Alinionya "nisiwapende wanawake wa kizazi hiki" lakini sikusikiliza

Na mostly wanaoharibikiwa naona ni wale wenye ushamba wa kuoa wanawake weupe baada ya kufanikiwa kimaisha. Mostly wenye wanawake zao blacks na wa kawaida tu naonaga wanadumu kinyama! ... Hii pia ni sababu
 
Weuweeeeee☺️
Kuhonga hakujaanza leo! Kaa chini uvute pumzi kwanza
Kuhonga alifanyiwa Eva kupewa ubavu na Adam sembuse sasa hivi

Endeleeni kusambaza elimu labda mtaokoa kizazi cha mtondogoo
Mwanamke msomi mwenye akili timamu unajivuna kwenye public namna hii kumnyonya kijana wa watu angali ana familia, wazazi na watu wengine wa kumtegemea (marafiki na jamaa) kwa support ndogondogo ambao hawajajipata.

Kuna wanawake wenzio haohao wapo very brilliant na very successful kiuchumi kwa kujisimamia wenyewe au kuwekeza pesa ambayo aidha wamewezeshwa na wenzi wao au whatever! Saiv ni bossladies... Na ukihitaji mifano nakupa (Na mkishajipata, mnaona wanaume tena hawana thamani mnaishia kuchakatwa na kukojolewa na vi-marioo... Maana viburi vimewazeesha bila ndoa na depression mnaishia kulea vijana mwisho mnazidisha kasi ya HIV tu)

Wanawake wenzio wenye akili watakushangaa ingawa mostly mpo hivyo. Hamna akili na haya

JITAFAKARINI.
 
Lesson...
 
Halafu mbaya zaidi huwa hawafiki popote na hizo mali.
Wanaishi kuzitapanya baadae wanarudi kusumbua kupitia watoto pale pale.
 
Nina watoto wawili baba tofauti na wenzako wanataka kunioa leo kesho we huogopi?
Kaongea kwa kifupi.
Pia umeshasema bibi.
Bimaana huyo ni wa kizazi cha 1950s.

Wanawake wa zamani hata akiwa kazaa bado mileage inasoma kwenye gari.
Sio ninyi kizazi cha millenial mileage zishakata.
Usijifananishe wewe na bibi,bibi kizazi cha dhahabu aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…