Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

List ya wanawake pasua vichwa inazidi kukua, zaman nilidhani ni Mimi peke yangu Kwa mamaJ😂
 
Ananuna,anazira
 
Bado hujaingia kwenye 18 za haya viumbe. Mimi nilishaapa hatokuja mwanamke ajue kiasi Cha pesa ninachoingiza wala ninachomiliki.
Daah inauma sana asee. Nimeachana na kidoctor kimoja hivi kipumbavu sana. Mpaka unawaza hawa viumbe akili yao imekalia wapi
 
Lakini hizo changamoto unazichukuliaje ? Naona ni mambo ya kawaida sana kama mpaka alikuwa anakusaidia....Baadhi ya mambo jirekebishe sio unabet kama mwendawazimu ,fanya iwe siri kama hauwezi kuacha ..
Najua wife hakua dream women wangu.

Nipo na drive hapa huku na chat mke wangu ni dream women pia nampenda Sana namjua na nipo nae bila shinikizo

Let's love lead.
 
Fukuza huyo shetani! LEO, SASA HIVI!
Sio rahisi kihivyo mkuu, labda kama ni kimada tu hawana mtoto wala hawajachuma wote chochote. Ndiomaana unaona mkisapiga hatua wanaanza majeuri wanajua huna pa kuwapeleka na ukileta fyoko unaanza Moja Kila kitu
 

Una mtoto mmoja? Kimbia haraka, utakuja kumuacha huyo mwanamke akiwa na watoto wa 3, Bora sasa
 
Usibishane na mwanamke, mpe matumizi yake kama kawaida, kesho unarudi asubuhi, akirudia tena unaongeza siku mbili za kulala nje, ikishindikana unamwachia nyumba unakata matumizi
 
Kosea vyote usikosee kuoa.. yaani mpo wawili afu mnaanza kujadili ma ex wenu tena anakulinganisha nao aiseee bro hapo umefeli sana either ulizipuuza tabia zake tangu awali sababu ya genye za kuoa ama umelitengeneza tatizo mwenyewe.
 
Kinachokutokea ni kama unajaribu Kuendesha Kifalu au Katapila na wewe leseni yako ya pikpk 😢😂😂😂
 
Imagine mmekaa ndani mume na mke, mke anasema, "mume wangu wewe bahili sana, hunipi pesa kama wale maex zangu x the y", wtf!!! Hapo sio tu red flag, its a card already!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…