Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #41
Ni rafikiye mama Abdul, aliwahi kumpa hela azipeleke kanisani kule machame
Aiseeh! Kwa hiyo pesa ndio imeuza ukubwa wake kama Esau kwa Yakobo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni rafikiye mama Abdul, aliwahi kumpa hela azipeleke kanisani kule machame
Samahani,inaonekana upo kwa kazi maalumu! Kwani kuanzia hapa chini si mchezo! Angalia usiwe Condom!
Watanzania wengi wanaamini CHADEMA ni chama cha Wachagga ndio maana wanamuunga Lisu kuondoa mzizi wa fitna
Swali ni kuwa atatoboa? Maana Ngoma bado haieleweki. Baada ya Mbowe kutangaza kutetea Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe! Pwww.jamiiforums.com
Wasomi wengi na wanaopenda elimu wanamuunga Tundu Lisu kugombea uenyekiti. Upande Ule wengi wao Elimu Yao ni tiamaji tiamaji.
Habari Wakuu! Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti. Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...www.jamiiforums.com
Pre GE2025 - Ni dhahiri Lissu akishindwa Uenyekiti hawezi kubaki CHADEMA. Akibaki naye atakuwa Walewale tu
Akishindwa akaondoka, kwisha habari. CHADEMA ndio inakuwa imepotezawww.jamiiforums.com
Pre GE2025 - Tatizo la Lissu ni tishio kwa wenye mirija. Hawataki ikatwe. Na ukweli ni kwamba akishinda itakatwa. Undugu na kujuana mwisho!
Hawatakubali Najua wanadandia lile mbeleko la waenguziwww.jamiiforums.com
Kwenye Boksi la Kura, aliyemuweza Lissu ni Magufuli na hawa ndio walikuwa kwenye Mzani Sawa
JPM matokeo ya 2015 yalishampa hofu. Nina imani alishindwa na lowassa ile 2015. Lakini baada ya kazi nzuri ule uchaguzi wa 2020 ulikuwa mwepesi sana kwake, asingebinya wapinzani angeacha uchaguzi uwe wa hakiwww.jamiiforums.com
Pre GE2025 - Lissu usijitoe kwenye kinyang'anyiro, mshindani wako hofu anayo. Jitokeze na panga timu yako kuwapa hari wajumbe wanaokuunga mkono
Sayansi ya siasa ndo inaendelea kufanya kazi wabangaizaji wezangu , Note Uchaguzi ukiisha tunarudi kundini ,hakuna cha kuama chama hapa ,humu hum mpaka kielewekewww.jamiiforums.com
Mwisho wa siku wewe bado mchanga kwenye:
propaganda
habari zilizotiwa chumvi sana au za uongo zitolewazo kwa lengo la kushawishi watu kuamini au kukubali jambo fulani
So long as katiba inampa haki ya kugombea tena, hakuna A wala B inaongezeka. Nyie ndio mnakuja kusema "katiba ni kakijitabu tu", stick to the rules, sio hisia. Wanachama wa CDM wanachotakiwa kufanya ni kuweka katiba ambayo ina ukomo wa uongozi na madaraka, haya mengine ni kutaka kutupia lawama zisizo na msingi wowote kikakuni.
Huwa hawasomi kuelewa maandiko ya historia yanayotoa mafundishaKwema Kabisa!
Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea.
Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu.
Lakini kuna kundi jingine ambalo likamshauri vibaya agombee ili adhalilishwe, heshima yake kushuka, na chama kumfia Mikononi.
Embu fikiria Miaka zaidi ya 30 Mbowe amepigana kufa na kupona kujenga jina na heshima ya brand yake.
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Nkurunzinza,
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Ayatollah, kweli?
Haya Leo hii Yule Mbowe mwenye jina Kubwa anakuwa kama underground, au underdog kumkabili Lisu mtu aliyemlea Mwenyewe kisiasa? KWELI!
Leo hii Mbowe ni wakushindwa ushawishi kwenye jamii kwa zaidi ya asilimia 80% kila polls zikiitishwa. KWELI?
Heshima iliyojengwa kwa miaka nenda Rudi Leo inavurugika na kupotea kwa Siku chache tuu. Kisa uchaguzi?
Leo hii Mbowe ni wakukataliwa na Robo tatu ya Jamii Forum ambao ni mtandao wa ndani katika nchi yetu. Mtandao unaojitambulisha kama home of Great thinker. KWELI?
Nini kina thamani zaidi ya Heshima? Kitu gani hicho.
