Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

This is fair, wanawake tumezidi kusemwa jamani wakati kaka zetu kina mdukuzi nao hawako nyuma 😂😂

Swali langu kila mtu anamtaka mwenye hela, sisi tusio na hela tuende wapi?
 
This is fair, wanawake tumezidi kusemwa jamani wakati kaka zetu kina mdukuzi nao hawako nyuma 😂😂

Swali langu kila mtu anamtaka mwenye hela, sisi tusio na hela tuende wapi?
Kila mtu anamtaka mwenye hela swala la kutizama uzuri tena hawatizami.Miaka ya nyuma mwanaume tunamtokea binti sababu mzuri wa sura,shape,rangi nk ,ila siku hizi vijana wanajiuliza ana fedha,anafanya kazi gani.Yaani wanaume nao wanajiuliza maswali ambayo walikuwa wanajiuliza wanawake miaka ya nyuma.

Ila kazi mnayo dada zangu na nyie siku hizi hampo nyuma kuhonga, kuna wanao jitolea mahali na kugharamia mpaka ndoa upande wao na wa kiumeni na kuna trend mpya ambayo inakuwa kwa kasi yaani mishangazi inatoa mizigo.
 
Dunia haimsubiri mtu, ngoja mashangazi tutafute pesa ili tuhonge. 😀

Sasa hii ya mdukuzi ya kuzaliwa na Rais ndio mpya, maRais wako wangapi hadi sote tupate sifa ya kutokea “kwao” ili watu wa feel proud kutuoa?

Kweli competition is stiff! 😂😂
 
Duh, Hapa ndo mtu unaamini umaskini unaanzia akilini.
 
Mzee atapumzika sasa jamaa amtulizee huyo dada maana mmh.!
 
I would rather die single ila sioi familia duni
Everyone has their standards….

However Cinderella stories are myth.. Most likely you will marry your type, if you are rich 🤑 you will marry from richest.

Otherwise kupata Cinderella story of yours inabidi misamba mingi sana ichanike, by misamba namaanisha unatakiwa kucompromise alot, Ego, your family, your pride, beliefs, falsafa and what not. I hope you are matured enough to grasp this concept.

And if you will die single, all the best.. sio dhambi.
 
Kua uyaone, usikariri maisha
Matajiri wawili wakubwa duniani wameachana na wake zao
Wakati mwingine hela sio kila kitu na hata pia unaweza kuoa kwenye familia masikini ila huyo huyo Mke ndio akaja kukupeleka mbali kimaisha na kuwa mmoja katika wenye maisha mema na yenye maadili mazuri

Unaweza kuwa unatukana hao masikini kumbe hata wewe hujawahi shila kamilioni 10 tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…