Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Kudadeki bora huyo, dharau haivumiliki
 
Mhh mbona mimi siwezi kuishi hata siku tatu na mtu wa hivi, wenzangu mnawezaje????
Acha niishi hivihivi maana nikioa nadhani kuna kitu kitaniharibia future najiona kabisa.
Mwanzo wanakua vema unakuja kuona rangi zote wakati ukiwa ushasogea
 
Bado hujaingia kwenye 18 za haya viumbe. Mimi nilishaapa hatokuja mwanamke ajue kiasi Cha pesa ninachoingiza wala ninachomiliki.
Hii nzuri, bonge moja ya msimamo
 
Tatizo lilianza ple ulipooa m.ke ambae unajua kashagawa nje hlf ww ukaenda kumuoa

Siku nyingi hpa nasema kua Uzinzi haujawahi kumuacha mtu salama hua hamuelewi hii kauli ila inauma sanaa
Bikira zinatafutwa kwa tochi these days
 
Wa kaskazini huyo.

Hapo huna mke akisema tu narudi kwetu kesho pakia kila kitu kwa gari drive mpaka kwao.
Au mwambie tukasalimie Kisha we chomoka muache kwao
 
Katika kitu ambacho huwa nasema na hapa nitakisema, ukiona kabisa mwanamke anakua hakupi nafasi ya wewe kusimama kama Mumewe basi kuna mtu amempa hiyo nafasi. Ignore her, Ignore and focus on adding values kwenye Maisha yako. Women are attracted not chased, kulazimisha aendelee kuwepo kwako ni kuendelea kumlea koboko mdogo ukijiaminisha atakua bora. Good decisions are always the hard ones, make one. Wanawake walivyowengi unahangaika naye..f*ck whatever people will say about your decision as long as hayo maamuzi ni kwa faida ya kesho yako Amua sasa acha kulialia hapa.
 
Noted!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…