Kama ni pesa tayari Mbowe anazo. Nani alimshauri aiweke rehani Heshima yake.
Nani huyo aliyemshauri Mbowe ashindane na Wakati?
Tangu lini mtu akashindana na wakati akashinda zaidi ya kudhalilika na heshima yake kudondoka?
Mfalme Sauli naye heshima yake ilianguka, kwa kushindwa kutambua matumizi ya wakati.
Akawa anapambana na Daudi, kijana mdogo.
Heshima yake yote ikadondoka. Hata Yale mazuri yote aliyoyafanya Sauli Akiwa mfalme yakafutika.
Nawatakia siku njema
Huwa hawasomi kuelewa maandiko ya historia yanayotoa mafundisha
Huo mfano wa mfalme sauli na daudi ni muafaka kabisa
Mwamba asali ya mama Abdul imemtia upofu
Wanaharakati wa Tanzania ni maadui wa kwanza wa maendekeo hapa nchini.Mkuu Mbowe hajavunja Sheria za kikatiba.
Ila kavunja Sheria za wakati ndio maana unaona yanayoendelea.
nadhani dhamira ovu ya Tundu Lisu nchini, ni wazi kuisambaratisha chadema, na kuua upinzani kabisa nchini kwa manufaa ya mabwenyenye ya magharibi yanayombackup ili kujipenyeza kirahisi na kuvuruga amani, umoja na mshikamano wa waTanzania.Kwema Kabisa!
Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea.
Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu.
Lakini kuna kundi jingine ambalo likamshauri vibaya agombee ili adhalilishwe, heshima yake kushuka, na chama kumfia Mikononi.
Embu fikiria Miaka zaidi ya 30 Mbowe amepigana kufa na kupona kujenga jina na heshima ya brand yake.
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Nkurunzinza,
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Ayatollah, kweli?
Haya Leo hii Yule Mbowe mwenye jina Kubwa anakuwa kama underground, au underdog kumkabili Lisu mtu aliyemlea Mwenyewe kisiasa? KWELI!
Leo hii Mbowe ni wakushindwa ushawishi kwenye jamii kwa zaidi ya asilimia 80% kila polls zikiitishwa. KWELI?
Heshima iliyojengwa kwa miaka nenda Rudi Leo inavurugika na kupotea kwa Siku chache tuu. Kisa uchaguzi?
Leo hii Mbowe ni wakukataliwa na Robo tatu ya Jamii Forum ambao ni mtandao wa ndani katika nchi yetu. Mtandao unaojitambulisha kama home of Great thinker. KWELI?
Nini kina thamani zaidi ya Heshima? Kitu gani hicho.
Kama ni pesa tayari Mbowe anazo. Nani alimshauri aiweke rehani Heshima yake.
Nani huyo aliyemshauri Mbowe ashindane na Wakati?
Tangu lini mtu akashindana na wakati akashinda zaidi ya kudhalilika na heshima yake kudondoka?
Mfalme Sauli naye heshima yake ilianguka, kwa kushindwa kutambua matumizi ya wakati.
Akawa anapambana na Daudi, kijana mdogo.
Heshima yake yote ikadondoka. Hata Yale mazuri yote aliyoyafanya Sauli Akiwa mfalme yakafutika.
Nawatakia siku njema
Nakala iwafikie Retired Fundi Mchundo Yericko Nyerere QuinineKwema Kabisa!

Shida si Mbowe na hajachelewa, hata leo kama yuko huru anaweza kutangaza kutogombea lakini shida ni wapambe, wapambe maslahi ambao bila Mbowe hawajui waende wapi.Laiti mimi ningekuwa mbowe,siku ambayo lissu anatangaza kugombea uenyekiti wa chama,ningemuunga mkono kuanzia siku hiyo wala nisingekuwa na mawazo ya kushindana naye kugombea tena uenyekiti....akili ni nywele jamani
Hawa chawa wake akina Yericko Nyerere, Ntobi,Boniyai na wengineo ambao wala siyo wana mageuzi bali kuna personal gain wanapata kwa Mbowe kuwa Mwenyekiti. Ila hata yeye mwenyewe ana tatizo la prestige ya kuwa mwenyekiti other wise itakuwa ujinga mzee mzima kuyumbishwa na chawa.Nani alimshauri lakini?
Machawa ni watu fulani hivi kama hujiongezi wanaweza kukuingiza chaka,ukishafeli wanapoteaShida si Mbowe na hajachelewa, hata leo kama yuko huru anaweza kutangaza kutogombea lakini shida ni wapambe, wapambe maslahi ambao bila Mbowe hawajui waende wapi.
