Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

Aliondoka kwa First Class ila Karudi Kama Mzigo Kwenye Ndege

Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.

View attachment 3149000

Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.

Haya maisha yetu yanafikiliaha sana ndg zangu,tuishi kwa amani na tafakuri sana.
Utaleta tahaluki...mwishowe uje kumlaumu mkurugenzi wa jf.
 
Kama kifo kingekuwa chapeleka watu Mbinguni hakika viongozi wa dini wangekuwa wa kwanza kufa ili waende.

Angalia hata magaidi wanadanganywa wakifa wanaenda peponi kupewa bikra 72 ila hao wanaowadanganya wao wamebaki wakila tende na shurbati
Mtihani kweli.
 
Hiyo ni kazi ya Mola
Lawrence Mafuru

Kituo : Apolo, India

Jk ameandika chochote kuhusu huyu young blue-eyes boy aliemuamini akamweka kitenga cha fedha ili azikung'ute vizuri kisha Magu akaja kumfurusha baada ya kumgundua kua anazipiga Pesa za Serikali? Alipoingia Bibi Chura akamrudisha akampa kitengo tena aendelee kuzipiga
 
Back
Top Bottom