Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

duh,kitambo sana
 
Kuna wakati zilikuwa zinaanzia Lusaka,shida ni haya mashimo ya Barabara za Tz na single lane,kama Mungu ni mwema na Ile project ya Egypt to SA ikikamilika Afrika itakuwa kama USA hebu angalieni BRICS wanakuja na kitu gani kwa sasa mtajua sasa tunaelekea wapi.Any way Mungu atupe nguvu lakini route hiyo inawezekana na Binadamu sio wazito na boda zote wakichangamka na mapepala ya uhamiaji tutasonga mbele.
 
Hio route kwenda South Africa naona bus zinaongezeka kuna nyingine inaitwa royal luxury
Walio makini watagindua Tz inaendelea kwa Kasi Sana Richa ya wahuni wachache kucheza na Kodi zetu,Tuko wa tisa kiuchumi Afrika,mtu anaetuinua ni Dotto Biteko na madini yake,Bashe ni kituko.
 
Hii Shalom bus inayoishia Lusaka kwa kupita Chirundu au Livingstone kwa baadhi ya siku...
 
Attachments

  • 20230427_085530.jpg
    799 KB · Views: 19
  • 20230426_155842.jpg
    676.5 KB · Views: 19
  • 20230427_090747.jpg
    294.8 KB · Views: 18
  • 20230427_085926.jpg
    1.1 MB · Views: 19
  • 20230427_085936.jpg
    791.8 KB · Views: 17
  • 20230427_085938.jpg
    640.8 KB · Views: 17
  • 20230426_174329.jpg
    995.9 KB · Views: 18
  • 20230427_122410.jpg
    1.1 MB · Views: 19
  • 20230426_181255.jpg
    1.3 MB · Views: 17
  • 20230426_082244.jpg
    815.6 KB · Views: 19
Hizi gari sio himilivu kwa njia za kiafrika afrika, kampuni ya kureed hunters walikuja nazo route Dar _Mwanza hazikudumu miezi 6.
Mifumo yake inasababisha linasababisha linanesa sana kwenye hizi barabara zetu zilizo kama matuta ya viazi
 
Classmate kafanya uwekezaji
 
Hizi gari sio himilivu kwa njia za kiafrika afrika, kampuni ya kureed hunters walikuja nazo route Dar _Mwanza hazikudumu miezi 6.
Mifumo yake inasababisha linasababisha linanesa sana kwenye hizi barabara zetu zilizo kama matuta ya viazi
shida hao kureed walinunua mtumba, nenda hapo zambia uone bus engine nyuma zinavopiga mzigo. hata wada chovu na royal luxury zinapiga zambia to South na ni engine nyuma
 
Hizi gari sio himilivu kwa njia za kiafrika afrika, kampuni ya kureed hunters walikuja nazo route Dar _Mwanza hazikudumu miezi 6.
Mifumo yake inasababisha linasababisha linanesa sana kwenye hizi barabara zetu zilizo kama matuta ya viazi
Sio kweli Wazambia ndio gari zao hizo wananunua mpya kabisa Jordan bus wanazitumia miaka nenda rudi na hakuna tatizo Bara barani na huko kuna milima sana na ni umbali mrefu...
 
nadhani ni jo burd to dar hizo zingine ni route tofaut tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…