Subiri tarehe 21 Januari ndipo tutaona atkayedharirika ni nani Mbowe au Lissu.Kwema Kabisa!
Mbowe itampasa amkumbuke aliyemshauri aendelee kugombea.
Familia yake ilimshauri apumzike, kwa mujibu wa maelezo yake. Ni kwa sababu inampenda na kutaka heshima yake idumu.
Lakini kuna kundi jingine ambalo likamshauri vibaya agombee ili adhalilishwe, heshima yake kushuka, na chama kumfia Mikononi.
Embu fikiria Miaka zaidi ya 30 Mbowe amepigana kufa na kupona kujenga jina na heshima ya brand yake.
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Nkurunzinza,
Leo hii Mbowe ni wakuitwa Ayatollah, kweli?
Haya Leo hii Yule Mbowe mwenye jina Kubwa anakuwa kama underground, au underdog kumkabili Lisu mtu aliyemlea Mwenyewe kisiasa? KWELI!
Leo hii Mbowe ni wakushindwa ushawishi kwenye jamii kwa zaidi ya asilimia 80% kila polls zikiitishwa. KWELI?
Heshima iliyojengwa kwa miaka nenda Rudi Leo inavurugika na kupotea kwa Siku chache tuu. Kisa uchaguzi?
Leo hii Mbowe ni wakukataliwa na Robo tatu ya Jamii Forum ambao ni mtandao wa ndani katika nchi yetu. Mtandao unaojitambulisha kama home of Great thinker. KWELI?
Nini kina thamani zaidi ya Heshima? Kitu gani hicho.
Kama ni pesa tayari Mbowe anazo. Nani alimshauri aiweke rehani Heshima yake.
Nani huyo aliyemshauri Mbowe ashindane na Wakati?
Tangu lini mtu akashindana na wakati akashinda zaidi ya kudhalilika na heshima yake kudondoka?
Mfalme Sauli naye heshima yake ilianguka, kwa kushindwa kutambua matumizi ya wakati.
Akawa anapambana na Daudi, kijana mdogo.
Heshima yake yote ikadondoka. Hata Yale mazuri yote aliyoyafanya Sauli Akiwa mfalme yakafutika.
Nawatakia siku njema
Laiti mimi ningekuwa mbowe,siku ambayo lissu anatangaza kugombea uenyekiti wa chama,ningemuunga mkono kuanzia siku hiyo wala nisingekuwa na mawazo ya kushindana naye kugombea tena uenyekiti....akili ni nywele jamani
Subiri tarehe 21 Januari ndipo tutaona atkayedharirika ni nani Mbowe au Lissu.
Chama cha siasa kupanda na kushuka ni kawaida hakuna umilele katika siasa.
Iko wapi MCP ya Malawi, UNIO ya Zambia, KANU ya Kenya? Vyote vilikuwa vyama tawala. Kuna wakati chama cha Erdoğan wa Uturuki hakikupata hata kiti kimoja katika uchaguzi lakini uchaguzi uljofuata kikashinda na mpaka leo kimekaa madarakani miongo miwili.
Mbowe hata hao wanaharakati wanaopokezana mitandaoni X, jf na kwingineko wanamshambulia kwa zamu wanajisumbua. Mimi sio msemaji wake ila Mbowe hatajitoa na kura zitapigwa, , atashinda kwa kishindo; Lissu atafukuzwa au akiwa smart atawahi kujiondoa na ndio itakuwa mwisho wake kisiasa,.
Hakuna chama hata hicho ACT kitakachokubali kumpokea Lissu na kumpa uongozi kwa haya aliyoyaonyesha kwa CHADEMA, salama yake aanzishe chama chake ili awe na conduit ya kula hela za vyama vya mashoga lakini kisiasa Lissu atafikia tamati kabla ya Mbowe.
Baada ya uchaguzi huu Mbowe atamuandaa mtu smart wa kumuachia uenyekiti uchaguzi wa 2029.
Mbowe amekuwa wa kuungwa mkono na vidampa wa Lumumba kama Lucas Mbwa Wa Shamba?
Ni maajabu makubwa.
Tamaa na heshima havichangamani.
Mkuu , ukweli usemwe nimepoteza imani na Mbowe nilipoona hadi makada wa CCM kama nina Kigwangala wanadeclare interest juu yake.Wanamuona sio tishio kwao.
Hivyo lazima waungane naye dhidi ya wanayemuona Tishio