Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Malezi bora ya wazazi kumpa mtoto si kigezo pekee cha kukiamini asilimia zote kwamba yatamfanya awe muadilifu na muaminifu.Kuna watu/watoto wanazaliwa na asili ya ukichaa na utukutu tu.wazazi tujitahidi malezi yawe bora kwa mtoto alielelewa vyema hawezi fanya mambo waliyofnya hao..... wao walifanya kwa mengi ikiwemo kutaka kuwa kwenye vichwa vya habari mitandaoni lakini kuna mambo sio mazuri hata likikukuta ukawa kwenye vichwa vya habari bado ni aibu..... mitandao inatuponza sana na kutowafundisha matumizi sahihi ya mitandao changamoto ndipo inapoanzia