Aliyemshambulia mwenzie kisa Mwijaku akosa dhamana, atupwa mahabusu

Aliyemshambulia mwenzie kisa Mwijaku akosa dhamana, atupwa mahabusu

Wale wanaoanza uhuni chuoni ndio huwa wahanga wa huu upuuzi.

Si ajabu hata mkopo hana, mzazi anajipinda halafu toto linagombea mwanaume na kujirekodi.
 
Elewa;Inatakiwa barua ya utambulisho wa kutoka serikalini na kitambulisho cha NIDA tu halafu unasaini karatasi ya dhamana.Siyo unapeleka hela wewe mnyambo!
Ndo maana nakwambia hujielewi
Moja ya kigezo cha dhamana ni bondi ya million 5
Yaani laZima uwe na million 5 benki upeleke uthibitisho
 
Ndio hulka ya binadamu yoyote kukosea. Awe maskini au tajiri.

Tena wengine wanafanya ya ovyo mno gizani kuliko hawa.

Ni bahati mbaya yao tu hawa maovu yao yameonekana wazi.
 
Wakiwa vyuoni wanajiona wote wa watoto wa kitajiri
Ona hilo limbukeni kwao masikini, wenzake wenye ushua usio wa kuigiza wamepata dhamana lenyewe linaenda kunyea ndoo
Yaani mabinti wadogo wakagombanie jitu zee kama Mwijaku waache kusoma.
Mkuu wengine hawana ndugu Dar na rafiki ni ngumu kukuwekea dhamana ata kama mlikua mnaishi na kusoma pamoja, Wenzake itakua labda ni wenyeji wa dar wana ndugu na jamaa, .mfano wewe Wazazi wanaishi Dar na baadhi ya ndugu wapo Dar na wewe umeenda Kusoma Mwanza na kwa Bahati mbaya ukapata kesi na wanahitajika wadhamini, unafikiri utapata wadhamini.
 
Huyo ndugu /wazazi wamemsusa tu kwa aibu aliyowatia wameona aone upande wa pili wa dunia ukoje kwanza kisha ndio atoke ili siku nyingine awe mwalimu mzuri kwa wenzie
Mkuu itakua ata Wazazi hawajui kakausha tu kutengemea marafiki watamsaidia.
 
Yani Mwijaku aende kumdhamini tena ili jamii iendelee kumsema, Sasa hivi Mwijaku mwenyewe anaishi kwa hofu anahisi anaweza kuunganishwa.
Yule jamaa huwa ni jingajinga sana.Anafanya utoto kuliko watoto wenye utoto wao.
 
Ningekuwa kaka yake ningemuacha dunia imfunze kwanza. Labda kumuokoa ni dakika za Mukwala
 
Mwanaume siyo mumeo, ni mume wa mtu unaenda kufanya ukatili wa aina ile. Hapo bado binti yuko chuo hata ingekuwa mimi nisingemtolea dhamana. Yaani haka wakaache mpaka hukumu ipite, ajue kila kitu kina wakati wake. Wakati wa kusoma na siyo kufanya umalaya uliopitiliza.

Mwenzake Mwijaku, ndoa inaendelea, mishe zake kama kawaida. Kimwanachuo kimekosa yote, masomo na bwana, yuko mahabusu akijutia. Watoto wa kike mjifunze ukichuma janga utalila mwenyewe.
 
Elewa;Inatakiwa barua ya utambulisho wa kutoka serikalini na kitambulisho cha NIDA tu halafu unasaini karatasi ya dhamana.Siyo unapeleka hela wewe mnyambo!
Sasa kweli amekosa Wanafunzi wenzake kwenda kumdhani kweli au angetoa pesa tu mbona Mahakamani nje kuna watu wapo tayari kudhami mtu lakini unawapa pesa, ni kuongea na kalani tu unaletewa mdhamini. Tena awamu hii ya kula kwa urefu wa kamba, Huyu Dada angesema Wadhamini anao tu kisha anaongea na kalani tu. Sasa yeye alisema hana wadhamini Makalani wanakuona mjinga hujui kujiongeza.
 
Nadhani tunadhani.Hatujui kilichojiri labda tumuulize "kalani".
 
wazazi tujitahidi malezi yawe bora kwa mtoto alielelewa vyema hawezi fanya mambo waliyofnya hao..... wao walifanya kwa mengi ikiwemo kutaka kuwa kwenye vichwa vya habari mitandaoni lakini kuna mambo sio mazuri hata likikukuta ukawa kwenye vichwa vya habari bado ni aibu..... mitandao inatuponza sana na kutowafundisha matumizi sahihi ya mitandao changamoto ndipo inapoanzia
 
Back
Top Bottom