Alikiba ameshinda Mtv Ema lakini hakustahili zaidi ya Wizkid!

hii ndiyo picha ya icon washindi wote waliwekewa na mtvema sasa iwaje mtvbaseafrica wamtangazee mtu mwingine
 
Sasa hizo kura walizopiga hao watu zilikuwa za nini kama maamuzi hutegemea zaidi waandaaji na wadhamini? Si wanatakiwa wakae tu waamue nani anafaa kwa vigezo vyao? Au kura zina asilimia fulani (ndogo) na za wadhamini zina asilimia fulani (kubwa)?
 
Hebu soma hapa walichoeleza mbona mnakuwa wagumu kuelewa?
View attachment 430845
Mkuu hio sio account official ya MTVEMA,Ni fake account tu ambayo teamkiba wameanzisha,hakuna sehemu walipojibiwa na MTV niamini mimi.

Halafu hata hizo Link wanazosema waliweka sijui mstari baadae wakautoa pia ni fake...tembelea account yao MTVEMA huko instagrama ukaone kilichopo cha ukweli.

Allykiba anatafuta kiki tu ila ajulikane nje kwa njia za panya,
Anahisi labda atajibiwa kama alivyojibiwa EddyKenzo na MTVBASE.
Anasahau kama hakunaga shortcut kwenye mafanikio!
Yaani mtu hana collabo hata moja ya kimataifa wala award halafu leo anataka apewe BEST AFRICAN ACT NA BESTWORLDWIDE ACT kweli jamani?![emoji38][emoji38]

Hizo collabo na NuhMziwanda na Abbyskills ndio zimpe tuzo kubwa kama hizo?!anautani kweli
 
Ukiangalia hiyo picha vizuri, ktk huo mstari wa pink kwa Ali kiba kinembo kama tuzo kwa chini kimechomoza, hakijakaa ktk mstari mmoja ulionyooka na picha yake, kama unabisha chukua rula alafu Pima chora mstari kuanzia juu mpaka ktk nembo ya tuzo, kwa kiba kimechomoza, lkn kwa wa sanii wengine hakijachomoza, kimejipanga ktk mstari mmoja na picha, kwa hiyo huu ni utundu tu wa graphics, tusipotezeane muda.
 
Sijui na leo mods watafuta komenti zangu,maana wanapenda DIAMOND akipondwa,ila kiba akipondwa wanafuta komenti zako. KIBA HANA HADHI YA TUZO ZA KIMATAIFA AJIPANGE LABDA SIKU ZA MBELE ATAFANIKIWA LAKINI SIO KWA SASA.
Tutaifuta tu hamna namna[emoji23]
 
We jamaa unaangaika sana,KIBA SI WAKUCHUKUA TUZO MBELE YA WALE ALIOKUWEPO NAO,ACHANA NA HIVO VITU VILIVYOTENGENEZWA NA HAO TIMU KIBA. TUZO ZIMESHAPITA NA WIZKID NDIO MSHINDI MWAMBIENI MTU WENU AFANYE MUZIKI SIO MAJUNGU NA KULALAMIKA.
 
kwan hzo kura zinaonekana wapmaana mpka sa hivi sjaelewa
 
..cku bifu yake na Diamond itakapo isha ndo itakua mwisho wake, maana anatumia hii bifu ndo inamueka mujini.
 
yani hao mashabiki wa king angekua Aden rage unajua angewaitaje?
 

Unaulizia vigezo wakati tuzo zimeshatolewa,kwa nini hukuulizia vigezo kabla hazijatolewa?
 
Kuna haja gani ya kupiga kura sasa kama hawazifuati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…