Aliyebuni hizi engine za forester XT aishi milele huko aliko

Unaongelea Rubicon hii inayokwama kwenye mchanga beach, tukaivuta na 1Hz-Pick up??
 
Huwa unafanya services baada ya kusikia shida fulani au unazingatia vigezo na masharti ya ukarabati?
 
Yaani nikiiona Hilux na wanavyopenda ligi lazima nohakikishe Nastia adabu halafu namuacha ahangaike na Lori lake.
Ha ha! Mkuu, nami pia uwa nikiiona hii wanayoiita bombadier lazima niitie adabu! Kiherehere mwingine ni hizo ‘Japanese Benz’. Nazo uwa nahakikisha namwachia vumbi akitaka ligi.

NB: fanya ligi kwa kuzingatia alama za barabarani na mazingira ya barabarani kwa usalama wako
 
Umenikumbusha natoka Dodoma kuna jamaa ana Premio nataka kumpita analeta ligi. Kuna watu hata hawajui magari.
Huyo inabidi umpe adabu. Kama hawa napenda unamwachaa mpaka afike top speed yake, kisha shwaaa.

NB: endesha kwa kuzingatia usalama wako na watumiaji wengine wa barabara.
 
Serikali na Idara inayohusika na hayo mambo ipo bado enzi za mwalimu. Kagame hapo anatumia RR , Kenya wanaotumia mchanganyo include Lexus LX..
Range rover ni brand tu ukitaka ujue hilo linganisha RR ya 2010 na vx ya 2010 uje na jibu, pia nchi nyingi sana viongozi wanatumia cruiser hata asia ukilinganisha na wanatumia RR
 
Range rover ni brand tu ukitaka ujue hilo linganisha RR ya 2010 na vx ya 2010 uje na jibu, pia nchi nyingi sana viongozi wanatumia cruiser hata asia ukilinganisha na wanatumia RR
Kwanini Turudi 2010 wakati tupo 2025 mkuu ? Compare RR ya 2025 na LC ya 2025 yukate mzizi wa fitina. RR SV 2025 na LC 300 ZX, maana zote ni top trim kwenye brand zao
 
Kwanini Turudi 2010 wakati tupo 2025 mkuu ? Compare RR ya 2025 na LC ya 2025 yukate mzizi wa fitina. RR SV 2025 na LC 300 ZX, maana zote ni top trim kwenye brand zao
ZX ni top trim kwa LC?? Oya ee kwa upeo wako mdogo kwenye haya maswala naona unapoteza mda tu kubishana na wewe
 
ZX ni top trim kwa LC?? Oya ee kwa upeo wako mdogo kwenye haya maswala naona unapoteza mda tu kubishana na wewe
Land cruiser Wana top trim gani zaidi?
Australia ndiyo mteja mkubwa wa magari ya Toyota hasa land cruiser lkn cha kushangaza hizo LC 300 zilitumika kwenye idara ya polisi Tu.
Kwa kifupi Hadi nashindwa kujua kwanini Toyota ili afanye biashara Kwa USA na Europe lazima abadilishe brand iwe LEXUS (japokiwa brand ya Toyota inakuwepo Kwa baadhi ya magari)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…