Aliyeamua kuchukua hii Route ya Johannesburg to Dar Es Salaam ni Mtanzania Kweli?

Ukitoka dar kufika singida n saa ngapi mkuu
 
mbona unyama enzi zetu tulitembea kwa miguu mpaka kwa madiba! Ngoni migration
 
Nachoona hapa mleta mada ametaja inchi bus itayopita bila mpangilio
Tunangoja Taarifa Iliyonyooka Kama Rula Kuhusu Barabara Inaanzia
Humo Njiani Inapita Wapi Na Wapi!! Nangoja Tu Kuliona Likianza Kazi



Canon Salute Itafanyika Wapi Kila Nchi Ama Dar Es Salaam Tu
 
huu ni uzushi wa kipuuzi, mleta uzi hata hajui ramani ya Africa. Watu wengine ni km wanaota. unatokaje Botswana halafu uende Msumbiji? Huyu shule alienda kuchungulia siyo kusoma
Mketa mada ni copy and paste, hii habari ilishatoka kitambo huko south
 
huu ni uzushi wa kipuuzi, mleta uzi hata hajui ramani ya Africa. Watu wengine ni km wanaota. unatokaje Botswana halafu uende Msumbiji? Huyu shule alienda kuchungulia siyo kusoma
Wewe akili huna kabisa, hiyo gari inapita hizo nchi ili kupata abiria, kumbuka hiyo ni bus ya abiria sio tax

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nadhani kuna typing error ya route ya bus,maana huwezi toka jhb to Gabs/palapye then urudi Zimbabwe, then Mozambique!!,kuna tatizo hapa,
Halafu uende Malawi uje utokezee Zambia then Tunduma tena! Kazi kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…