusu kugawanywa jimbo la Mbeya Mjini

Alichopost hakina ubaya wowote.....ameweka "kicheko tu"".....na si cha yeye binafsi.....kuwa Spika si kuwa "antisocial"[emoji1787]
Spika anashindwa kuelewa ametoa boko bungeni halafu anajichekesha? Angejichekesha bila boko nisingefuatilia, ila kujichekesha Kama kahaba wakati ameongea pumba bungeni ni ujinga wa Hali ya juu
 
Sugu mbeya mjini pasahau kabisa labda ukajaribu bahati yako hako kajimbo kapya, mbeya mjini ni ya Tulia na kaituliza, zile fujo fujo za masela tushazisahau.
Nani? Huyu Tulia ambaye aliwaambia vijana wa UVCCM wawashughulikie vijana wa upinzani?. Huyo analipi la kutuliza Mbeya. Watu wametulia wenyewe kwa uvumilivu wao sio huyo spika wa mchongo.
 
Spika hajali kwamba Wanachi wamebeba mzigo mzito wa kuhudumia hao Viongozi. Kwa dharau anajaribu kuonesha kwamba yeye Hana shida.
 
Wewe ndo unaumwa.. pata tabibu wa kisaikolojia haraka sana.

Hamna tatizo lolotee...
Basi wewe na Tulia fikra zenu ni sawa,mpo kwa ubinafsi na si kuleta maendeleo kwa wananchi.
 
Kwani lazima umuelewe!?? Baki na uwezo wako wa kuelewa.
Nimemuelewa na nimemuona ni kilaza.Anachojali ni mambo yake binafsi yafanikiwe,yupo radhi jimbo ligawanywe ili apate uhakika wa kuendelea kubaki bungeni.
 
Vic mbona sikioni
 
Hakuna jambo binafsi kwa mtumishi wa umma.
Kama unataka ubinafsi,usiwe mtumishi wa umma.
 
Spika anashindwa kuelewa ametoa boko bungeni halafu anajichekesha? Angejichekesha bila boko nisingefuatilia, ila kujichekesha Kama kahaba wakati ameongea pumba bungeni ni ujinga wa Hali ya juu
"...kama kahaba.." au kahaba!!??
 
Sugu akambee hukuko atakapo enda Tuliae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…