Aliyechoma Quran Sweden sasa misahafu 1000 yainuliwa juu na kisomo ili Kukomesha

Nimesoma vizuri ila wewe ndio hujanisoma vizuri

Mimi nimezungumzia Global sijakata kipande kuelezea Europe pekee, sijui kama hata unajua fertility rate ya global ni ratio ngapi kwa muislamu.

Lakini hata nikisema niuweke mjadala kuhusu Ulaya bado jibu sio conversion

Unajua migrants crisis ya 2015 kule Ulaya ilipokea watu wangapi kutoka wapi?

Zaidi ya wakimbizi 1.3Milion kutoka nchi za kiislamu waliingia Ulaya wakikimbia migogoro ya kisiasa na ugumu wa maisha kwenye nchi zao huku Syria na Pakistani zikiwa kinara kwa kutoa idadi kubwa ya watu.


2016 pew research ilikadiliwa kuwa na ongezeko la zaidi ya 26M ya waislamu waishio Ulaya kulingana na umri wa fertility pattern ya jinsi waislamu wanavyozaliana.

Na saizi inakadiriwa kuwa ifikapo 2050 waislamu watakuwa 36M ambayo ni asilimia 7.5 ya population ya Ulaya yote.

Hayo yote sio kwasababu ya watu kusilimu, ni sababu ya uzalianaji wa waislamu ulivyokuwa mkubwa.
 
Umeongelea pew research Na ile ilibase na Ulaya, pia issue ya migration imeongelewa kwenye research na Hio 7.5 ni bila migration na migration ni 11 mpaka 14%


Conversion pia ipo kubwa japo pew research hawajaiongelea kwa undani


Ujerumani 100,000 inakadiriwa ni waisilamu waliosilimu, same Figure UK, France na USA,
 
Reference yako ya picha inaongea wazi kabisa kuwa ongezeko la waislamu siku zijazo inategemewa na wakimbizi.

Meanwhile idadi ya watu wanaoslimu ni ndogo, na kweli ukiangalia katika rekodi utaona miaka 10 kabla ya migrants kuvamia Ulaya ilionekana Budha ndio dini iliyokuwa na idadi ya watu wengi walio convert kuliko hata uislamu.
 
Tumpige albadri mpuuzi huyu
[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115] wavaa makobaz mna shida sana ingekuwa ni rahisi hivo wale wapalestina si wanabondwa na israel kila siku na marekni na nato si waliwapiga hao waarabu kwani walishindwa nini kusoma hiyo blaah blaah blaah albadili ..wakageuka mijusi au panya au mende mbona mpaka leo wamarekani na nato wanadunda mtaani alafu mbaya zaidi aliechoma hiyo kuruani ni mu iraq sasa kasome hiyo albadili yako .. [emoji41][emoji41]..
 
Katiba ya Sweden inatoa ruhusa kuchoma kitu chochote kuanzia Biblia, Quran, Bendera nk isipokuwa tu moto huo usiwe mkubwa kutengeneza hatari nyingine.

Na sio Quran tu hata TorΓ‘h ya muisrael ilipigwa kiberiti hapo mwanzoni mwa mwaka huu.
Katiba ya mfano
 
Ndiyo maana wanaruhusu kuoa hata wake 6 ili wawe wengi.
Ndiyo maana kuna mahakama za kadhi, bila hivyo hata uarabuni wangeachana na uislamu. Ukiingia umeingia, ukitoka basi ufungwe, utengwe au uuliwe.
 
Kama uislamu ni haki. Kwanini kuna mahakama ya kadhi?
 
Aliyechoma msahafu mmoja nchini Sweden. Misahafu elfu moja imeinuliwa na kisomo cha pamoja nchini humo siku chache baadaye.

https://www.facebook.com/
Allah mwenyewe alitoa ombi kwa Mungu wakristo na wayahudi waangamizwe mpaka Leo wapo πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£ miaka zaidi ya 1400 hakuna majibu

Allah anasema;
9:30. Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Mkuu huwa napenda kuongea na evidence,

Nimeweka links kuna Converts 100k Ujerumani, wapo idadi kama hio Uingereza na Ufaransa hizo ni Nchi 3 tu umeshapata Waliobadili dini zaidi ya laki 3.

