Pre GE2025 Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu atapewa 'Uteuzi' kama zawadi.

Ila Chadema lazima mjipange maana mshindani wenu ana rasilimali za kutosha za kuwavuruga na kuwabomoa.
 
Unaweza na Pesa ya SUKARI wewe?
Ndugu acha kushupaza Shingo ukaanza kumsingizia Polepole! Sema tu ukweli Pesa za mama ABDUL msigwa kafika Bei!

CCM ya leo inanuka RUSHWA TUPU kipi Kimempeleka Msigwa CCM!

Tuelewe kwamba, SIASA za KIAFRIKA ni utapeli kama utapeli mwingine kwa kisingizio cha demokrasia.

SIASA NA DEMOKRASIA AFRIKA NI UHUNI NA UTAPELI, HII NDIYO SABABU KUBWA WANANCHI WENGI WANABAKI KUWA MASKINI NA WANASIASA NA DEMOKRASIA YAO YA KITAPELI WAKIPONDA RAHA KWA KODI ZA MASKINI.
 
Si chadema wala ccm , wananchi wapo wenyewe wanatakiwa kulitambua hilo😁😁😁
 
Divide and rule as usual.
 
Mkuu, nilikuwa namuunga Msigwa mkono hadi hii leo. Hapa naunga mkono yeye kuukosa ule uwenyekiti dhidi ya Sugu, kukosa nafasi ya uongozi sio sababu ya kukihama chama.
Ameniacha na tafakuri, lakini zaidi ni mtu asiyefaa.
Siamini kwenye kuunga mkono mtu au chama cha siasa ,naamini kwenye nguvu ya umma kwenye maamuzi ya kusimamia haki zao .
 
Mpina ruksa sasa kwenda Chadema
Feel free ni haki yako kidemokrasia kuhamia huko nenda tu mwana kwenda
 
Katika hili nawapongeza sana Chadema, huyu alikuwa pandikizi. Haiwezekani iwe kahamia ghafla.

Lakini, kwanini washikane mikono kama maharusi? Nimecheka sana.
'Unsettled'. Huyu alikuwa siku zote haeleweki yupo wapi hasa. Rekodi yake inajulikana toka zamani, pamoja na mazingaombwe ya hapa na pale, kama yale ya wakati wa Magufuli.

Kaacha mtikisiko CHADEMA?
Hofu yangu ni kwa Mwenyekiti tu basi. Vinginevyo, sioni CCM inavyoweza ku'survive', kwa kumvuta Msigwa.
 
Ccm Wamelamba galasa
Hongera cdm kwa kubaini wasaliti na kuwanyima nafasi za uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…