The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Kwa mawazo ya wengi sio mimiUnasomesha mtoto ili baadae aje kuwa msaada kwako?? Karne hii???
Kwa mawazo ya wengi sio mimiUnasomesha mtoto ili baadae aje kuwa msaada kwako?? Karne hii???
Hiyo si kesi kabisa, kama ilivuja video ya menina, kibaya zaidi menina akiishi kwao, ndio itakuwa hii watu wanapigana mbali hukoKesi anayo kwa mkewe. Ni kosa kuzini na wanafunzi wa chuo ukiwa na mke.
Tatizo huwezi jua hukumu ya kesi ya menina ilikuwa nini, huenda faini aliyolipa kwa menina ikawa mara 2 ya yamwanachuo.Hiyo si kesi kabisa, kama ilivuja video ya menina, kibaya zaidi menina akiishi kwao, ndio itakuwa hii watu wanapigana mbali huko
Tz?Ila kimaadili ni kosa.Kama akitaka kuwa Kiongozi itamgharimu.
Bro sa mbona ka mtu kenyewe kapo kama mrija.....Unaweza ukamuwekea dhamana halafu ukakafungia ndani kaanze kulipa dhamana taratibu...
View attachment 3351585
Dah 😅Mzazi alijua ameuza ng’ombe kusomesha mtoto kumbe kasomesha ng’ombe mwingine
Pengine katoka familia hohehahe hiyo m 5 hawajawahi hata kuiota. Kafika chuo kafata mkumbo sasa wenzake wako nje yeye dunia inamfunzaHuyo ndugu /wazazi wamemsusa tu kwa aibu aliyowatia wameona aone upande wa pili wa dunia ukoje kwanza kisha ndio atoke ili siku nyingine awe mwalimu mzuri kwa wenzie
Nafahamu sanaKwa wazazi inaumiza.
Kwa hiyo ukiwa na mke na ukazini na mwanamke asiye mwanachuo sio kosa?Kesi anayo kwa mkewe. Ni kosa kuzini na wanafunzi wa chuo ukiwa na mke.
Kwa hiyo ukiwa na mke na ukazini na mwanamke asiye mwanachuo sio kosa?
OkNimemjibu aliyesema siyo kosa kutembea na mwanachuo.
Bro sa mbona ka mtu kenyewe kapo kama mrija.....
Unanyonya au sio 😂😂😂Kanafaa kwa matumizi ya mrija...
Hawakupigania mume wa mtu, walikuwa wanapigania sponsor.Hakuna sheria ya kuvuta hayo ma mitandio yao wabaki na sura empty??
Pumbavu zao kabisa...unampigaje mwenzio vile kisa mume wa mtu