NgerukeAbra
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 1,336
- 2,008
Huwa tunasoma mambo ambayo ni tofauti na maisha halisi.Gen Z wa Bongo bado yupo shule saa hii, anafundishwa Contemporary Cross-Cutting Issues, Life Skills, The rise of Capitalism in Europe na Rise of Democracy in Europe!
Ondoa wasiwasi mkuu!
Kwahiyo hicho ndicho kitu cha kujivunia kuwaweka Madarakani?!Kura zinaibwa duniani kote π
Siyo majivuno bali hata Ufalme wa mbinguni hutwaliwa na Wenye nguvu πππ₯Kwahiyo hicho ndicho kitu cha kujivunia kuwaweka Madarakani?!
Kujivunia Wizi wa Kura na Wizi wa Mali za Umma.Siyo majivuno bali hata Ufalme wa mbinguni hutwaliwa na Wenye nguvu πππ₯
Utopolo wa BongoππππKijana wa miaka 20 huko majuu huwezi kumfananisha na utopolo wa Bongo.
Hao wanajielewa sana sana
Watu wanashindwa kujifunza kwa yaliyotokea Sudan na Libya. Libya walitaka demokrasia.Mimi nakubaliana na wewe siungi mkono ufujaji wa pesa na kujikwaza lakini je tuna mbadala? kuondoka mmoja na kuleta mwingine hakuna maana ndio utafanikiwa. Hata CCM hawa hawa kuna awamu watu alifurahia kuliko zingine. Kitu pekee siungi mkono fujo hilo hapana lakini pia nchi za Africa yamefanyika sana mabadiliko wengine kupinduliwa ila kuna nchi yoyote imebadilika kiasi cha kusema yes..... Nchi za kiarabu zilipitia huko je ilileta tija? jibu NO
Nape ni mzee kabisa. ππππSi huwa tunaambiana kina Nape ni vijana?
Hao ni mafisadi wakubwa wa nchi ya Tz.Bora hapo kwenye kuanzia, kijana wa tz hana ukomo.....Nape, mbowe, makamba hawa wote ni vijana
Niliandika kabla ya huu uzi na kabla ya kujulikana huyu kijana kuwa huo ni mchezo wa kitoto, kuna watu watu wenye uelewa finyu wakanizozomokea.Tuzidi kumuomba Mungu wa Mbinguni aifanye Dunia kuwa Mahali salama
Hivi hawa Watoto wetu wamepatwa na nini jamani?
Mungu wa Mbinguni utuhurumie sisi
===
Soma Breaking News: - Marekani: Donald Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia mkutano wa hadhara
Umeambiwa Marais wanne wa marekani waliuawa kwa risasi ikiwa pamoja na rais Lincolin na Kennedy , je hao pia waliuawa na hamas?! Chuki dhidi ya waarabu na waislamu inawafanya mzungumze mambo ambayo hata mtoto mdogo anaweza gundua kwamba mnasukumwa na mihemko pasi na kutumia akili vizuri. Ugaidi hauna dini Wala Kabila Wala taifa maalumu. Mtu yeyote ambaye akili yake imevurugwa anaweza ua watu kwa visingizio ambavyo yeye anaona ni sababu za msingi.Sasa unadhani nani kama siyo Hamas? Marekani wamestarabika hawawezi kufanya hivyo hao ni magaidi wa Hamas.
Kupata MTU Rossi NDIYO kujielewa?Kijana wa miaka 20 huko majuu huwezi kumfananisha na utopolo wa Bongo.
Hao wanajielewa sana sana
Wakati rais wa 16 wa marekani anauawa hapakuwepo duniani kitu kinaitwa hamas Wala palestina. Tunazungumzia miaka ya 1800 kipindi ambacho nchi nyingi za kiarabu zilikuwa chini ya Othman empire na nyingine zikiwa makoloni ya waingereza . Kipindi hicho kabla ya vita ya Dunia kabla balaa kuu la umoja wa mataifa halijaundwa. Unaposema wamerekani hayo mambo ya kupigana risasi hawana hivyo trump kashambuliwa na hamas unaweza kufafanua hao Marais wengine wa America waliopigwa risasi waliuliwa na nani?!.Sasa unadhani nani kama siyo Hamas? Marekani wamestarabika hawawezi kufanya hivyo hao ni magaidi wa Hama
Una maanisha nini mkuu....Kijana wa miaka 20 huko majuu huwezi kumfananisha na utopolo wa Bongo.
Hao wanajielewa sana sana
Mama Samia wakati huo akiwa Bado ni makamu wa rais alisema : " Askari wetu akipiga risasi tatu akakosea anawajibika" mwisho wa kunukuu.Sahihi, ingekuwa ni wasiojulikana hawangekosea, wana PhD katika kulenga.
Mkuu,hii ya Tanzania kijana kuanzia na miaka ishirini na tano,imeanza lini ?ulaya kijana anaanzia miaka 15
marekani kijana anaanzia miaka 16
Tanzania kijana anaanzia miaka 25 ππππππ
CCM OYEEEEEE ππππ
Daaah inaonekana mgeni hili jukwaa au humfahamu vizuri Ritz usingejibu.Wakati rais wa 16 wa marekani anauawa hapakuwepo duniani kitu kinaitwa hamas Wala palestina. Tunazungumzia miaka ya 1800 kipindi ambacho nchi nyingi za kiarabu zilikuwa chini ya Othman empire na nyingine zikiwa makoloni ya waingereza . Kipindi hicho kabla ya vita ya Dunia kabla balaa kuu la umoja wa mataifa halijaundwa. Unaposema wamerekani hayo mambo ya kupigana risasi hawana hivyo trump kashambuliwa na hamas unaweza kufafanua hao Marais wengine wa America waliopigwa risasi waliuliwa na nani?!.