Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Ndo maana wamepata dhamana, chenyewe kimekosa.Hao wenzie wana matter core balaa wanashawishi kushenyenta
Ndo maana wamepata dhamana, chenyewe kimekosa.Hao wenzie wana matter core balaa wanashawishi kushenyenta
Kweli mkuu hata ningekua mm ningeitoa nikaleNdo maana wamepata dhamana, chenyewe kimekosa.
Kosa lipo kwa wazazi pia kwa kutowashilikish watot wao katika kujua n namna gan ela ya adda zao zinavyopqtikanWapumbavu wakubwa hawa laiti kama wangekuwa wanatuona wazazi tunavyotesekq
😂😂😂😂😂Kumbe Mwijaku nae ana madem😂😂😂
Mahabusu ya kike ni ngumu kuliko ya Me kwasababu atakaowakuta kule ni malaya vyangudoa wavuta bhangi.Mmoja kati ya wanafunzi watatu kutoka vyuo vikuu tofauti tofauti jijini Dar es Salaam, waliodaiwa kumshambulia mwenzao wakimgombania msanii na mtangazaji wa vipindi vya redio, Burton Mwemba maarufu kama Mwijaku, ameswekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana katika kesi ya jinai inayomkabili na wenzake hao.
Mwanafunzi huyo Mary Gervas Matogolo (22), mwanafunzi wa
Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) na wenzake wawili wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, leo Mei 30, 2025.
Katika kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Gwantwa Mwankuga, wanakabiliwa na jumla ya mashtaka manane ya kusababisha madhara kim-wili, kutishia kuua, kutoa taarifa za uongo mitandaoni na uharibifu wa mali.
Mbali na Mary wanafunzi wengine waliopandishwa kizimbani mahakamani hapo kwa tuhuma hizo ni Ryner Ponci Mkwawili wa
Chuo Kikuu cha Ardhi Dar es Salaam na Asha Suleiman Juma, wanafunzi wa Chuo cha Uhasibu, Dar es Salaam (TIA) wanakabiliwa na mashitaka manane.
Hakimu Gwantwa, alitaja masharti ya dhamana, kuwa kila mshitakiwa anatakiwa kuwa na wadhamini wawili, wenye barua za utambulisho, vitambulisho vya Taifa, watakaotia watakaosaini Bondi ya dhamana ya Sh5 milioni kila mdhamini.
Washtakiwa Ryner na Asha wametimiza masharti hayo na kuachiliwa huru kwa dhamana lakini Mary ameshindwa kutimiza
masharti hayo ya dhamana.
Hivyo Hakimu Mwankuga ameamuru apelekewe mahabusu gerezani mpaka Juni 13, 2025, kesi hiyo itakapotajwa tena
View attachment 3351673
We muongo,Jokate alikuwa na ana picha nyingi tu za uchi mitandaoni na bado akaukwaa uDC na vyeo vingne vikafuata
Peas za kupewa na make atatoa wapi uthubutu.Mkumbo mbaya sana vyuoni, ona sasa utakutana na waliopinda huko wakufundishe mengi mengine. Ila kwanini Mwijaku asimtolee dhamana bwana.
Ila vimwanamke vyembamba vina roho za ajabu sana 😂😂😂😂
Papa mwenye mifupa bro?? Aaah hapana, raha ya nyama ni nyama 😁lakini bro vina papa aliyenona balaah!
Mbona tunasikia yeye ndio mwenye hela?Huwa wanafundishwa kuwa ngunguri palipo na neema. Pale hela za fala mwijaku zinaliwa vizuri tu na anawekeza kwao huko😁 siku ndugu yenu nguvu za kupiga kelele zikiisha mtaskia mlio.
Haka ndio kaliuliza "Lini ulifaki na Mwijaku"?
Papa mwenye mifupa bro?? Aaah hapana, raha ya nyama ni nyama 😁
hakana maajabu ya kukalipia milion tano, unaweza jitia kiherehere ukakuta matundu yote yako wazi
Hamna bana hapo raha usikie pwaa pwaaa pwaa ila hako ni taaa taaa kama screenshot 😂😂😂😂Bro kanafaa kwenye baadhi ya minjunjo tu, kama ile mtaka cha uvunguni...