Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,767
- 54,912
Huo ndio ukweli wewe Mmarekani wa BonyokwaKwa hiyo wewe wa Mbagala kwa Mfuga Nyoka ndio unafahamu kuwazidi wamarekani, subiri ukanywe tangawizi kijiweni uende kibaruani.
China alishajiandaa kwa kupunguza kuitegemea Marekani tangu 2019
Niwakizacho mimi ni AGOA ni kama na yenyewe mwisho wake unakaribia
Trump is fighting a losing battle.
Hata China aki negotiate tariffs - and I hope they don't- Trump hawezi kurudisha manufacturing US kwa sababu nyingine nyingi sana tu.
USA kawapiga kodi kubwa SA na mwanzo aliwapiga kodi ndogo sana Lesotho kwa sababu ya ugomvi wake na SA nae Lesotho kala rungu la 37% kwa bidhaa kutoka Lesotho akiami SA wanaweza kupitisha bidhaa zao kupitia Lesotho,Botswana,Namibia na Eswatin.AGOA ipo kama haipo, kwenye mkutano wa FOCAC kati ya China na mataifa ya Africa Xi alitangaza kuweka 0 tariffs kwa mataifa yote masikini ambayo yana diplomatic relationship na China
Trump yeye kawaongezea tariffs AGOA member countries. Marekani inapoteza ushawishi huku China ikijiongezea credit kimataifa
Trump ni mwendawazimu badala ya kuifungua Marekani yeye anazidi kuifungia
Ni ngumu sio rahisi kama unavyodhania wenzetu wapo mbali kidogo hata kwa utbuzi wa bidhaa za kutoka nje kwa kusoma codes zake.Na bado bidhaa za China zitamfikia Mmarekani kupitia third party kama Vietnam, Thailand, Mexico, Malyasia n.k ambapo China wana offshore investments
USA kawapiga kodi kubwa SA na mwanzo aliwapiga kodi ndogo sana Lesotho kwa sababu ya ugomvi wake na SA nae Lesotho kala rungu la 37% kwa bidhaa kutoka Lesotho akiami SA wanaweza kupitisha bidhaa zao kupitia Lesotho,Botswana,Namibia na Eswatin.
Ni ngumu sio rahisi kama unavyodhania wenzetu wapo mbali kidogo hata kwa utbuzi wa bidhaa za kutoka nje kwa kusoma codes zake.
Upo sahihi kwa material ila bidhaa iliyokwisha kutengenezwa ni ngumu kuingiza Nchi yeyote kama ipo kwenye alert ya kodi au kukatazwa Mkuu.U.S chamber of commerce walishawahi kukiri kuwa ni vigumu kwa Marekani kuzikinbia bidhaa za China hasa kuoitia third party
Kwa sababu bado hata factories nyingi zinatrgemea dual use goods, critucal components na crictical minerals na chemicals kutoa China ili wazalishe bidhaa ambazo zitaenda Marekani
Botswana migodi yao ya Debeers imepigwa kodi kubwa sana kwa huyu Rais wao mpya anaumiza kichwa wafanyeje ili kuinusuru Nchi maana wao wanategemea sana almost na soko lao kubwa ni USA nao wana rungs la kodi kama Nchi zingine..Yeah na bado Marekani inaendelea kuimport bidhaa kutoka Lesotho kwa tariffs ya 37% ambapo huu mzigo anabebeshwa mtumiaji wa mwisho pale Marekani kufidia ongezeko la 37%
Wamarekani ndio watayakanyaga safari hii.China ameyakanyaga atakula hadi chura wa mapambo safari hii😁😁
Upo sahihi kwa material ila bidhaa iliyokwisha kutengenezwa ni ngumu kuingiza Nchi yeyote kama ipo kwenye alert ya kodi au kukatazwa Mkuu.
Uchumi wa China unajengwa kupitia mambo haya.
Wachina miaka ya nyuma waliaminishwa sana kuhusu Iphone na soko kubwa lilikua China sasa hivi nao wametoa simu nyingi zenye mfano wa Iphone na Wananchi wao wameanza kuzikubali hizo simu tutegemee huko mbele hiyo simu kuuzwa kwa baadhi ya Nchi tu sio kama ilivyo sasa.Yeah pia nilichomaanisha ni kuwa China ina factories nyingi kwenye nchi za ASEAN na Mexico
Wachina miaka ya nyuma waliaminishwa sana kuhusu Iphone na soko kubwa lilikua China sasa hivi nao wametoa simu nyingi zenye mfano wa Iphone na Wananchi wao wameanza kuzikubali hizo simu tutegemee huko mbele hiyo simu kuuzwa kwa baadhi ya Nchi tu sio kama ilivyo sasa.
Hiyo ni hatua ya kwanza, kibano bado kitaelekea kwa third parties, US anajua chocho zote. Hii ndio namna nzuri ya kudeal na mchina.Na bado bidhaa za China zitamfikia Mmarekani kupitia third party kama Vietnam, Thailand, Mexico, Malyasia n.k ambapo China wana offshore investments
Maduka ya Apple kipindi cha Corona huko China hayakufungwa mkuu unachosema upo sahihi na Lenovo bidhaa zao zina unafuu sana tofauti na hizo za USA.Moja ya soko muhimu na kubwa la iPhone ni China hata CEO wa Apple, Tim Cook haipiti mwaka bila kutembelea China mara 2 hadi 3 kupromote mauzo ya iPhone
Kwa sasa katika soko lao muhimu China iPhone wanakabili ushindani mkali sana inashika nafasi ya 5 nyuma ya Huawei, Xiaomi, Vivo na Honor
Hili ni pigo kwa Apple
Na sio Apple hata Tesla na Dell wanakabili ushindani mkali kutoka kwa domestic manufacturers kama BYD na Lenovo & Huawei