TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

TANZIA Aliyekuwa Mbunge wa Mufindi na Waziri wa Elimu Awamu ya Tatu, Joseph Mungai afariki dunia

LOWASSA bado yu hai?

Eeh Mungu tunakuomba neema ya Uhai na Uzima.

Sisi wanadamu tu mavumbi tu, yatupasa kutenda mema na kukumbuka hukumu zako.

Lowassa alishajibu kuwa : Kuishi ni neema tu, nami naafiki.
Siasa hzo
 
Habari ya Kweli kabsa! Nmeisikia kama Breaking News Radio one muda mfupi uliopita
 
LOWASSA bado yu hai?

Eeh Mungu tunakuomba neema ya Uhai na Uzima.

Sisi wanadamu tu mavumbi tu, yatupasa kutenda mema na kukumbuka hukumu zako.

Lowassa alishajibu kuwa : Kuishi ni neema tu, nami naafiki.
lowasa anahusikaje mkuu hapa

mwanae alikuwa ukawa na akampigia kampeni je? unajuaje kama hakuwa nae ukawa
 
Aliewahi kuwa waziri katika awamu zilizopita Ndg JOSEPH MUNGAI amefariki leo hii jijini dar es salaam

Source: taarifa ya habari ,chanel ten
 
Back
Top Bottom