Aliyemshauri Mbowe agombee alidhamiria kumdhalilisha na kukiua Chama


Wewe unayefuatilia hapa ndio uangalie usijekuwa toilet paper
 

Mimi sijakataa.
Nafikiri kuna pointi yangu IPO mbele Sana hujaifikia ili kuiona.

Pointi ya HAKI yake ya kugombea IPO nyuma Sana, tumeshaipita
 
Huwa hawasomi kuelewa maandiko ya historia yanayotoa mafundisha

Huo mfano wa mfalme sauli na daudi ni muafaka kabisa

Mwamba asali ya mama Abdul imemtia upofu
 
nadhani dhamira ovu ya Tundu Lisu nchini, ni wazi kuisambaratisha chadema, na kuua upinzani kabisa nchini kwa manufaa ya mabwenyenye ya magharibi yanayombackup ili kujipenyeza kirahisi na kuvuruga amani, umoja na mshikamano wa waTanzania.

Tundu Lisu analenga Kufanya Tanzania kua kama DRC kwa maslahi binafsi na hayo mabwenyenye ya Magharibi yanayombackup. Ameona Taifa likigawanyika atapata fursa ya kujinufaisha kibinafsi,

Hata hivyo,
ameshabainika na kwakweli amechelewa sana na, kama taifa tumedhibiti vizuri nia yake hiyo ovu, na kwakweli hakuna kitu atafanya ndani ya chadema au nje ya chadema 🐒
 
Nakala iwafikie Retired Fundi Mchundo Yericko Nyerere Quinine
 
Laiti mimi ningekuwa mbowe,siku ambayo lissu anatangaza kugombea uenyekiti wa chama,ningemuunga mkono kuanzia siku hiyo wala nisingekuwa na mawazo ya kushindana naye kugombea tena uenyekiti....akili ni nywele jamani
 
Laiti mimi ningekuwa mbowe,siku ambayo lissu anatangaza kugombea uenyekiti wa chama,ningemuunga mkono kuanzia siku hiyo wala nisingekuwa na mawazo ya kushindana naye kugombea tena uenyekiti....akili ni nywele jamani
Shida si Mbowe na hajachelewa, hata leo kama yuko huru anaweza kutangaza kutogombea lakini shida ni wapambe, wapambe maslahi ambao bila Mbowe hawajui waende wapi.
 
Nani alimshauri lakini?
Hawa chawa wake akina Yericko Nyerere, Ntobi,Boniyai na wengineo ambao wala siyo wana mageuzi bali kuna personal gain wanapata kwa Mbowe kuwa Mwenyekiti. Ila hata yeye mwenyewe ana tatizo la prestige ya kuwa mwenyekiti other wise itakuwa ujinga mzee mzima kuyumbishwa na chawa.
 
Shida si Mbowe na hajachelewa, hata leo kama yuko huru anaweza kutangaza kutogombea lakini shida ni wapambe, wapambe maslahi ambao bila Mbowe hawajui waende wapi.
Machawa ni watu fulani hivi kama hujiongezi wanaweza kukuingiza chaka,ukishafeli wanapotea
 
Subiri tarehe 21 Januari ndipo tutaona atkayedharirika ni nani Mbowe au Lissu.

Chama cha siasa kupanda na kushuka ni kawaida hakuna umilele katika siasa.

Iko wapi MCP ya Malawi, UNIP ya Zambia, KANU ya Kenya? Vyote vilikuwa vyama tawala. Kuna wakati chama cha Erdoğan wa Uturuki hakikupata hata kiti kimoja katika uchaguzi lakini uchaguzi uliofuata kikashinda na mpaka leo kimekaa madarakani miongo miwili.

Mbowe hata hao wanaharakati wanaopokezana mitandaoni X, jf na kwingineko wanamshambulia kwa zamu wanajisumbua. Mimi sio msemaji wake ila Mbowe hatajitoa na kura zitapigwa, , atashinda kwa kishindo; Lissu atafukuzwa au akiwa smart atawahi kujiondoa na ndio itakuwa mwisho wake kisiasa,.

Hakuna chama hata hicho ACT kitakachokubali kumpokea Lissu na kumpa uongozi kwa haya aliyoyaonyesha kwa CHADEMA, salama yake aanzishe chama chake ili awe na conduit ya kula hela za vyama vya mashoga lakini kisiasa Lissu atafikia tamati kabla ya Mbowe.

Baada ya uchaguzi huu Mbowe atamuandaa mtu smart wa kumuachia uenyekiti uchaguzi wa 2029.
 
Mbowe amekuwa wa kuungwa mkono na vidampa wa Lumumba kama Lucas Mbwa Wa Shamba?

Ni maajabu makubwa.
 

Wakati huo chama kitakuwa kama TLP hata akimuuandaa itasaidia nini?
 
Wanamuona sio tishio kwao.
Hivyo lazima waungane naye dhidi ya wanayemuona Tishio
Mkuu , ukweli usemwe nimepoteza imani na Mbowe nilipoona hadi makada wa CCM kama nina Kigwangala wanadeclare interest juu yake.

Ukiona adui yako anakusifia ni wakati wa kurudi nyuma na kutafakari lazima kuna mahali umepotea.

That is a very big red flag.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…