Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Uko sahihi maana wiki iliopita pale border beltbrige upande wa South Africa, immigration walitusumbua sana. Hasa baada ya kuona passport zetu za Tanzania, tumewauliza Kwa Sisi mnatukagua sana, Kuliko Mataifa mengine. Majibu Yao wanasema watanzania wengi hapa wanakamatwa Na madawa ya kulevya. Ilibidi tuwe wapole tu
 
Mleta uzi hajafeli. Yeye kaleta habari kama alivyoipata, hivyo hao wenye basi ndiyo uwauulize kwanini wameamua kutumia hiyo route. Naweza kufikiri vitu vichache. Ubora wa barabara au kufanya travelling tour pia.
 
Safari ni jorbeg, Harare Lusaka, dar kwa mama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo anapiga na wateja wa hizo nchi tajwa ambao pengine nao wanatakankwenda south!
Sidhani kama tz zambia zim atapata abiria wa kutosha on weekly or daily basis
 
Basi la mjomba yangu hilo anaishi mkuranga ila hapendi wala family yetu hatupendi kujionesha onesha kama sisi matajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…