Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Daah nimecheka sana mkuu umejua kunifurahishaGen Z wa Bongo bado yupo shule saa hii, anafundishwa Contemporary Cross-Cutting Issues, Life Skills, The rise of Capitalism in Europe na Rise of Democracy in Europe!
Ondoa wasiwasi mkuu!
Kimetungwa na nani hicho kitabu?Undani wa taarifa hizi utazipata kwenye kitabu cha 'HAWATOSAHAULIKA' kitakachokuja siku chache zijazo
Wewe nchi mpaka mfagizi ana bunduki, Republicans wakiambiwa wa control bunduki hawataki.Nani kampiga risasi Trump?
Tabia ya kuua kwa risasi viongozi wao imekuwa ni ya mazoez na kawaida kwa Wamarekani. Hii ndio sababu Marekani linatajwa kuwa ndio taifa pekee ambalo sehemu kubwa ya bajeti yake hutumika kwenye masuala ya kiusalama
Inaelezwa asilimia 65% ya bajeti hutumika kwenye sekta ya usalama kwa maana ya kuilinda nchi dhidi ya maadui,kulinda raia na pia kulinda viongozi wao.
Kwa mujibu wa mtandao wa Wikipedia kati ya marais 46 walioongoza Marekani,marais 4 waliondoka madarakani kwa kuuawa.
Hii ni uzembe wa idara ya usalama Marekani kushindwa kulinda viongozi na kuruhusu silaha za moto kuwa mikononi mwa rais? au ni umahiri wa raia watukutu wa Marekani!?
Wauaji wa hao marais 4 wote walipatikana na wao waliuawa,lakini tangu kutokea tukio la jaribio la kuuawa kwa Trump mamlaka za kiusalama zimemtaja kijana wa miaka 20 aitwae Thomas Mathew Crooks kama muhusika wa tukio hilo la Kigaidi.
Orodha ya marais waliouawa ni hii:
1. Abraham Lincoln( rais wa 16 ),
2. James A. GARFIELD(Rais wa 20 )
3. William Mcknley( rais wa 25)
4. John F. KENNED( rais wa 35)
Mbali na hao, marais watatu walijeruhiwa katika jaribio la kuuawa kwao, Dolad Trump ameongeza idadi ya majeruhi kufikia wanne jana tarehe 13/07/2024.
Maswali ya kujiuliza ;
(1) je, bwana mdogo Thomas Mathew alitumwa kumjeruhi au kumuua Trump?
(2) je, Thomas alitumwa na nani kuyatenda aloyatenda?
(3) je Biden anahusika?
(4) je,tukio hilo litaathiri Kampeni na uchaguzi ujao Marekani!?
Kwa kujadili swali namba 1 hapo juu,ungana nami kuamini kwamba bila shaka yoyote Trump ni kiumbe mwenye bahati kuliko kiumbe mwingine yoyote duniani hapa!
Undani wa taarifa hizi utazipata kwenye kitabu cha 'HAWATOSAHAULIKA' kitakachokuja siku chache zijazo
Galacha wa Kalamu✍️
Kakaae shetani vipi tena😂
Hili tukio lingetokea bara Giza huku sijui ingekuwaje.Wewe nchi mpaka mfagizi ana bunduki, Republicans wakiambiwa wa control bunduki hawataki.
Halafu Trump akipigwa risasi unafikiri hapo kuna ulazima iwe order ya Biden?
Marekani kila siku kuna mass shooting.
Trump ni moja ya supporters wa gun rights.
Kwa nini Trump naye asipate share yake ya hizo shootings?
Una maana gani mkuu?Hili tukio lingetokea bara Giza huku sijui ingekuwaje.
Gen Z wa Tanzania wanachoweza kufanya ni kuchoma picha ya rais tu basi hakuna kingine wanachoweza!Unataka kusema nini haswa? Funguka ueleweke… kwamba hata sisi hapa Tanzania tuwakalie chino hawa Gen Z au ? Vio hizi wa focus na people centred development sio matumbo yao.
Mimi pia wananishangaza. Sasa cha kusifia ni nini? Kuna huu ushamba wa kusifia sifia upumbavu.Hivi nini hasa mnataka? mnataka fujo mitaani au? kila kitu kama wa Kenya mbona msilikuwa nao hao Genz Panya road si mlikuwa mnalia kila siku. Kufanya fujo ndio imekuwa sifa. Yes Tz ina Genz lakini wanajielewa hakuna sehemu ufanye fujo halafu uachwe salama. Kama unawapenda Genz Kenya hamia tu hakuna hata visa free, Tz ni nchi ya amani hatuna ujinga huo. Fanya kazi hasira za maisha zisikufanye ukose busara tu.
Ahaae THE WORKING CLASS MOVEMENT IN EUROPE, chartism,luddism,....🤣😅🤣😅Gen Z wa Bongo bado yupo shule saa hii, anafundishwa Contemporary Cross-Cutting Issues, Life Skills, The rise of Capitalism in Europe na Rise of Democracy in Europe!
Ondoa wasiwasi mkuu!
Tunamshukuru Allah kwa amani katika nchi yetu.Gen Z wa Tanzania wanachoweza kufanya ni kuchoma picha ya rais tu basi hakuna kingine wanachoweza!