Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

 
Hali mbaya ya kiuchumi kivipi? Kama wanagawana nusu kwa nusu unasemaje kuwa ni hali mbaya??? Mfano umesema USD 40 billion hiyo ni pesa ndogo? Au mwenzetu ni billionaire mkubwa sana??!!
 
Wanaume wachache sana watakuelewa!!!
 
Uwongo bana,ina maana waislam huoana na kuachana kila siku?..mbona tunawaona na familia zao daily na wanazikana
Hapa tunaangalia kwa wingi na pia nimetaja maeneo husika.
Huko talaka ni jambo la kawaida.
Nenda,zungumza na wanawake atakwmabia mimi na ndoa mbili,huyu tatuu yule nne.
Kule huruhusiwi kumpiga mwanamke,hata kama kakukosea ukimgombeza amakumpiga kesi yako.
Mwanamke wa kule ana nguvu, wanaume wanapelekeshwa tuu.
Mwanamke akipata bwana mwenye pesa atazua ya kuyazua ilimradi apate talaka yake.
Ni kawaida sana Unguja na Pemba.
 
Eti maharamia... Dahh! 😂😂😂😂😂🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…