Aliyemshambulia mwenzie kisa Mwijaku akosa dhamana, atupwa mahabusu

Kosa
Wapumbavu wakubwa hawa laiti kama wangekuwa wanatuona wazazi tunavyotesekq
Kosa lipo kwa wazazi pia kwa kutowashilikish watot wao katika kujua n namna gan ela ya adda zao zinavyopqtikan
Naamin ingewez kump uchungu wa kushik kilichompeleke hap mjini chuoni
 
Angekuwa ni dada yangu nisingeangaika ata kwenda Mahakamani
 
Ila hawa mabinti wakikomaa vizuri hii kesi wanatoboa. Kuna kitu kimekaa kushoto kwenye hii kesi.
 
Ila dents wa chuo baadhi ni vizibo, badala ya kukaa bize kusoma, wao kugombania mabwana, na wanaishia kusota rumande. Lol

Poleee kwao.
 
Mahabusu ya kike ni ngumu kuliko ya Me kwasababu atakaowakuta kule ni malaya vyangudoa wavuta bhangi.
Huyu binti maisha kesha yaharibu, akitoka jela chuo hakitamtambua tena, na ile prison mentality atakayotoka nayo lazima atakua changudoa
 
Mkumbo mbaya sana vyuoni, ona sasa utakutana na waliopinda huko wakufundishe mengi mengine. Ila kwanini Mwijaku asimtolee dhamana bwana.
Peas za kupewa na make atatoa wapi uthubutu.
 
Huwa wanafundishwa kuwa ngunguri palipo na neema. Pale hela za fala mwijaku zinaliwa vizuri tu na anawekeza kwao huko😁 siku ndugu yenu nguvu za kupiga kelele zikiisha mtaskia mlio.
Mbona tunasikia yeye ndio mwenye hela?
Jaku analelewa na ndie alimponza hadi akafukuzwa shirika la UN!!!
Now mama anapiga mzigo kwingine na kukunja mkwanja mrefu japo sio mnene kama wa UN
 
Bro kanafaa kwenye baadhi ya minjunjo tu, kama ile mtaka cha uvunguni...
Hamna bana hapo raha usikie pwaa pwaaa pwaa ila hako ni taaa taaa kama screenshot πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…