Alikuwa vizuri mwanzo lakini baada ya kumuweka ndani rangi zote nimeshaona

Hapo ulijichanganya mwenyewe kwa kupata korona usisingizie ndoa, hata angekuwa ni dada yangu nisingemshauri afanye maisha na mwanaume anaebeti maana hawapo serious na maisha.
Ni mtazamo wako, unaweza usibet na ukawa mlevi unaweza usiwe mlevi ukawa mzinzi kila mtu ana starehe yake
 
Nimeipenda stori yako.Kwa maelezo ya mwamba hapa. Nimejifunza ndoa ni kuishi maisha yamwanamke... Anavyozidi kupoteza mda ndivyo anapoteza uchumi wake.
 
Duuuhh
 
Pole Dr. Cha msingi kwa Sasa muepuke maana hakuna namna.

NB.

Ukimpata mwenye mapenzi ya dhati/ yule ambae chakwake chakwako na ambae ni SOUL MATE wako kila kitu kitakua sawa.

Let's LOVE LEAD.
 
Mama Mtumishi punguza sauti kidogo, tuna watu humu JF, watachukua hii comment kutujaribu sie.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…