Hilo graph linaonesha vyote ongezeko ikiwemo na migrants na bila migrants, nimekupinga data zako za mwanzo za asilimia 7, ni Asilimia 7 ongezeko bila migrants na asilimia 11 mpaka 14 na Migrants.

Vyema na wewe pinga hoja yangu na Evidence sababu

Budhism ni dini inayo decline tumia hio hio pewresearch



Unaweza ukaonesha source ya claim yako Budhism ilikua inakua kuliko uisilamu?

Hivyo ongezeko la Uisilamu Ulaya ni Vyote Wanasilimu, Wanazaliana na Migrants na hata bila migrants ongezeko lingeshuka tu toka asilimia 11 hadi 7, hivyo bado lingekuepo.
 
Kunyima mtu akili na kukosa mwangaza kuishi kama kipofu huko ni kumuangamiza mtu moja kwa moja . Au kuangamizwa unakotaka ni kama hivi kwenye Bible kikatili namna hii ?
 
Kunyima mtu akili na kukosa mwangaza kuishi kama kipofu huko ni kumuangamiza mtu moja kwa moja .
Sala ya Allah haijajibiwa πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚ chuki yake ameshindwa kujificha mpaka ametoa sala maalum kwa Mungu

Allah anasema;
9:30. Na Mayahudi wanasema: Uzeir ni mwana wa Mungu. Na Wakristo wanasema: Masihi ni mwana wa Mungu. Hiyo ndiyo kauli yao kwa vinywa vyao. Wanayaiga maneno ya walio kufuru kabla yao. Mwenyezi Mungu awaangamize! Wanageuzwa namna gani hawa!
 
Hujaweza kupinga kwasababu hilo ongezeko limechangiwa na influence ya migrants

Nimekuambia conversion ipo ila ni kwa uchache na the main reason behind that conversion hutokea wakati wa ndoa.

Ni kwamba ukimuoa muislamu, utakuwa kwenye high percentage of pressure kuweza kubadili dini

Na kwasababu ya polygamy ambayo waislamu wamekuwa nayo ndio imefanya iwe rahisi sana kufikia idadi kubwa ya population.

By the way hiyo screenshot yako ndio inaonesha nini ili kuthibitisha nini?
 
Adhabu ya kifo hufanywa hadharani kwenye uwanja maalaumu huku watu wakishuhudia mfano Saudi Arabia ,hilo kwa kuficha ni dhana zako.Halafu hizo nchi ni chache kucompare na nchi nyingi ambazo hakuna kitu kama hiko.

Mimi nimefocous kudorora kwa Ukiristo katika inchi zenye Wakirsto wengi mfano UK hilo linatoa nafasi ya Uislamu kukua hata sababu rate ya Atheists katika ukiristo ni kubwa sana na inaongeza daily.

Jarida maarufu la Newyork Times 2006 lilitoa makala kuwa Uislamu unafikia watu wengi ulaya ,na ikaeleza kutokana na hilo Makundi ya Wakirsto wameanzisha programs na wao za kuwafikia Waislamu katika nchi za kiarabu baada ya kuwaona wenzako wanawapiga gepu na wao lazima wafanye comeback.
 
Ebu kwanza nioneshe wapi nimesema wanatoa adhabu kwa kuficha
 
Kila nilichoongea nimethibitisha na data na research prove vifuatavyo kwa data

1. Conversion ni chache
2. Wanao convert ni sababu ya Ndoa.


Pia Polygamy sio sababu ushaambiwa Birth rate ni 2.7 hio Polygamy imechangia nini?

3. Naomba nayo weka data zake kwamba polygamy imechangia.
 
Data gani juu ya hoja gani ambazo wewe hapo umeweka?

Hiyo screenshot yako imeelezea data za conversion?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…