TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

Hapana, uskimbie na usitukane, ana hoja, jibu maswali yake hapa hapa,

Unataka kumkimbia?!!!
Ebo! Jibu hoja hapahapa

mwache akimbie, kasema kani block, well I am having a field day!

Tumepunguza msambazaji mmoja wa sifa za kichawa na kiongo za uzalendo na utumishi wa wastaafu. Balozi Lukindo, Balozi Nhigula... Everybody is like, balozi whooo??? How you say that name again?

Okay, do me favor, will you ? Nobody ever heard of those jacks, hatuwafahamu, tusaidie, wamefanya nini cha uzalendo ili kusudi tuwatambue, tuwaenzi. Ume collapse! Ulilishwa indoctrination toka utotoni za kuenzi mabalozi! For nothing!

Katika kutetea na kuomboleza damu za Watanzania waliotupwa kwenye viroba Coco Beach, na waliopokwa ardhi zao Mbarari, Tarime, na Loliondo, na kwenye kupinga tozo na vikokotoo vya kututia umasikini kapuku, Roma Mkatoliki amefanya mengi ya kizalendo kuliko mabalozi wote combined! Au, Ney wa Mitego, Rais wa Kitaa!

I mean, wastaafu wote wa Foreign Affairs combined hawawezi kufunga kamba za viatu vya Neyi wa Mitego. Kwa saab hawajawahi ku risk pensheni zao kututetea kwa lolote. Balozi Lukindo anahitaji utambulisho. Ney wa Mitego, bila suti, bila tai, ulinzi, mshahara, V8 VX, bila sauti bungeni, msaidizi wala ofisi, is a household name! Rais wa Kitaa!

Kwa hiyo tuna wazalendo wetu tuliowaona kwa macho wakijitoa muhanga - sio wa pensheni, hawana pensheni, ila wa maisha yao - wakipinga raia kutekwa na Usalama wa Taifa na gestapo wa Jeshi la Polisi na kufia kwenye ma gullag vituoni. Usitutajie wastaafu ambao hawajawahi kutumia gravitas zao na diplomasia zao kutatua mgogoro hata wa shamba moja la kijiji dhidi ya mwekezaji. Wamekaa kwa adabu wanasubiri waingizwe kwenye mabodi na ma Tume ya Rais. Empty suits. Shame on them.
 
Huyu hakuwa mlinzi mkuu. Mlinzi mkuu yupo ambaye wote ureport kwake. Alipewaga ubalozi.
Kuna kada fulani ya mabalozi old school wale wazee kina George Nhigula, Raphael Lukindo, Salim Ahmed Salim, wale umakini na uzalendo wao sijui kama tutaupata tena nchi hii.
Hakuna sahvi.....
Wale walikuwa madiplomat bana
Achana na hawa sahv

Ova
 
Ponda kajenga Ubungo tangu mwanzoni mwa 2000s
 
Sasa mdude kafanya nini nae zaidi ya politik za majukwaani na social media. Bure kabisa kama yardstick yako ni siasa za uanaharakati, hizo zilishafanyika wayback wakati wa uhuru na ukombozi wa kusini mwa afrika. rubbish bin garbage.
 
Nimbabatize mtoto wa miaka 9,hawa hawa watoto wetu au.
 
Nimesoma andiko lako nilijua utaleta hoja za maana kumjibu Kiranga , ila nimegundua wewe ni debe tupu , ni mwanaharakati uchwara , na siasa za kipinzani

Mabalozi hao old school walikuwa mabalozi kweli na wazalendo kweli na sio wanaharakati kama Mdude Nyagali

Nyie Generation M , mna matatizo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…