US mwanaume kuomba talaka ni sawa kukubali kufilisika, talaka za US sio bongo. Tajiri wa Amazon talaka yake na mkewe imemtoka USD bil 40,hapo bado anatoa Allomony na Child Support na ndio maana Bil Gates,Jeff Benzos,Elon musk hutokuja kusikia wakioa tena baada kuachana wake zao,kwani talaka zimewapukutisha hela nyingi, sema tu wao wanavyanzo vingi vya fedha ila swala kuoa tena vichwani mwao hamna, japo sasa hivi wanatoka vibinti vigori.
Talaka US huwezi fananisha na bongo,kwani huwaga inamwacha mwanaume katika hali mbaya ya kiuchumi. Wanaume wanaombaga talaka ni wale wanaodate na wanawake wenye hali nzuri kifedha,sababu wanajua hawana cha kupoteza,kama Merry J,Britney nk hawa nao wanaume zao wamepiga hela kupitia talaka.